Khanga Moko Laki si Pesa jamanii eee!!!

Khanga Moko Laki si Pesa jamanii eee!!!

kiuno kipo kweli hapo lakini?au cha kuazima?na kama unaweza kuimba na kucheza nacho basi una hatari ati
Hehehehe. .hatari itoke wapi?
Halafu kumbe vya kuazima navyo vipo eeeh?
Anyway mimi namiliki, wewe je?
 
Hehehehe. .hatari itoke wapi?
Halafu kumbe vya kuazima navyo vipo eeeh?
Anyway mimi namiliki, wewe je?

mie kiuno sina cha hivyooo mwenzangu ila nina majaaliwa mengine namshukuru mungu!we chako huwa unakiremba na nini?
 
kwani anaijua sawasawa?lakini elimu haina mwisho ujue..ndio maana na wewe uko hapa kujifunza mambo mbalimbali ya kimjini
Wanaume hawapendi kuonyeshwa hawajui kuendesha falme zao, tena na mwanaume mwingine.
 
Nikimwambia atanuna, ataniambia namfundisha kazi yake.

Bibi wee ipo jinsi ya kusema nae ati...sio unakurupuka tu,yafaa utuone wakubwa tukukaze kitako kukujuza jinsi ya kumkabili bwana..uko tayari?
 
mie kiuno sina cha hivyooo mwenzangu ila nina majaaliwa mengine namshukuru mungu!we chako huwa unakiremba na nini?

Hehehe. . hongera kwa kujaaliwa mengine kufidia kiuno.

Wala hakihitaji kurembwa.
 
Back
Top Bottom