Ray C Akemea Vikali Kuitwa Msanii wa Zamani

Miss Halima

Senior Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
154
Reaction score
366
Mwenye kiuno bila mfupa Ray C amepiga marufuku kuitwa msanii wa zamani akidai wanaosema hivyo wengi wao wamechelewa kuja mjini.

Ray C ameandika ujumbe huu akielezea suala hilo juu ya mashabiki na wadau wa muziki kutumia neno la wasanii wa zamani.

“Biashara ya kuitana msanii wa zamani mnitue, na Remmy Ongala mtasema wa lini? King Kiki je? Bi kidude wa mtondogoo au? Semeni tu mlichelewa kuja mjini ndio nishajiamulia” ameandika Ray C.
1786969531142.png
 
View attachment 3651930
babukijana njoo utuamulie hili shauri linalotutesa hapa kijijini kwetu
 
Mtu akiwa shabiki wa filter hatakiwi kuitwa mzee. Ni mtazamo Tu,
 
Back
Top Bottom