Ujumbe" wa leo"

Ujumbe" wa leo"

Mzigua_255

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2026
Posts
668
Reaction score
1,235
Ujumbe wa leo kaka zangu dada zangu wapambanaji katika kutafuta hutakiwi kukata tamaa ukasema mimi ni maskini pambana na usifuate MISEMO yenye kuludisha nyuma ya misemo yenye kukufanya ukate tamaa na kukubali hali uliona nayo hakikisha ukikaa unapanga mipango madhubuti ya kupata pesa kamwe usikate tamaa ishi kwa matumaini ukiwa unapambana usiish kwa matumaini ukiwa umetulia maisha ndio hayahaya

HUJASOMA EH
Sawa hujasoma au uwe umesoma ukitulia tu huwezi kupata kazi pambana uwe na mitego mingi ya pesa uamaskini m baya NINA MENGI

Nina mengi ila ngoja niishie hapo
 
Kwahiyo wewe Wakati upo darasa la pili, somo la kujifunza matumizi ya hizi alama ,. mwalimu wako aliliruka kabisa?
 
Ujumbe mzuri , kongole mteta mada

Ila

Kuludisha ❌ = Kurudisha ✅
Hawa watu shule walienda kusomea ujinga mkuu.

Ndio wale watoto kipindi hiko kwenye begi la kubebea daftari wao walikuwa wanaweka mpira tu ili muda wa mapumziko ufike wakacheze
 
Back
Top Bottom