ANGALIA 'TRUE SCENARIO' ya Drama kati ya REDET, SINOVET na mikono michafu ya hao WaChakaChuaji-Maisha yetu -CCM!
Tatizo sio Usomi, ni utumwa wa fikra na kujikomba pasipo mental independence. Akina Dokta Bana washauri wa Kikwete kwa muda mrefu..kamwe hawakukosea, na baadaya Repoti, wanapigiana simu na JK na akina Kinana na Makamba na dole juu, ..eti "tumewamaliza"..halafu wanasemezana.....na pia wanaambizana "..tafuata na wale Jamaa Wakenya, Sinoveti tuwaamuru nao wabadili ripoti yao waiwasilishe kuwa mie JK nipo juu mapema la sivyo wajiandae kuondoka zao ktk ardhi hii wawahi Nairobi kabla ya Jumanne...." Sinovet wakakurupuka wakawahi ku-edit reports, jamaa wamewasimamia mgongoni...wakascreatch historical samples wakazi-blend na kufix wakasahau ku-edit maeneo mengine kama Pg 11 inasomeka JK anayo 70% (hii ikimaanisha ni ya utafiti mwingine kabisa, labda ule wake dhidi ya mawaziri wake), na ndio maana hata Sinovet walipowasilisha, walikuwa wanatetemeka, kila mtu kavaa kivyake, anaangalia kimang'amung'amu...yule dada ndio hata kimawazo hakuwa nao kabisaaaa...roho ilikuwa zake Kenyaaa....hadi anashtukashtuka, anarudi Tanzania....! NDIYO HALI HALISI KUUDHULUMU UTAIFA NA HAKI ZA WATANZANIA...WASHINDWE KAMA PHARAOH na jeshi lake chafu lilivyoliwa na ulimi wa maji ya bahari wa Mwenyezi Mungu ktk Bahari ya Sham, ndivyo wataangamizwa watu hawa. Sio SINOVET, sio REDET, sio CCM, wote hawa Fimbo ya mteule wa ukombozi MUSA wa Tanzania (Dr W.P. Slaa) itawapitisha Waana wa Israel ktk Bahari Kavu, ila Pharaoh na Jeshi lake Chafu, ovu, na vibaraka wao wawafuatapo Watanzania kuwadhulumu wataangamizwa ktk Maji ya Bahari....
KURA ZOTE KWA DR SLAA aivushe Tanzania na kuiokoa mikononi mwa WAOVU hawa! Sinovet watikimbia nchi kwa woga baada ya Oktoba 31 Slaa atapopita katikati yao, REDET na CCM YAO.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU BARIKI UKOMBOZI WETU UNAOKUJA KWA KURA TUTAZOPIGA!
Yaani w