Kiasi cha Mishahara ngazi mbalimbali TRA

Nampenda mishahara za shida njooni humu higher learning institution.

1. Tutorial Assistant - 1,672,000/= take home 1.3 million.

2. Assistant Lecturer - 2,652,000/= take home 1,856,000/=

3. PhD Holder - 4,500,000/= take home 3,7000,000/=.

Mnasema tu ualimu mbaya. Poleni.
Waulize kazi wanayoifanya unafikiri kuwa lecturer ni kitu rahisi.
Wanarequirement ya kuandika articles kwenye Journals tofauti tofauti.
Workload yao ni kubwa...
 
Idadi ya intake hii ni 600 sio 400 uijuayo....... Hiyo 200 sio ya interview ya AGOA#
so we differ mkuu##
So hao 200 ni kwa ajili ya uchunguzi na kufuatilia maisha na mwenendo wa hao 400. Ratio ya 2:1
 
Waulize kazi wanayoifanya unafikiri kuwa lecturer ni kitu rahisi.
Wanarequirement ya kuandika articles kwenye Journals tofauti tofauti.
Workload yao ni kubwa...

Acha kuandika faeces wewe...
Hakuna watumishi wa Serikali (Dunia nzima) wanaoongoza kwa kuwa huru na kula good time kama watu wa Higher Learning Institutions.
Hebu tazama....
Lecturer ana course zake mbili tu semester nzima... Ana vipindi viwili tu week nzima.
Kazini anakuja Mara mbili tu kwa week. Na sio lazima aje. Hakuna anae monitor mahudhurio yake.

Anaweza kusafiri kwenda shamba Kilosa akamwambia Class Rep pindi hakuna hadi next week.
Test anatunga anavyotaka yeye.
Siku mbili Chuo, Siku tano anasimamia Miradi yake.

Hapo sijasema kuhusu likizo kubwa ile ya mwezi wa 7 mpaka wa 10 wanafunzi wanapoenda Field.

Acha kuandika faeces wewe...
Hakuna watumishi wa Serikali (Dunia nzima) wanaoongoza kwa kuwa huru na kula good time kama watu wa Higher Learning Institutions.
Hebu tazama....
Lecturer ana course zake mbili tu semester nzima... Ana vipindi viwili tu week nzima.
Kazini anakuja Mara mbili tu kwa week. Na sio lazima aje. Hakuna anae monitor mahudhurio yake.

Anaweza kusafiri kwenda shamba Kilosa akamwambia Class Rep pindi hakuna hadi next week.
Test anatunga anavyotaka yeye.
Siku mbili Chuo, Siku tano anasimamia Miradi yake.

Haya padri unayeandika dhahabu.
Naona kinakutoka kilichokujaza
 
Nampenda mishahara za shida njooni humu higher learning institution.

1. Tutorial Assistant - 1,672,000/= take home 1.3 million.

2. Assistant Lecturer - 2,652,000/= take home 1,856,000/=

3. PhD Holder - 4,500,000/= take home 3,7000,000/=.

Mnasema tu ualimu mbaya. Poleni.
duh kumbe muhind wangu alikua anani tutorial vyakutosha ase
 
Taasisi za umma,wizara na halmashauri mishahara yao ni ya kawaida.

Mishahara mikubwa kidogo angalau hua iko kwenye mashirika ya umma. Hapo ndio unaweza kukuta mshahara wa kuanzia 1-2M.

TRA ni taasisi ya umma hivyo mishahara yao ni ya kawaida. Miaka michache nyuma walikua wanalipa 800,000 kama basic na housing &transport allowance ilikua 160,000. Sijajua kama imebadikika kwa kiasi gani sasa.

Hivyo kama unategemea mshahara mkubwa TRA basi badili mawazo.
unamaanisha tra hii tunayoijua au tra ya sudan kusini mkuu?maana story za vijiweni ni kwamba kwa entry level huko wanaanza na 1.8m +benefits za kufa mtu
 
Habr zenu wakuu,naomba msaada kuhusu makato ya Tra kwa mtu mwenye mshahara wa 500,000 anatakiwa kukatwa kiasi gan? Kwa mfanya kazi wa serikali! Na wanatumia asilimia au kuna namna wanavyokata,na kama wanatumia asilimia kwa huo mshahara ni asilimia ngapi zinatakiwa zikatwe naomben msaada kwa wanaojua
 
Kwa private take home ni 409,000 ila kama ni serikalini inaweza kua 439,000
 
Back
Top Bottom