Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

Status
Not open for further replies.
Hamna lolote mnasurport CHADEMA Kwa sababu ya UDINI uliowajaa. Na KINA KIBANDA na wenzake wanao surport CHADEMA wanampinga ZITTO kwa sababu ni MUISLAM Tena Muislam mzuri kwa imani yake. Kwa iyo kanisa na baadhi yao akina kibanda wanmuona kama KIRUSI.

nani hajui kama CHadema CHAMA KATOLIKI NA KINAUNGWA MKONO NA KMAKANISA 100 percent.
WAISLAAM AMKENI MSIKUBALI KUWA NGAZI SEKTA ZOTE WANATAKA WAWE WAO(WAKRISTO) AKIWEPO MUISLAAM HAFAI.

BADILIKENI NCHI YETU SOTE TUIFANYE TANZANIA LAND OF OPPORTUNITY KILA MWENYE UWEZO APEWE NAFASI KUTOA MCHANGO WAKE KUENDELEZA NCHI

KWAO WAO WAISLAM HAWAJASOMA TUUUUUUUU!
weee umetokea wapi tena jamani? wewe ndio kirusi unaetaka kutumia dini kuharibu fikra za watu. Huyu Kibanda hana tofauti na wewe ila mna strategy tofauti wewe unatumia dini yeye anatumia kalamu wote nyie vibaraka wa CCM. Mungu awaangamizee na dhamira zenu mbaya.
mie namuunga mkono Zitto coz thats shows the real Democracy, hivi wabongo bwana nyie mnaona yale ya CUF ya tangu mwaka 1995 viongozi wakuu ni hao hao tu Lipumba na mwenzie Seif ni sawa? kama vile ile ni NGO yao vile, do you believe hakuna wa kuongoza kile chama zaidi ya wao tu? na hata hao wanaogombea nao unaona kabisa wamewekwa tu kutimiza sheria lakini hawana nguvu za kuwachallenge mwisho wa siku wanaaanguka vibaya.
Unaona leo Zitto ameamua kugombea kila mtu mishipa ya damu yake imesisimka na tunaona kweli tishio kwa MBowe, so hata kama atashindwa lakini tunaamini ulikuwa uchaguzi wa kweli na wa kidemokrasia.
Go Go Go Zittooooo tuko nyuma yako
 
Pasco, heshima mbele.

Una maana wana Chadema waliotoka Kilimanjaro au Kaskazini wasigombee ili kuridhisha Watanzania kuwa Chadema haina ukabila..!!!

Are you Serious.???!!

If I'm not serious, then I must have been jocking!.Sijasema wasigombee, nimesema kuna dhana ya kuwa Chadema ni chama cha Wachagga, ni ukweli usiofichika kiliasisiwa na Mzee Edwin Mtei amkaribisha Bob Makani kwa vile walikuwa wote BOT, Mtei Gavana, Makani Naibu Gavana.Mtei akawa Mwenyekiti Chadema, Bob Makani Makamo Mwenyekiti, Mtei akastaafu akamwachia Makani. Makani alipostaafu ndipo akachukua Mbowe ambaye ni mkwe.Ujio wa Zito huko juu, kutaifuta hiyo dhana ya ukabila. Kitaipandisha juu Chadema mpaka mtashangaa 2015, ni Chadema Magogoni!.Kuna uwezekano kina Sitta na kundi lake wakajitoa CCM, hivi mtu kama Sitta, Sendeka,Selelili na kina Mwakiembe ni raisi zaidi wao kuunda chama chao kingine kuliko kujiunga Chedema yenye dhana ya ukabila, lakini dhana hiyo ikifutika, na Zitto track record yake inajulikana, wote watajiunga Chadema na kisiki kitang'ooka!.
 
Kwa Kifupi Nawaunga Mkono Zitto, Mbowe na however anayedhani anaweza kuchukua nafasi ya Uenyekiti, at the end of the day ni Wajumbe ndio watakaoamua nani awe Mwenyekiti
 
If I'm not serious, then I must have been jocking!.Sijasema wasigombee, nimesema kuna dhana ya kuwa Chadema ni chama cha Wachagga, ni ukweli usiofichika kiliasisiwa na Mzee Edwin Mtei amkaribisha Bob Makani kwa vile walikuwa wote BOT, Mtei Gavana, Makani Naibu Gavana.Mtei Mwenyekiti, Makani Makamo Mwenyekiti, Mtei akastaafu akamwachia Makani. Makani alipostaafu ndipo akachukua Mbowe ambaye ni mkwe.Ujio wa Zito huko juu, kutafuta dhana zote ya ukabila na ya udini, kitaipandisha juu Chadema mpaka mtashanhaa 2015, Chadema Magogoni.Kuna uwezekano kina Sitta na kundi lake wakajitoa CCM, hivi mtu kama Sitta, Sendeka,Selelili na kina Mwakiembe ni rais zaidi kuunda chama chao kingine kuliko kujiunga Chema yenye dhana ya ukabila, lakini dhana hiyo ikiondoka, na Zitto track record yake inajulikana, wote watajiunga na kisiki kitang'ooka.

Mh.....
 
Hamna lolote mnasurport CHADEMA Kwa sababu ya UDINI uliowajaa. Na KINA KIBANDA na wenzake wanao surport CHADEMA wanampinga ZITTO kwa sababu ni MUISLAM Tena Muislam mzuri kwa imani yake. Kwa iyo kanisa na baadhi yao akina kibanda wanmuona kama KIRUSI.

nani hajui kama CHadema CHAMA KATOLIKI NA KINAUNGWA MKONO NA KMAKANISA 100 percent.
WAISLAAM AMKENI MSIKUBALI KUWA NGAZI SEKTA ZOTE WANATAKA WAWE WAO(WAKRISTO) AKIWEPO MUISLAAM HAFAI.

BADILIKENI NCHI YETU SOTE TUIFANYE TANZANIA LAND OF OPPORTUNITY KILA MWENYE UWEZO APEWE NAFASI KUTOA MCHANGO WAKE KUENDELEZA NCHI

KWAO WAO WAISLAM HAWAJASOMA TUUUUUUUU!
weee umetokea wapi tena jamani? wewe ndio kirusi unaetaka kutumia dini kuharibu fikra za watu. Huyu Kibanda hana tofauti na wewe ila mna strategy tofauti wewe unatumia dini yeye anatumia kalamu wote nyie vibaraka wa CCM. Mungu awaangamizee na dhamira zenu mbaya.
mie namuunga mkono Zitto coz thats shows the real Democracy, hivi wabongo bwana nyie mnaona yale ya CUF ya tangu mwaka 1995 viongozi wakuu ni hao hao tu Lipumba na mwenzie Seif ni sawa? kama vile ile ni NGO yao vile, do you believe hakuna wa kuongoza kile chama zaidi ya wao tu? na hata hao wanaogombea nao unaona kabisa wamewekwa tu kutimiza sheria lakini hawana nguvu za kuwachallenge mwisho wa siku wanaaanguka vibaya.
Unaona leo Zitto ameamua kugombea kila mtu mishipa ya damu yake imesisimka na tunaona kweli tishio kwa MBowe, so hata kama atashindwa lakini tunaamini ulikuwa uchaguzi wa kweli na wa kidemokrasia.
Go Go Go Zittooooo tuko nyuma yako
 
Kwani Daudi alipomuua Goliathi alikuwa na umri gani?
Tafadhali sana naomba vijana tuheshimiwe,tudhaminiwe na tupewe haki yetu bila ubaguzi wa aina yeyote!

Pia ijulikane kuwa ukimnyima kijana yeyote haki yake kwa ajili ya umri wake unajidhalilisha wewe mwenyewe kwani unaonyesha huna shukurani sababu kama wewe usingepewa haki yako wakati ukiwa kijana usingefika hapo ulipo!

Vijana wapewe uhuru wafanye maamuzi yao mradi hawavunji sheria za nchi!Sababu leo hii wengi wanaotuhumiwa kwa ufisadi ni wazee,maana yake vijana tushikamane, tuendeleze pale wazee walipoishia na tusikatishwe tamaa na mafisadi wa fikra!
 
If I'm not serious, then I must have been jocking!.Sijasema wasigombee, nimesema kuna dhana ya kuwa Chadema ni chama cha Wachagga, ni ukweli usiofichika kiliasisiwa na Mzee Edwin Mtei amkaribisha Bob Makani kwa vile walikuwa wote BOT, Mtei Gavana, Makani Naibu Gavana.Mtei akawa Mwenyekiti Chadema, Bob Makani Makamo Mwenyekiti, Mtei akastaafu akamwachia Makani. Makani alipostaafu ndipo akachukua Mbowe ambaye ni mkwe.Ujio wa Zito huko juu, kutaifuta hiyo dhana ya ukabila. Kitaipandisha juu Chadema mpaka mtashangaa 2015, ni Chadema Magogoni!.Kuna uwezekano kina Sitta na kundi lake wakajitoa CCM, hivi mtu kama Sitta, Sendeka,Selelili na kina Mwakiembe ni raisi zaidi wao kuunda chama chao kingine kuliko kujiunga Chedema yenye dhana ya ukabila, lakini dhana hiyo ikifutika, na Zitto track record yake inajulikana, wote watajiunga Chadema na kisiki kitang'ooka!.
yah!well said
 
Anapaswa kujifunza kuwa na subira waliyonayo vijana wengi ndani ya CCM na serikalini, ambao pamoja na kuwa na fursa nyingi za harakaharaka, wameamua kuwa watulivu na wenye subira, wakiwa na uhakika kuwa, wakati wao utafika.

Mie hapo tuu pamenikera zaidi.Hiyo subira ya vijana huko CCM imetusaidia nini hii nchi???

We acha bwana Zitto Kaza buti. Ni demokrasia. Sisemi kwamba Mbowe hafai la hasha ila tu kama mtu ameona opportunity ya kuimprove somewhere kwanini asiitumie? Zitto Just ongeza speed.... tutajua mbele kwa mbele.
 
hamjauelewa mchezo ulioko hapa. Kibanda anatumiwa na wala si mbowe bali na kundi la mafisadi ili kuvuruga uchaguzi wa chadema na kuisambaratisha. Na anatumiwa na walewale!

kuthibitisha maneno yangu kanunuliwa gari la kufanana yeye na Muhingo, Mhariri Mtendaji wa New Habari na yote yametoka kwa mfadhili mmoja na yanafuatana namba. Kibanda ni fisadi kama wengine

Nakuunga Mkono Shangazi huyu Kibanda siyo wakumuani anavuruga wala hajatumwa na Mbowe. Ila Kilichobaki ni MAOMBI. Tuwaombee Roho Mtakatifu atawale huo uchaguzi wapate mgombea ambaye hakutumwa na MAFISADI.
 
lakini ''the boy'' is too young bana!let's be honest
 
Hamna lolote mnasurport CHADEMA Kwa sababu ya UDINI uliowajaa. Na KINA KIBANDA na wenzake wanao surport CHADEMA wanampinga ZITTO kwa sababu ni MUISLAM Tena Muislam mzuri kwa imani yake. Kwa iyo kanisa na baadhi yao akina kibanda wanmuona kama KIRUSI.

nani hajui kama CHadema CHAMA KATOLIKI NA KINAUNGWA MKONO NA KMAKANISA 100 percent.
WAISLAAM AMKENI MSIKUBALI KUWA NGAZI SEKTA ZOTE WANATAKA WAWE WAO(WAKRISTO) AKIWEPO MUISLAAM HAFAI.

BADILIKENI NCHI YETU SOTE TUIFANYE TANZANIA LAND OF OPPORTUNITY KILA MWENYE UWEZO APEWE NAFASI KUTOA MCHANGO WAKE KUENDELEZA NCHI

KWAO WAO WAISLAM HAWAJASOMA TUUUUUUUU!

This is too low for JF to handle!
 
Zito kabwe alisema kuwa hata gombea ubunge kwa sababu hana experience ya uongozi. Iweje leo aweze kuongozi chama wakati alipojithathmini yeye mwenyewe aligundua kuwa hana expirience ya kutosha?

Zitto alisema hata gombea ubunge ili aweze kurejea kwenye safu ya uongozi wa chama aimarishe chama. vilevile alisema anataka muda aweze kusoma zaidi. Hajawahi kusema hana experience ya uongozi.

Kibada anaona mbali, anahisia za chama kuanguka kutokana na uimara wa mbowe kukifadhili na kujitolea kwa chama.

Mbowe akitoka Chadema itaanguka kwa kishindo kikubwa kama hawatapata wabunge wengi mwaka ujao wa uchaguzi........... Zitto akigombea urais kwa mwaka ujao akishindwa na CCM ataanguko sana kisiasa.

Zitto amezaliwa mwaka 1976, mwaka huu atatimiza miaka 33. Ina maana mwaka 2010 atakuwa na miaka 34, na mwaka 2015 atakuwa na miaka 39. Kama katiba ya tz itabaki kama ilivyo hataweza kugombea urais mpaka mwaka 2020!

Nafasi ya uenyekiti kuwa na upinzani ni mtihani mzuri sana kwa mbowe. Kama alifanya kazi kama mwenyekiti basi atabaki sioni tatizo liko wapi. Na hii ni fundisho kwa viongozi wote wa chadema kwamba wasipowajibika watapoteza nafasi zao. Wakibaki intact baada ya uchaguzi basi hii ndio demokrasia ya kweli. Na kama atakayeshinda atamteua mwenzake kwenye nafasi za juu za kuteuliwa basi hichi ndicho kitakuwa chama cha kuigwa.

Chadema wasipopata wabunge wengi uchaguzi ujao ndio mwisho wa upinzani, mwenyekiti awe mbowe au zito. Chadema kimefika mahali mbowe hawezi kukibeba tena (i) chama kinahitaji pesa kuliko mbowe anazoweza kukipa (ii) mbowe hawezi kuendelea kustahimili kukifadhili chama, yeye sio rostam. Hivyo mbowe kurudi kuwa mwenyekiti hapaswi kupewa kama shukurani, hilo litakuwa kosa kubwa sana. Walimzawadia Ndesamburo ubunge kwa binti yake kwa kufadhili uchaguzi wa 2005, kikawatokea puani, sidhani kama watarudia hilo kosa.
 
Hapana shaka kuwa ngoja tusubiri mipango yote ya Chadema Sina cha Kusema hapa kwa sasa
 
Nimekaa na kufikiria na sijaweza pata jibu. Je ni aina gani ya uandishi mwandishi wa Makala hii ametumia katika kuandaa makala yake. Hili ni shambulizi la wazi wazi kwa Zitto Kabwe na ni linaonyesha lengo kuu hapa ni kumfanya aonekane kwamba hawezi akasimama kama kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na sababu kubwa ikiwa ni kwamba hajapevuka kisiasa.

Hapa inanisukuma kuuliza, unapoongelea kupevuka kisiasa je kinachoangaliwa ni umri wa mwanasiasa ama busara, hekima na ujasiri vinavyomjenga yeye kama mwanasiasa.? Hili ni la kuangalia maana tuna mifano hai ya wazee katika siasa ya nchi yetu wanaojifedhehesha kila kukicha sasa sidhani kama wao ndio wangeweza kuwa viongozi bora kwa sababu ya umri wao tu.

Naamini kwamba mwandishi wa makala hii Bwana Kibanda ni mwanachama wa chama mbadala na katika uchaguzi huu ameshachagua upande ambao atapigia kampeni chafu mpaka mwisho wa uchaguzi. Kwa makala hii hajaikosea jamii ya watanzania wanaoamini katika mabadiliko ya kweli bali amelikosea taifa kwa ujumla na kuichafua taaluma yake akiwa kama mwana habari.

Ni haki ya Msingi kwa Zitto kugombea, kikubwa hapa ni kuombea mshikamano wa kweli ndani ya Chama. Ahsante.
 
Mawazo haya mgando ni ya Kibanda mwenyewe,si ya CHADEMA, tafadhali tusiyafanye kuwa ndo msimamo wa chama. Katiba inamruhusu Zitto kugombea uenyekiti wa CHADEMA, kama anafaa au hafai wanachama wataamua, wala sio wewe Kibanda, mvivu wa kufikiria.
 
Go ahead Zitto this is your time man go, go, go, go usikate tamaa achana na hao waliozoea wazee, wizi mtupuuuuuu!!!!!!!!!
Uongozi katika karne ya leo umri siyo tija, kuna viongozi wengi wazee duniani kote lakini wakitoa speech zao ni utumbo mtupuuu, haijulikani wanaongea nini, muangalie OBAMA siyo mzee na anafanya mamboz, go, go, go Zitto..
Wazee hapa Tanzania wametuibia sana na wanaendelea kutuibia, ngoja wachukuwe vijana nao wanaweza kutuibia vile vile bora hata waibe hawa vijana acha waibe tutakutana nao mitaani kwenye kujirushaa, hao mafataki wa CCM tumechoshwaa nao jamani.
Anyway Zitto go, go, go and Godbless You.

Mahengo
 
Zitto alisema hata gombea ubunge ili aweze kurejea kwenye safu ya uongozi wa chama aimarishe chama. vilevile alisema anataka muda aweze kusoma zaidi. Hajawahi kusema hana experience ya uongozi.

Zitto amezaliwa mwaka 1976, mwaka huu atatimiza miaka 33. Ina maana mwaka 2010 atakuwa na miaka 34, na mwaka 2015 atakuwa na miaka 39. Kama katiba ya tz itabaki kama ilivyo hataweza kugombea urais mpaka mwaka 2020!

Nafasi ya uenyekiti kuwa na upinzani ni mtihani mzuri sana kwa mbowe. Kama alifanya kazi kama mwenyekiti basi atabaki sioni tatizo liko wapi. Na hii ni fundisho kwa viongozi wote wa chadema kwamba wasipowajibika watapoteza nafasi zao. Wakibaki intact baada ya uchaguzi basi hii ndio demokrasia ya kweli. Na kama atakayeshinda atamteua mwenzake kwenye nafasi za juu za kuteuliwa basi hichi ndicho kitakuwa chama cha kuigwa.

Chadema wasipopata wabunge wengi uchaguzi ujao ndio mwisho wa upinzani, mwenyekiti awe mbowe au zito. Chadema kimefika mahali mbowe hawezi kukibeba tena (i) chama kinahitaji pesa kuliko mbowe anazoweza kukipa (ii) mbowe hawezi kuendelea kustahimili kukifadhili chama, yeye sio rostam. Hivyo mbowe kurudi kuwa mwenyekiti hapaswi kupewa kama shukurani, hilo litakuwa kosa kubwa sana. Walimzawadia Ndesamburo ubunge kwa binti yake kwa kufadhili uchaguzi wa 2005, kikawatokea puani, sidhani kama watarudia hilo kosa.

Totally Confused Mpaka Kichwa kinauma
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom