Kiarabu kilikuwa lugha ya Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiarabu kilikuwa lugha ya Taifa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by zomba, Jul 26, 2011.

1. zomba

zomba JF-Expert Member

#1
Jul 26, 2011
Joined: Nov 27, 2007
Messages: 17,081
Likes Received: 49
Trophy Points: 0
Zenj
Tanganyika
Magadisio
Dar Es Salaam
Tanga
Mombasa
Mozambique
Tabora
Kilwa
Sofala
Mafia

Mpaka kongo, na kwingineko, kulitawaliwa na Zenj Empire. Jee, kulikuwa na lugha ipi ya taifa? Hakuna ubishi, ni kiarabu kilichozaa kiswahili.

Waswahili ni wastaarabu kuliko wasio waswahili kwa hapa kwetu...

2. Rungu

Rungu JF-Expert Member

#2
Jul 26, 2011
Joined: Feb 23, 2007
Messages: 3,873
Likes Received: 999
Trophy Points: 280
Alafu iweje?

3. Mtoto wa Kishua

Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

#3
Jul 26, 2011
Joined: Oct 15, 2009
Messages: 819
Likes Received: 41
Trophy Points: 45
Ustaarabuwa uswahili siuoni, angalai watu wa pwani walivyo .

4. Ruge Opinion

Ruge Opinion JF-Expert Member

#4
Jul 27, 2011
Joined: Mar 22, 2006
Messages: 1,696
Likes Received: 306
Trophy Points: 180
Waarabu walipoondoka (walipopoteza himaya) na ustaarabu waliondoka nao kama kweli walikuwa nao. Angalia maeneo yote yaliyokuwa dominated na waarabu - Kilwa, Bagamoyo, Pangani, Tanga - kuna nini la ziada mbali na maghofu. Kama domo domo, kubweteka na uvivu ni ustaarabu basi nakuunga mkono Waswahili ni wastaarabu.

5. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#5
Jul 27, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,334
Likes Received: 22,184
Trophy Points: 280
ustaarabu upi unao uongelea? Wa kuto chimba vyoo?

6. U

Ulimakafu JF-Expert Member

#6
Jul 27, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 18,005
Likes Received: 739
Trophy Points: 280
Hawa jamaa huwa hawana ustaarabu kabisa,nachelea kusema.

7. KAKA A TAIFA

KAKA A TAIFA JF-Expert Member

#7
Jul 30, 2011
Joined: Apr 27, 2011
Messages: 564
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
Kati ya wazungu ,wa asia na waarabu bora waarabu mara mia ,nadhani ni wenzetu kiasi kikubwa

8. Mtoboasiri

Mtoboasiri JF-Expert Member

#8
Jul 30, 2011
Joined: Aug 6, 2009
Messages: 5,106
Likes Received: 94
Trophy Points: 0
Lugha ya taifa lipi? Halafu iweje leo kiarabu kisizungumzwe kwa kiwango kikubwa kwenye maeneo hayo? Na iweje kiswahili kiwe kimetokana na kiarabu iwapo kina maneno ya kibantu mengi kuliko ya kiarabu?  QUOTE=zomba;2279377]Zenj

Tanganyika

Magadisio

Dar Es Salaam

Tanga

Mombasa

Mozambique

Tabora

Kilwa

Sofala

Mafia

Mpaka kongo, na kwingineko, kulitawaliwa na Zenj Empire. Jee, kulikuwa na lugha ipi ya taifa? Hakuna ubishi, ni kiarabu kilichozaa kiswahili.

Waswahili ni wastaarabu kuliko wasio waswahili kwa hapa kwetu...[/QUOTE]

9. Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa Platinum Member

#9
Jul 31, 2011
Joined: May 25, 2011
Messages: 17,790
Likes Received: 7,115
Trophy Points: 280
nyie mkibishana hivo mtakesha hapa, wafkiri why ukienda ugenini unakua lonely?? Kila mtu kazoea mazingira na ustaraabu wa kwao so kila mtu atapendelea kwao

10. Kinyungu

Kinyungu JF-Expert Member

#10
Jul 31, 2011
Joined: Apr 6, 2008
Messages: 4,381
Likes Received: 3,341
Trophy Points: 280
Ustaarabu maana yake ni nini?

11. FaizaFoxy

FaizaFoxy JF-Expert Member

#11
Jul 31, 2011
Joined: Apr 13, 2011
Messages: 58,107
Likes Received: 22,151
Trophy Points: 280
Jibu tisha! oopsss tosha!

12. Memo

Memo JF-Expert Member

#12
Jul 31, 2011
Joined: Jan 17, 2011
Messages: 2,147
Likes Received: 17
Trophy Points: 135
Kanga moko, bilion moja kitu gani bana, kama vipi kamuuluze Jairo.

Loading...