Jitahidi kuelezea Zitto atatufanyia nini kwenye haya mageuzi zaidi ya Mbowe siyo blaa blaa za goo goo hapana!! Kitila tueleze na wana JF wengi wa goo goo huyu je ataweza kwa lipi na amefanya lipi ndani ya chama???
Sina uhakika kama ni kazi ya Kitila kuanza kumwaga sera za Zitto kwa niaba yake hapa JF, Zitto ni member hapa kama umeshindwa kumuuliza huko nje, nafikiri unaweza kuelekeza hilo swali kwake hapa JF!
Mimi nilivyomwelewa Kitila ametoa maelezo hapa kulingana na makala ya Kibanda ilivyokuwa imetolewa, na si kwamba amekuja kupiga kampeni hapa vinginevyo basi kila aliyeangainst kibanda anampigia debe Zitto, sio?
hii ni hatari kutoka naibu katibu kuruka mpaka Uenyekiti!
What? nini cha ajabu hapa...kumbe hata uzoefu wa uongozi kny chama anao? Ina maana kwako wewe ungeshangaa sana kumuona mwanachama wa kawaida tu akigombea uenyekiti, sio?.....ulitaka atokee wapi, ili agombee huo wenyekiti ati?