Naona kuna kitu hakiko sawa hapo. Nitatofautiana na wengine kidogo. Mfano; Anita amekuwa akikumezea mate siku m nyingi. Kiafrika bint kukuambia kuwa nakutamani ni soo sana. Sasa, alipopata kanafasi ka kukuulinza namba yako ukammpa bila hiyana.
Sasa ametumia mwanya wa kukukopa ili umlambe tu, Huwezi jiuliza; Ka anita alikuwa na nia mbaya, si angengojea auvute mkwanja kwanza ndo akuambie bei ya puchi yake? Usiogope, mpe anita laki aliyoomba. Lakini, mwambie ungetamani umlambe ile ni baada ya kukulipa laki yako. Akikuahidi kuja baada ya kukulipa, jua she was very very much in love with yu but could not speak out.