KIBANDA: Nilisikia akimwambia Mwenzake AFANDE 'mshuti... mshuti'

hii style kama ya yule mkenya alivyomfanya ulimboka.au ametoroka keko.kila kitu ni maajabu in tanzania.
 
Laana ya MWENYE ENZI MUNGU na iwashukie wale wote wanaohusika kwa namna moja au nyingine na hata wale wanaotetea na kupotosha ukweli HASIRA ZA MUUMBA NA MAUMIVU YA WATANZANIA yawanyime hata baraka katika kazi za mikono yao na walicho nacho kiyeyuke.,AMIN.
 
Hayo mambo ya kuteka na kupiga wanaharakati tulikuwa tukiyasikia tu kwa majirani zetu hasa Kenya, sasa yameingia na Tz.

Ee Mungu inusuru Mama yetu Tanzania, naomba serikali sikivu chini ya Kanali Jakaya Mrisho Kikwetu iyaone mambo haya, usalama wa taifa wapo, jeshi la polisi lipo tunakoelekea siko watanzania

Ttulirithishwa Tanzania yenye amani tele na wazee wetu, hivi sisi tutawarithisha watoto wetu Tanzania ya aina gani?. Mungu ibariki Tanzania.


.....

SERIKALI SIKIVU??????????????????IPI HIYO??Au waongelea ya KAMANDA HUGO CHAVES?
 
Kama ndio hivyo basi tuna serikali ya kigaidi. Dawa ni kuiondoa 2015 na kuhakikisha wote waliohusika na matukio ya aina hii wanashughulikiwa kwa haki.
 
Serikali ndio genge la wahalifu. Kutekwa kwa ulimboka hata mwanafunzi aliyepata zero form 4 angepewa access ktk vyombo husika asingeshndwa kugundua kuwa Ikulu ndiyo iliyohusika..genge la waharifu haliwezi kujichunguza.

.......

I don't buy your thought! Ukiwa biased ni ngumu kuacha akili zako kuwa huru.Fikiria nje ya grid mkuu.

Kama maafande ndio waliohusika, wasingeweza kutamka wakati wanamshambulia kwamba ''afande mshuti''

Mhalifu siku zote huficha utambuliso wake, iwe kwa jina au kwa sura. This is common sense, you dont need a degree!

Ni mjinga tu atakayeamini kwamba hao walikuwa maafande.

Hawa wahalifu inabidi kushughilikiwe.
 
OMG!!!!!!!!!!!!!The attack bears all the hallmarks of the Ramadhani Ighondu notoriety!!! God save our country.
 
I WONDER WHAT AND WHERE OUR CRITICAL POINT AS TANZANIANS IS?
Ni mpaka kifanyike nini au tufikie wapi ndipo tutaona kua ni mda wa kusimama na kwa nia kabisa tupiganie nchi yetu ambayo ina disintegrate into anarchy and lawlessness kila kukicha.
Tunaenda pabaya sana ndugu.
Ukishaanza kuona ubavu unatumika kiasi hichi badala ya mijadala na kufwata misingi ya sheria basi jua ndio haki inatoweka nchini!

Sawa viongozi wetu ni mambumbu sasa wewe na mimi tunafanyeje?
 
Akizungumza kwa tabu alipokuwa chumba cha wagonjwa ICU, Hospitalini Moi, alisema, "Nilifika nyumbani kwangu kama saa 6 usiku nikitokea kazini tulikuwa tunafuatilia uchaguzi wa kenya tukaona hamna la maana.

Nilipofika kwenye lango la kuingia ndani nilipiga honi ili mlinzi anifungulie. Lakini ghafla nilivamiwa na kundi la watu ambao walivunja kioo cha gari langu... Nilitokea kupitia mlango wa abiria lakini sikuweza kukimbia kwani walinikamata na kuanza kunishambulia kwa vitu vizito... niliona kama watu 3 hivi...

Sikufahamu kilichojiri, lakini nilisikia mwingine akimwambia mwenzake afande 'mshuti...mshuti' huyo alipoelekeza mtutu na kujaribu kushuti' ilikuwa kama vile imegoma.

Nikiwa bado niko chini, wakanipiga kwa kitu cha ncha kali kwenye jicho la kushoto, wakaningoa meno na kucha ktk vidole vya mkono wa kulia, walinipiga sana na nilipata maumivu makali. Baada ya kunipiga na kunijeruhi waliniburuza hadi pembeni ya nyumba na kunitupa na wakaondoka, badaye majirani na wasamaria wema walikuja kuniokoa.


This time around hatakuwa Msudani au Mnyaruanda!
 
SERIKALI SIKIVU??????????????????IPI HIYO??Au waongelea ya KAMANDA HUGO CHAVES?

Mkuu wenyewe wanaiita serikali sikivu tufanyeje?, inatia uchungu sana ujue, watoto wanatekwa, kupigwa, kung'olewa kucha, meno, baba anasubiri mwisho wa mwezi kuzungumzia tukio.
 
Aaah chikwete fazahausi!! Utakumbukwa kwa mengi.. Midhambi yote hiyo iwe juu yako na uzao wako
 
Kubenea,Mwangosi sasa Kibanda dah!so sad....amkeni sasa wana wanahabari..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom