Kibonde na wenzake wa Jahazi hawana utu.

mmetuchosha na kibonde wenu,kwani mlilazimishwa kumsikiliza??msituletee tena hapa ilo jina wengine tunatapika kuliona..
 
hata malaria sugu nimeona na yeye kama kachanganyikiwa hawana utu
ukipitia 2011 unaweza ukaona hawa watu ni wakufukuzwa nchini
 
Wanaelezea ajari ya jana ya mikumi kwa namna ya utan sana kama ni tukio la shangwe au la furaha ambapo kuna wafiwa ambao bado wanamisiba mibichi na majeruh ambao mpaka sasa hawajapatiwa tiba. Tunaomba kibonde na wenzake wake na moyo wa iman
Wanasema mbwa ukishamjua jina hakusumbui...jahazi ilishapoteza kwa hiyo unachoona ni juhudi za mfa maji kudraw attention...umeona baadhi ya waliokuwa macelebtrity au watu wanaojiheshimu wanavyo chukua extreme measures baada ya kupoteza mfano kuvaa nguo ndio sivyo, kufanya vituko nk.
 
Ukilaza wake unaanzia kwenye matokeo yake mabaya ya mtihani form 4 tafuta humu matokeo yake wadau waliyaweka ndio utajuwa bichwa lile liko Empty.

Alama apatazo mtu shuleni haziashiriii uwezo wake wa kiakili. Lijue vyema hilo.
 
Back
Top Bottom