Kibonde na wenzake wa Jahazi hawana utu.

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,712
10,208
Wanaelezea ajari ya jana ya mikumi kwa namna ya utan sana kama ni tukio la shangwe au la furaha ambapo kuna wafiwa ambao bado wanamisiba mibichi na majeruh ambao mpaka sasa hawajapatiwa tiba. Tunaomba kibonde na wenzake wake na moyo wa iman
 
The guy (kibonde) huwa analeta matani hata mahali pasipo faa.. Sometimes inaboa! Ni mtu mzima but ana behave kama mtoto vile!!
 
Wanaelezea ajari ya jana ya mikumi kwa namna ya utan sana kama ni tukio la shangwe au la furaha ambapo kuna wafiwa ambao bado wanamisiba mibichi na majeruh ambao mpaka sasa hawajapatiwa tiba. Tunaomba kibonde na wenzake wake na moyo wa iman
Tumechoka kila siku na kelele hizi za Kibonde, huyu nyinyi ndio super model wenu sasa hapa unakuja kumlalamikia nani? kuna Radio station kibao kwa nini usikilize redio iliyojaa mashoga? ukweli unabaki palepale nyinyi Kibonde ni kipenzi chenu ndio maana mnapenda kipindi chake. FULL STOP.
 
kweli kabisa bora uwaambie
 
Mkuu umenena ukweli mtupu.
Tumechoka kila siku na kelele hizi za Kibonde, huyu nyinyi ndio super model wenu sasa hapa unakuja kumlalamikia nani? kuna Radio station kibao kwa nini usikilize redio iliyojaa mashoga? ukweli unabaki palepale nyinyi Kibonde ni kipenzi chenu ndio maana mnapenda kipindi chake. FULL STOP.
 
Hakika Kibonde yuko juu kama mawingu!! Manake sijawahi kuona mti usio na matunda ukipopolewa mawe.
 
Huyu Kibonde naona anawachoma kweli kweli na mbaya hata kujizuia kumsikiliza hamuwezi. Nawaonea huruma sana. Na hongera sana Clouds kwa kupata 'commentator' mahiri.

Hapo Kusaga alikula bingo.
 
tumechoka kila siku na kelele hizi za kibonde, huyu nyinyi ndio super model wenu sasa hapa unakuja kumlalamikia nani? Kuna radio station kibao kwa nini usikilize redio iliyojaa mashoga? Ukweli unabaki palepale nyinyi kibonde ni kipenzi chenu ndio maana mnapenda kipindi chake. Full stop.
umesema kila kitu halafu cha ajabu mnakuja kutusimulia hata ambao hatutaki kumsikia kama mkisikiliza na yakiwachoma kaeni nayo mioyoni mwenu! Sisi hatutaki hata kumsikia kilaza huyu!
 
huyu kibonde naona anawachoma kweli kweli na mbaya hata kujizuia kumsikiliza hamuwezi. Nawaonea huruma sana. Na hongera sana clouds kwa kupata 'commentator' mahiri.

Hapo kusaga alikula bingo.
ni kweli kabisa sasa nimeamini kibonde ni kila kitu kwa baadhi ya watu, mimi inanikera kweli simsikilizi na nawaonea huruma wanaomsikiliza na kulalamika hapa!
 
umesema kila kitu halafu cha ajabu mnakuja kutusimulia hata ambao hatutaki kumsikia kama mkisikiliza na yakiwachoma kaeni nayo mioyoni mwenu! Sisi hatutaki hata kumsikia kilaza huyu!

Hivi ukilaza wa Kibonde uko wapi? Unaweza kunionyesha?
 
wanaelezea ajari ya jana ya mikumi kwa namna ya utan sana kama ni tukio la shangwe au la furaha ambapo kuna wafiwa ambao bado wanamisiba mibichi na majeruh ambao mpaka sasa hawajapatiwa tiba. Tunaomba kibonde na wenzake wake na moyo wa iman
au wewe ni kibonde mwenyewe sasa unakuja kujitafutia umaarufu hapa?? Tokeni zenu nchi ipo kwenye giza wewe unaleta habari za kibonde wako tena sijui wa draft au nini!? Mkuu achana na huyu mtu kama si wewe mwache na liredio lake limwage tuu!
 
Unajua hata mimi nimeliwaza hilo kuwa huenda Kibonde mwenyewe ndiyo anajianzishia mada humu lakini kwa vile sijui inabaki kuwa mawazo tu. Manake haingii akilini kabisa kwa mtu ambaye inadaiwa kuwa ni kilaza (Kibonde kwangu siyo Kilaza hata kidogo) kutwa kucha kuanzishiwa mada humu na "great thinkers".

Sasa "great thinkers" gani wanamjadili kilaza kila siku?
 
Huyu Kibonde naona anawachoma kweli kweli na mbaya hata kujizuia kumsikiliza hamuwezi. Nawaonea huruma sana. Na hongera sana Clouds kwa kupata 'commentator' mahiri.

Hapo Kusaga alikula bingo.

NN Bana............ Umenichekesha sana
 
Back
Top Bottom