Anachora michoro mingi kwa siku..Hivi nani kachora maana Masudi kafiwa na mwanawe.
Kumbe, lakini bado yupo kwenye msiba wa mwanae aliyefariki this week.Anachora michoro mingi kwa siku..
Editor anachagua tu
Which one the Cartoonist or the intended cartoons.That shit is super hilarious 😆
The drawings, the depiction, the story…basically the whole kit and kaboodle.Which one the Cartoonist or the intended cartoons.
Let us agree to differ.The drawings, the depiction, the story…basically the whole kit and kaboodle.
There was never a disagreement to begin with….Let us agree to differ.
🤣🤣🤣Hilo libibi lenu limeshapikwa na mabeberu. Wamelifix limebaki kudemka na machanjo!
Du wanasiasa! Kalagabaho
Hiyo siyo C-Turn wala U-Turn, ni fallen V-Turn (< - Turn)!!!Sikujua kama SSH anaweza kukimbia hivyo hadi kuweza kupiga a sharp C turn !! 🤣
Sio kingo kweli huyo mchorajiAnachora michoro mingi kwa siku..
Editor anachagua tu