Kibonde kuhamia Al-Jazeera tv...

wajanja walishamsanukia mbona!!!kama si yeye kibonde basi mkewe manake hajajulikana huyo nyani ni jinsia gani kama si kibonde basi atakuwa mrs kibonde!

Chance for my detractors to take cheap shots. I remain ufazed.
 
Mimi nilifeli form four lakini mpaka sasa maisha yangu ni mazuri kuliko hawa waliopasi form four wakaenda A level na kupasi form six na kwenda UDSM.

Na kama kuna anayebisha niko tayari kupimana naye ubavu wa wallet.

Mimi niko tayari tupimane kwa uzito..... Mimi nilifeli STD 7 na bado nina afya njema tu lol!

Teh teh teh JF raha sana.....
 
Mimi niko tayari tupimane kwa uzito..... Mimi nilifeli STD 7 na bado nina afya njema tu lol!

Teh teh teh JF raha sana.....

Kwa hiyo nimekuzidi kisomo? Teh teh teh....

Std.7 failure na form 4 failure...mweh! Ama kweli JF burudani
 
Billy Gate is a college dropout, na sio failure. Yeye alikuwa na akili zake pale Havard ila akaamua kuacha mwenyewe ili kufukuzia upepo wa kiuchumi kwa wakati huo, hiyo ndiyo maana yake. Failure ni kufanya mtihani na ukashindwa.
 
Hata hivyo tuwe na ulinganifu katika maeneo yote mawili; darasani na maishani. Fanya vema darasani na maishani vema. Ila ukifanya vema darasani na maishani vibaya hailipi. Ukifanya vibaya darasani na maishani vema, bado italipa vizuri tu.
 
Billy Gate is a college dropout, na sio failure. Yeye alikuwa na akili zake pale Havard ila akaamua kuacha mwenyewe ili kufukuzia upepo wa kiuchumi kwa wakati huo, hiyo ndiyo maana yake. Failure ni kufanya mtihani na ukashindwa.

Huyo watasema aliacha shule mwenyewe. Ila kuna huyu mwingine ambaye hakuwa "kichwa" hivyo kama baadhi ya watu humu hususan wale waliopasi form four na form six halafu sijui wakaenda UDSM....teh teh teh.

Huyu ni Gen. (rtd.) Colin Powell. Ni former chairman of the joint chiefs of staff wa US military na former secretary of state. Haki ya nani Wamarekani vilaza sana...yaani mtu aliyekuwa C average student wakati akiwa college akawashinda wote wale walioenda Ivy League schools na kuja kuwa mkuu wa majeshi na waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani. Halafu kabla ya hapo aliwahi kuwa national security adviser.


Cheki hii kutoka wiki

He received his Bachelor of Science degree in geology from the City College of New York in 1958 and was a self-admitted C average student. He was later able to earn a Master of Business Administration degree from the George Washington University in 1971, after his second tour in Vietnam.

Oh wait...huyu naye watasema angalau yeye alifika college. Kibonde hata college hajui inaandikwaje!
 
Kwahiyo unataka kutuambia nini Kibonde? Kwamba umehalalisha ukilaza na zero yako ya Mzizima kwa kujifariji na mifano ya kina Collin Powells?
 
Kwahiyo unataka kutuambia nini Kibonde? Kwamba umehalalisha ukilaza na zero yako ya Mzizima kwa kujifariji na mifano ya kina Collin Powells?

Lete ushahidi wa hiyo divisheni zero. Maneno matupu bila ushahidi ni majungu. You should know that by now.

Halafu ni Colin (with a single L) Powell (without an S). Get it Mr. Smart Aleck?
 
Nimesikia tu juuu juu l
kuwa kibonde wa clouds amepata kazi tv ya kiswahili ya aljazeera..
kutangaza vipindi vya michezo....
sijui ni kweli....mwenye info na wabongo wengine huko aljazeera aweke hapa
ni good thing naona

Inawezekana kapata ajira kwasababu ya kuweza kusalimia Salaam Aleykum tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom