weee umetokea wapi tena jamani? wewe ndio kirusi unaetaka kutumia dini kuharibu fikra za watu. Huyu Kibanda hana tofauti na wewe ila mna strategy tofauti wewe unatumia dini yeye anatumia kalamu wote nyie vibaraka wa CCM. Mungu awaangamizee na dhamira zenu mbaya.Hamna lolote mnasurport CHADEMA Kwa sababu ya UDINI uliowajaa. Na KINA KIBANDA na wenzake wanao surport CHADEMA wanampinga ZITTO kwa sababu ni MUISLAM Tena Muislam mzuri kwa imani yake. Kwa iyo kanisa na baadhi yao akina kibanda wanmuona kama KIRUSI.
nani hajui kama CHadema CHAMA KATOLIKI NA KINAUNGWA MKONO NA KMAKANISA 100 percent.
WAISLAAM AMKENI MSIKUBALI KUWA NGAZI SEKTA ZOTE WANATAKA WAWE WAO(WAKRISTO) AKIWEPO MUISLAAM HAFAI.
BADILIKENI NCHI YETU SOTE TUIFANYE TANZANIA LAND OF OPPORTUNITY KILA MWENYE UWEZO APEWE NAFASI KUTOA MCHANGO WAKE KUENDELEZA NCHI
KWAO WAO WAISLAM HAWAJASOMA TUUUUUUUU!
Pasco, heshima mbele.
Una maana wana Chadema waliotoka Kilimanjaro au Kaskazini wasigombee ili kuridhisha Watanzania kuwa Chadema haina ukabila..!!!
Are you Serious.???!!
If I'm not serious, then I must have been jocking!.Sijasema wasigombee, nimesema kuna dhana ya kuwa Chadema ni chama cha Wachagga, ni ukweli usiofichika kiliasisiwa na Mzee Edwin Mtei amkaribisha Bob Makani kwa vile walikuwa wote BOT, Mtei Gavana, Makani Naibu Gavana.Mtei Mwenyekiti, Makani Makamo Mwenyekiti, Mtei akastaafu akamwachia Makani. Makani alipostaafu ndipo akachukua Mbowe ambaye ni mkwe.Ujio wa Zito huko juu, kutafuta dhana zote ya ukabila na ya udini, kitaipandisha juu Chadema mpaka mtashanhaa 2015, Chadema Magogoni.Kuna uwezekano kina Sitta na kundi lake wakajitoa CCM, hivi mtu kama Sitta, Sendeka,Selelili na kina Mwakiembe ni rais zaidi kuunda chama chao kingine kuliko kujiunga Chema yenye dhana ya ukabila, lakini dhana hiyo ikiondoka, na Zitto track record yake inajulikana, wote watajiunga na kisiki kitang'ooka.
weee umetokea wapi tena jamani? wewe ndio kirusi unaetaka kutumia dini kuharibu fikra za watu. Huyu Kibanda hana tofauti na wewe ila mna strategy tofauti wewe unatumia dini yeye anatumia kalamu wote nyie vibaraka wa CCM. Mungu awaangamizee na dhamira zenu mbaya.Hamna lolote mnasurport CHADEMA Kwa sababu ya UDINI uliowajaa. Na KINA KIBANDA na wenzake wanao surport CHADEMA wanampinga ZITTO kwa sababu ni MUISLAM Tena Muislam mzuri kwa imani yake. Kwa iyo kanisa na baadhi yao akina kibanda wanmuona kama KIRUSI.
nani hajui kama CHadema CHAMA KATOLIKI NA KINAUNGWA MKONO NA KMAKANISA 100 percent.
WAISLAAM AMKENI MSIKUBALI KUWA NGAZI SEKTA ZOTE WANATAKA WAWE WAO(WAKRISTO) AKIWEPO MUISLAAM HAFAI.
BADILIKENI NCHI YETU SOTE TUIFANYE TANZANIA LAND OF OPPORTUNITY KILA MWENYE UWEZO APEWE NAFASI KUTOA MCHANGO WAKE KUENDELEZA NCHI
KWAO WAO WAISLAM HAWAJASOMA TUUUUUUUU!
yah!well saidIf I'm not serious, then I must have been jocking!.Sijasema wasigombee, nimesema kuna dhana ya kuwa Chadema ni chama cha Wachagga, ni ukweli usiofichika kiliasisiwa na Mzee Edwin Mtei amkaribisha Bob Makani kwa vile walikuwa wote BOT, Mtei Gavana, Makani Naibu Gavana.Mtei akawa Mwenyekiti Chadema, Bob Makani Makamo Mwenyekiti, Mtei akastaafu akamwachia Makani. Makani alipostaafu ndipo akachukua Mbowe ambaye ni mkwe.Ujio wa Zito huko juu, kutaifuta hiyo dhana ya ukabila. Kitaipandisha juu Chadema mpaka mtashangaa 2015, ni Chadema Magogoni!.Kuna uwezekano kina Sitta na kundi lake wakajitoa CCM, hivi mtu kama Sitta, Sendeka,Selelili na kina Mwakiembe ni raisi zaidi wao kuunda chama chao kingine kuliko kujiunga Chedema yenye dhana ya ukabila, lakini dhana hiyo ikifutika, na Zitto track record yake inajulikana, wote watajiunga Chadema na kisiki kitang'ooka!.
Anapaswa kujifunza kuwa na subira waliyonayo vijana wengi ndani ya CCM na serikalini, ambao pamoja na kuwa na fursa nyingi za harakaharaka, wameamua kuwa watulivu na wenye subira, wakiwa na uhakika kuwa, wakati wao utafika.
hamjauelewa mchezo ulioko hapa. Kibanda anatumiwa na wala si mbowe bali na kundi la mafisadi ili kuvuruga uchaguzi wa chadema na kuisambaratisha. Na anatumiwa na walewale!
kuthibitisha maneno yangu kanunuliwa gari la kufanana yeye na Muhingo, Mhariri Mtendaji wa New Habari na yote yametoka kwa mfadhili mmoja na yanafuatana namba. Kibanda ni fisadi kama wengine
......Zitto awe na subira kwani hujui kuwa muda uliopo ndio wako na muda ujao si wako? una maana vijana ni taifa la Kesho?
Hamna lolote mnasurport CHADEMA Kwa sababu ya UDINI uliowajaa. Na KINA KIBANDA na wenzake wanao surport CHADEMA wanampinga ZITTO kwa sababu ni MUISLAM Tena Muislam mzuri kwa imani yake. Kwa iyo kanisa na baadhi yao akina kibanda wanmuona kama KIRUSI.
nani hajui kama CHadema CHAMA KATOLIKI NA KINAUNGWA MKONO NA KMAKANISA 100 percent.
WAISLAAM AMKENI MSIKUBALI KUWA NGAZI SEKTA ZOTE WANATAKA WAWE WAO(WAKRISTO) AKIWEPO MUISLAAM HAFAI.
BADILIKENI NCHI YETU SOTE TUIFANYE TANZANIA LAND OF OPPORTUNITY KILA MWENYE UWEZO APEWE NAFASI KUTOA MCHANGO WAKE KUENDELEZA NCHI
KWAO WAO WAISLAM HAWAJASOMA TUUUUUUUU!
lakini ''the boy'' is too young bana!let's be honest
Zito kabwe alisema kuwa hata gombea ubunge kwa sababu hana experience ya uongozi. Iweje leo aweze kuongozi chama wakati alipojithathmini yeye mwenyewe aligundua kuwa hana expirience ya kutosha?
Kibada anaona mbali, anahisia za chama kuanguka kutokana na uimara wa mbowe kukifadhili na kujitolea kwa chama.
Mbowe akitoka Chadema itaanguka kwa kishindo kikubwa kama hawatapata wabunge wengi mwaka ujao wa uchaguzi........... Zitto akigombea urais kwa mwaka ujao akishindwa na CCM ataanguko sana kisiasa.
No thank you!
Zitto alisema hata gombea ubunge ili aweze kurejea kwenye safu ya uongozi wa chama aimarishe chama. vilevile alisema anataka muda aweze kusoma zaidi. Hajawahi kusema hana experience ya uongozi.
Zitto amezaliwa mwaka 1976, mwaka huu atatimiza miaka 33. Ina maana mwaka 2010 atakuwa na miaka 34, na mwaka 2015 atakuwa na miaka 39. Kama katiba ya tz itabaki kama ilivyo hataweza kugombea urais mpaka mwaka 2020!
Nafasi ya uenyekiti kuwa na upinzani ni mtihani mzuri sana kwa mbowe. Kama alifanya kazi kama mwenyekiti basi atabaki sioni tatizo liko wapi. Na hii ni fundisho kwa viongozi wote wa chadema kwamba wasipowajibika watapoteza nafasi zao. Wakibaki intact baada ya uchaguzi basi hii ndio demokrasia ya kweli. Na kama atakayeshinda atamteua mwenzake kwenye nafasi za juu za kuteuliwa basi hichi ndicho kitakuwa chama cha kuigwa.
Chadema wasipopata wabunge wengi uchaguzi ujao ndio mwisho wa upinzani, mwenyekiti awe mbowe au zito. Chadema kimefika mahali mbowe hawezi kukibeba tena (i) chama kinahitaji pesa kuliko mbowe anazoweza kukipa (ii) mbowe hawezi kuendelea kustahimili kukifadhili chama, yeye sio rostam. Hivyo mbowe kurudi kuwa mwenyekiti hapaswi kupewa kama shukurani, hilo litakuwa kosa kubwa sana. Walimzawadia Ndesamburo ubunge kwa binti yake kwa kufadhili uchaguzi wa 2005, kikawatokea puani, sidhani kama watarudia hilo kosa.