Khanga Moko Laki si Pesa jamanii eee!!!

Khanga Moko Laki si Pesa jamanii eee!!!

hehehhe. . Basi ntachora tatoo.
Au we una pendekezo lingine?
mie nataka ukirembe tu kionekane cha kike...hata mtu mwingine akiwafuma mnahangaishana kwa bahati mbaya kwenye ile mipambano yetu ya kirafiki kwenye uwanja wa fundi seremala aweze kutofautisha basi,ajue yule alie juu ni mama na yule wa chini ni mama wanapigana!
 
Mama na baba bwana.

Niambie basi aina za urembo nichague.
 
Mama na baba bwana.

Niambie basi aina za urembo nichague.

tia angalau na chachandu kidogo mdogo wetu,tukufundishe kila kitu,nimekwambia kama unataka mambo hayo nitafute nikukaze kitako kukujuza mengi kuhusu shughuli zetu hizi za kila siku,hutalipia chochote tayari kuna mtu amekulipia ....cuz umemfurahisha sanasana na iko kiuno chako chembamba unavyoimba na kucheza nacho mwenyewe!
 
Ntakutafuta unipe somo kabla sijakimbiwa kisa kiuno kama cha mtoto wa kiume.
 
Jamani mliotumwa kufanya promo humu mlifanikiwa,juzi nilipita hapo pahali,aibu!wale wanawake ni made here kweli jamani,nataka kuoa mmoja halafu awe hazai..
 
Duh hawa wanaweza wakakuvunjia kifanyio!!ukikaa vibaya unakuwa hanic dakika 0 maana wanavyokatika na wewe umeusimika mala kakosea step unasika paaaa!!tayali unakuwa unalakufanya unakuwa teja wa kibweka mambo ya wakubwa ndokinachobaki maana hunatena uwezo!!:lol:
 
Back
Top Bottom