Khaa! ..Hebu na Tujitambue...

Wanawake wenzangu,
Siku hizi kutembea na mume wa mtu ni jambo la kawaida lakini ndio akulete nyumbani, ulalie the same bed anacholalia na mkewe?? That is too much akhaa!!

Hebu tujiulize kwa nini hakuleti nyumbani hapo wakati mkewe yupo? Jeuri hiyo hana kwa kuwa- ANAMPENDA MKEWE na HAYUKO tayari kumpoteza kwa sababu YAKO. Wewe utabakia kuwa mwanamke wa kupoza MHEMKO wake siku zote na katu hutoifilia hadhi ya MKEWE.


Tahadhari, Chukua Hatua!

Mh,huyo mume nae hana hata chembe ya aibu,kuleta hawara yake mpaka nyumbani!
 
Ninawashukuru wote kwa kurespond kwa namna mlivyorespond........ninaheshimu mawazo yenu na ninakubaliana na nyie kuwa wa kudeal naye ni MUME aliyekula kiapo. Ni kweli kabisa LAKINI kama activist wa haki na heshma ya Mwanamke, nikitaka kuraise awareness juu ya haki na heshma ya wanawake niegemee upande gani?

Mie mtazamo au side yangu iko kwa mwanamke aliyeletwa nyumbani, na si kwa mke aloibiwa penzi. Kwa nini kama mwanamke "decent" nikimaanisha si changudoa na wala hukuamua kuwa na huyu mtu kama mapozeo, kwa nini ukubali kutumiwa? ........................ kama kweli mwanaume huyo anazo guts akupeleke nyumbani kwake wakati mkewe wa ndoa yupo basi! Otherwise ni kujikubalisha kuchezewa na kutumiwa!

Kuna waloniuliza why sipambani na mume badala ya the Other Woman, yes ni kweli wa kupambana naye ni mume kama niko selfish (nia yangu ni kumprotect Mume wangu na ndoa yetu ambayo yeye mume hajaithamini) But kama am in pro- Sisterly love.kwa nini niruhusu mwanamke mwenzangu achezewe??

Sawa chezewa kwa kupelekwa hotelini/guest houses but kuletwa nyumbani kwa mwanamke mwenzio, tena akiwa hayupo???? I would give the credict kuwa wapendwa kidhati iwapo utapelekwa wakati mke wa ndoa yupo, then would mean that the man amekuchoose wewe instead of Madame and that will give you a bit of credit iwapo huko kibiashara zaidi


Bahati nzuri wewe MwanajamiiOne ni mmoja watu ambao haya mambo si tu kwamba mmekutana nayo uraiani bali umekutana nayo kwenye vitabu...So, una feeling ya theory na practicals!

Siyo jambo rahisi kulidadavua jambo hili kwani linawahusu watu wawili ambao kwa utashi wao wanaamua kufanya kituko cha ajabu. Kama mwanamke kadanganywa, basi burden yote (100%) inakuwa kwa mume tu. Ila kama wote wanajua ukweli kwamba kuna mtu anaibiwa, na bado wanafanya kituko kama hicho, lazima walaumiwe kila mtu kwa kiwango kinachomstahili.

Naomba pia nikufahamishe kuwa wapo watu wamewahi kufanya mambo kama hayo wakati mke mwenye nyumba yupo nyumbani. Hata hivyo, huyo baba ambaye mie namfahamu alikuwa mlevi sana na jamaa zake walivyoingilia na kuivunja ndoa yake amekuwa chizi!!

Babu DC!!
 
Hhmmm. . .yamekukuta yepi tena mami?

Ubaya ni kwamba wote wanakua wamechafuka . Yani mke nae analalia uchafu wa kimada sijui ndio hawara. HASARA TUPU. Alafu hii habari ya kusema eti 'mume wangu ananipenda na hataki kunipoteza ndo maana aliniletea mwanamke mwingine chumbani kwetu, kwenye kitanda tunacholalia pamoja wakati sipo' sikubaliani nayo. Unless kupenda kunawezekana bila heshima. Yani mtu anakupenda ila anakudharau. . .

Kama hakuheshimu ni wazi mapenzi hamna tena hapo.
 
Wanaume ndo wajiheshimu na wawaheshimu wake zao.......

What if kama huyo apelekwae hajali whatever the case is.........mke or mpoza mihemko???

Kipipi,au labda jamaa alisema yupo single? unajua tena mambo ya wanaume wetu hawa mh...
 
Hivi unajua kuwa wanamme wengi kichwa kidogo kikiwa bize kichwa kikubwa kinashut down?

Okay, it's a cheap excuse lakini ndio hali halisi, sasa wewe uliyeletewa ndani ndi uamue kama una kifua cha kubeba.
Mwanamme anaweza leta mwanamke ndani lakini si kwamba hampendi mkewe ila ndo keshamleta hawara ndani.

what! ananipenda halafu alete hawara yake ndani! hapana aisee...
 
Again. . .kama unaweza ukampenda mtu na bado ukamdharau basi wana mapenzi mengi tu kwa wake zao, hivyo wasilalamike watulie tu maana wanapendwa. Kuchafuliwa shuka kitu gani bana kama mume anakupenda. . .si utanunua mpya?

Alafu usisahau kwamba aloletwa anaweza hata asijue jamaa kaoa.

There u r Lizzy,tusimlaumu hawara inawezekana jamaa hajasema kama ana mke. hapo wa kumlaumu ni mwanaume..
 
Again MwanajamiiOne
Kwanini unafikiri mwanamke ndiye anachezewa na si mumeo? Bila kuelewa thinking ya hao OW uactivist wako hauwezi fanya kazi.

Best wishes katika kumpeotect mumeo kwa kuplead with 'the Joleens'.

Dark City
Nakubaliana nawe kuwa huyo OW anakosea kuingilia ndoa ya watu; but as a wife, what can u do? Yes waweza plead naye akaacha lkn mumeo akatafuta mwingine na mwingine na mwingine. What a hell of work utakuwa nao ya kuwabembeleza au hata kuwashurutisha hao OW wasikuibie mume?

Kwa mtu kama mimi, nadeal na root au shina la matatizo; (mume) n if l succeed then nimemaliza!

Ahsante Kaunga,

Kuna mambo mawili ambayo nayaangalia katika hii issue....kwanza ni nani alaumiwe? Na je,wahusika wanabeba shea kiasi gani ya lawama? Katika hili, kwanza wote wana lawama ya kufanya uzinzi (au uasherati) na pili mwanamke hatakuwa na kosa kama alidanganywa kwamba mwanamume ni single. Hili linategemea jambo ambalo MJ1 kalisema awali kuwa siku hizi watu anaona kama kutembea nje ya ndoa ni ruksa!!

Jambo la pili, ni mtu wa kudeal naye (kwa upande wa mama mwenye mume). Hapa nakubaliana na wewe kabisa kuwa hakuna sababu kabisa ya kujihangaisha kwa kudeal na huyo mwizi wa mume wa mtu (OW). Kwa kufanya hivyo, mhusika atakuwa atatui tatizo bali anajaribu kuzima moto kwa kuutawanya....Kama ulivyosema, dawa ni kumalizana na huyo mwanamume ili iwe mwanzo na mwisho au duka lifungwe na biashara iishie hapo!

Binafsi snitapata shida kumwelewa mtu eg dada yangu akinambia anaendelea kuishi na mume wake ambaye amemfanyia kitu kama hicho!

Babu DC!!
 
Dark City, nimeuliza kama mwanamke anaweza mpenda mwanamme aliyeoa bila hiyana, kama ni kweli basi mwanamke anaweza kubali pelekwa nyumbani kwa mmewe kwa kuhofia kupoteza penzi na kujifariji kuwa amekaribia kuwa upgraded to something else.(sihalalishi, najaribu tu kuangalia from the OW perspective).

Unajua katika mazingira ya sasa sidhani kama kuna mtu anaoa bila kudate kwanza halafu ndio ana upgrade to wife. Na pia tukumbuke kuwa bado kuna watu wanaoa wake wawili, inawezekana huyu OW anabembeleza kuwa mke wa pili, na kupelekwa kitanda cha mke wa kwanza anaweza jiona kuwa 'Yeah, nimekaribia nchi ya ahadi'
MwanajamiiOne, katika mabadiliko yeyote lazima factors zote zitakazochangia mabadiliko ziangaliwe na kufanyiwa kazi. Kama wewe ni activist wa wanawake na unataka wajitambue na kuheshimika jaribu kuangalia na hao wanaowadhalilisha/watumia sambamba na kumwelimisha mwanamke huyo. Ukiendelea kuweka lawama kwa wanawake peke yao wakati jamii inawaondoa akina baba, ni ngumu sana kupata mabadiliko maana hata akina baba ni part ya tatizo nao lazima wajitambue.
 
Last edited by a moderator:
what! ananipenda halafu alete hawara yake ndani! hapana aisee...

Kweli kabisa ndugu yangu,

Hapa ndipo nakumbuka zile sheria/guides za akina The Boss, Teamo na Asprin kuhusu mambo ya infii....Nakumbuka watu wengi walizipinga sana...



Hata hivyo, ukweli unabaki pale pale, kwamba mwanamume kutembea nje siyo kweli kwamba hampendi/kumheshimu mke wake, endapo anachukua tahadhari zote ili mkewe asijue!

Ila anapofikia kulete hawara nyumbani, maana yake huyo amemaliza vyuo vyote, yaani amekubuhu kwa ufsika na mke wake si chochote wala lolote la maana kwake!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wenzangu,
Siku hizi kutembea na mume wa mtu ni jambo la kawaida lakini ndio akulete nyumbani, ulalie the same bed anacholalia na mkewe?? That is too much akhaa!!

Hebu tujiulize kwa nini hakuleti nyumbani hapo wakati mkewe yupo? Jeuri hiyo hana kwa kuwa- ANAMPENDA MKEWE na HAYUKO tayari kumpoteza kwa sababu YAKO. Wewe utabakia kuwa mwanamke wa kupoza MHEMKO wake siku zote na katu hutoifilia hadhi ya MKEWE.


Tahadhari, Chukua Hatua!

mi naona tabia ya kuchukua wake\waume wa wa2 ife kabisa.
 
Wanawake wenzangu,
Siku hizi kutembea na mume wa mtu ni jambo la kawaida lakini ndio akulete nyumbani, ulalie the same bed anacholalia na mkewe?? That is too much akhaa!!

Hebu tujiulize kwa nini hakuleti nyumbani hapo wakati mkewe yupo? Jeuri hiyo hana kwa kuwa- ANAMPENDA MKEWE na HAYUKO tayari kumpoteza kwa sababu YAKO. Wewe utabakia kuwa mwanamke wa kupoza MHEMKO wake siku zote na katu hutoifilia hadhi ya MKEWE.


Tahadhari, Chukua Hatua!

.... MwanajamiiOne pole Soulmate, Mungu atakulipia :cool:
 
Last edited by a moderator:
I see bora kama hujafumaniwa ngumi za wanawake nikupaluana usoni kuharibiana mapokezi
 
Kama na Binti anajua wote wanamakosa morally...,
Kama Binti anajua ila amefall in love morally ana makosa, kiubinadamu pia anayo makosa ila hatuwezi kujua kaambiwa nini na mume wa mtu (labda mume amepaint picha kwamba hana raha na humpendi na unam-cheat hence kichwani mwake she thinks she is doing the right thing).. ila kwenda kwenye nyumba ya wenza (familia) na kufanya ngono there is no excuse as hakuna heshina na they are risking their lives.., ni rahisi kushikwa au hata kupata madhara even kupoteza maisha kabisa

so we can say they are all not considerate and there was no need kufanyia ujambazi wao kwenye nyumba ya familia.

Lakini kumbuka the woman owes u nothing its your husband who has broken the promise and trust (for better or worse.., in sickness and in health).., the woman took no vows...
 
Aksante Lizzy
Ni kweli yapo mengi lakini nakataa kuamini kuwa kuna any justification ya kucheat openly kiasi cha kuleta nyubani, chumbani, kitandani, kwenye shuka langu. NO MATTER WHAT I HAVE DONE, ndio ulete kitandani?? UMENICHOKA na HUNIHITAJI TENA so SITEGEMEI UNIBEMBELEZE wala KUNIOMBA MSAMAHA zaidi sana unambie...................HAYA NADHANI UMENIELEWA FUNGASHA KILICHO CHAKO SEPA.

.....:eek: .....mtoto wa kike hebu punguza presha bana, kunywa funda mbili tatu za maji baridi kisha uyarudie kinyume nyume uloyatamka (yaandika)....

Wajikubalisha na matokeo kiurahisi namna hiyo? Pole....halafu mbona wamtimua na mabegi yake? Ingekuwa ni nyumba yake ungeondoka? .....Soulmate, hasira hasara....mdomo huumba. Kaeni chini myazungumze, labda 'akili si zake'
 
.... MwanajamiiOne pole Soulmate, Mungu atakulipia :cool:


Swahiba wangu Mbu,

Hivi pole inatosha kwa mtu ambaye kapatwa na maswahiba kama hayo?

Nilidhani utachukua upanga na kwenda kumgombelezea soulmate wako......!!

Umenikumbusha msemo niliosikia kwao akina Bishanga, kwamba mtu anaweza kuwa na toto la ajabu ambalo linasimama mbele za watu, bila aibu linasema kuwa, "hata kama wamempiga baba yangu, ila na mimi nimewakomesha kwa kuwatukana"...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
.....:eek: .....mtoto wa kike hebu punguza presha bana, kunywa funda mbili tatu za maji baridi kisha uyarudie kinyume nyume uloyatamka (yaandika)....

Wajikubalisha na matokeo kiurahisi namna hiyo? Pole....halafu mbona wamtimua na mabegi yake? Ingekuwa ni nyumba yake ungeondoka? .....Soulmate, hasira hasara....mdomo huumba. Kaeni chini myazungumze, labda 'akili si zake'

Ni wewe kweli swahiba wangu Mbu,

Binafsi sidhani kama hapa kunakuwa na nafasi ya kuzungumza tena...Watazungumza nini wakati jamaa keshaamua kujilipua kama Al Qaeda?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ni wewe kweli swahiba wangu Mbu,

Binafsi sidhani kama hapa kunakuwa na nafasi ya kuzungumza tena...Watazungumza nini wakati jamaa keshaamua kujilipua kama Al Qaeda?

Babu DC!!

.....Swahiba.....kujilipua ni kama hivyo atakavyo Mwj1 kwamba ati mfano mie mbu shoto kulia naambatana na 'mlupo' home ilhali najua mwj1 kajaa tele nyumbani.

Hii ya leo inakubalika utetezi wake kaka.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom