Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 847
We Haupo chuo kikuu,mwanafunzi wa darasa LA nne anajua kitu Kitamu,we usijue?
Siku hizi vyuoni watu wanaenda kujifunza ujinga...
sio hivyo kaka,, hapo nimetumia lugha ya maandishi isiyo rasmi (informal language) ,, lakini hiyo haimaanishi kwamba sijui lugha hii tamu ya kiswahili.~~>>>Vyuo vikuu vinazalisha Viazi badala ya wasomi...
Mwanafunzi gani wa Chuo kikuu tena mwaka tatu haujui kuandika....
Mfano. apa, ayupo, io n.k.
Huu ni Uchafu gani!?!