Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

Status
Not open for further replies.
Kibanda ni kama una bifu na Zitto au ndo kula urefu wa kamba.
 
Last edited by a moderator:
''Kikubwa kinachoonekana kuzusha maswali vichwani mwa watu wengi, nikiwamo mimi mwenyewe, ni uamuzi wa kijana huyo kuamua kugombea nafasi hiyo pasipo kujali iwapo Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe anayemaliza muda wake atachukua fomu au la''

one of the stupidiest article ever written by Kibanda, kuhusu ubakaji wa demokrasia

sijui kwa nini hakuuawa huyu jamaa

I hate you kibanda
 
Hii article Kibanda alitumwa na mbowe,kwa kweli mtu anauza taaluma yake hi hivi kisa boss kasema,miaka nne sasa ukimwambia Kibanda aandike huu upuuzi hatoandika tena
 
Sijaona sababu yoyote ya kusababisha kutilia shaka utendaji wa Mh. Mbowe katika uongozi wa Chama. Kama ni kufukuza wasaliti ndani ya Chama, hakuna adhabu mbadala kwa wasaliti wa CDM wanaofanya kazi kwa siri na Mzee Wasira, Mwigulu nk. CCM hawajapata kupumua vizuri katika kipindi chote cha uongozi wa Mbowe.
Lakini tumeshuhudia ukali wa Zitto ukipungua kadili siku zilivyokuwa zikiendelea, tena ushahidi kwa mwenyekiti wa CCM kutofanya kampeni kwenye jimbo la Zitto kipindi cha kampeni zote za uchaguzi mkuu, ni tosha kwamba huenda Zitto ni mwenzao. Kama kweli tunatakla nchi ikombolewe, acheni propaganda za kimwigulu kwamba kuna ukanda, ukabila nk.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom