Khaah!! Haya majaribu jamani

Khaah!! Haya majaribu jamani

Salaaam,

Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu komoja wapo nchini,Ndo nimeingia mwaka wa tatu msimu huu

Sasa juzi tumeripoti chuoni tayari kwa muendelezo wa masomo 2017/18, Kwa kiasi fulani nimefurahi tena kurudi chuoni maana nimepata kuonana na marafiki wengi tulioachana baada ya likizo ndefu ya takriban miezi mi4

Sasa bhana juzi nlikutana na Anita mazingira flan around na chuo, tulipiga stor mbili tatu kisha tukaagana ila mda tukiachana Anita aliniita na kuniomba namba zangu za simu, bila shida me nkampatia.(Anita ni mwanafunzi mwenzangu mwaka wa 3,sisi ni marafiki tu)

Ikiwa imepita kam siku tatu tangu nimpe Anita namba zangu, sasa juzi amentafuta kwa njia ya SMS, bas tukasalimiana na kujuliana hali kwa njia hio ya kuchat,, ila katika uko kuchat chat Anita akaanza kuniambia ye ayupo vizur, kumuuliza kwa nin akasema tayari ameishiwa pesa za matumizi,,,, nikamuuliza kivipi huishiwe pesa wakati juzi tu umepokea Boom(Fedha kwa Makazi na malazi kwa wanafunzi) , et akasema amemtumia kaka yake nyumbani watanue biashara yao,, me nkaona stor nying ikabid nimuulz sasa nkusaidiaje, Anita akasema naomba nimkopeshe japo laki 1 af kaka yake akimrudishia na mimi atanirudishia ela yangu,, me nkaelewa ila nkamwambia ufanye anirudishie mapema pale akipata io fedha,, sasa apo ndo kilikuja kizaazaa, et Anita akanijibu "ATA NKISHINDWA KUKULIPA, Afu NKAKUPA KITU KITAMU, SI UTANISAMEHE?

me Mpaka sasa sjajibu io txt maana kwanza sjajua iko kitu kitam ni kipi

Nani anaweze kunielekeza apo
[HASHTAG]#HiiKituNiReal[/HASHTAG]
Kwani hiyo ni papuchi ya dhahabu hadi iwe na thaman ya laki moja?
 
Mkuu Unasomea Chuo Gan ,,, Nahc Hyo Anitha Amekuona The Way You Are ,,,vya Wajanja Huliwa Na Wajinga And Vise Versa Is Tru
 
Mwaka wa tatu na bado hiyo unaandika io, hapo inakuwa apo, halafu inakuwa af! Ndo Kiswahili kinaboreshwa na wasomi au?
kuandika ivyo sio kwamba sijui lugha, ni vema utambue lugha ya uandishi inatumika vipi katika muktadha mbalimbali.
 
Kilicho kupeleka chuo fanya hicho usichanganye mada utakwama wazazi wanakutegemea usiwaangushe mkuu
 
~~>>>Vyuo vikuu vinazalisha Viazi badala ya wasomi...

Mwanafunzi gani wa Chuo kikuu tena mwaka tatu haujui kuandika....

Mfano. apa, ayupo, io n.k.

Huu ni Uchafu gani!?!
 
  • Thanks
Reactions: ywf
~~>>>Vyuo vikuu vinazalisha Viazi badala ya wasomi...

Mwanafunzi gani wa Chuo kikuu tena mwaka tatu haujui kuandika....

Mfano. apa, ayupo, io n.k.

Huu ni Uchafu gani!?!
Siku hizi vyuoni watu wanaenda kujifunza ujinga...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom