Ujumbe""""wa leo kwa walio-oa

Ujumbe""""wa leo kwa walio-oa

Mzigua_255

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2026
Posts
866
Reaction score
1,804
Huu ndio Ujumbe wangu waleo kwa Walio-Oa kwanza Usimchunguze Mkeo ukimchunguza Mkeo mtaachana mapema au ndoa yenu itaku Yenye ugomvi pia dada usimchunguze mumeo Ukija kuona mnaanza"" kuchunguzana Jueni ndoa yenu iko hatarini:

USIULIZE KWA NINI...

Nawasilisha:
 
Watu wanakua kila siku, lazima ujue makuzi ya huyo mtu - anakengeuka au yuko fresh bado
 
Back
Top Bottom