Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,763
Huyo jamaa alienae ambae ana kichwa kilichopondeka hapo katikati ni nani?
Sio yule mcheza porno ?Huyo jamaa alienae ambae ana kichwa kilichopondeka hapo katikati ni nani?
Cheki ile koti ndio pigo za yule mchazajiSiyo huyu mkuu?
View attachment 1875273
Misiba ya Kiislam sio sawa na wakiristo. Uliona baada ya kufariki kilichofutia ni mazishi faster. Na siku hizi ukizika leo kesho dua. Kila kitu kinaisha. Tena na yule alivyokuwa ni mtoto hakuna hata cha kurithi.Kumbe, lakini bado yupo kwenye msiba wa mwanae aliyefariki this week.
That shit is super hilarious 😆
Huo sio mchoro wa Masudi Kipanya. Huu ni mkono wa KingoAnachora michoro mingi kwa siku..
Editor anachagua tu
Hivi nani kachora maana Masudi kafiwa na mwanawe.
Anachora michoro mingi kwa siku..
Editor anachagua tu
Huyu ni Kingo na si Masoud...Kumbe, lakini bado yupo kwenye msiba wa mwanae aliyefariki this week.
Nawezaje kuchora na Mimi? Hivi mpaka niwe na kipaji cha kuchora? Nina mawazo mengi sana, nataka yawe presented kwenye cartoonsAnachora michoro mingi kwa siku..
Editor anachagua tu
Asee nimecheka[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Jiwe ameenda wapi ?