marangu president
Member
- May 9, 2014
- 6
- 0
Umeitwa kwenye usaili ndugu?
naomba kuuliza kwani wameshaita!
Umeitwa kwenye usaili ndugu?
huku kuna vitisho sana. wengine wanauliza lini wataitwa,wengine wanauliza mshahara.
KAMUULIZE ALIYEKUITA KABLA YA WENZANKO KUITWA
Duh!! Laki tisa yaani 940000!! Assistant officer! Pesa kidogo kwakweli!
Wameshaita, personally nimepokea email yao jumamosi kunialika kwenye written interview tar 12 diamond jubilee.
ndogo sana kwa wastani anapewa 31000 per day kama dereva wa bodaboda au kondaktaDuh!! Laki tisa yaani 940000!! Assistant officer! Pesa kidogo kwakweli!
ndogo sana kwa wastani anapewa 31000 per day kama dereva wa bodaboda au kondakta
ndogo sana kwa wastani anapewa 31000 per day kama dereva wa bodaboda au kondakta
WE TULIKWAMBIA USIMWAMBIE MTU, matokeo yake umekuja kusemja hapa JF, ukidhani kuwa huku hatufiki.
msimu mmoja wa kilimo naingiza 16 mpaka 22 millionnyie wenzetu mnalipwaga ngapi?
dah!sorry,sikuliona hilo neno mkuu!
Duh!! Laki tisa yaani 940000!! Assistant officer! Pesa kidogo kwakweli!