Khaa! ..Hebu na Tujitambue...

Haya,leo mnaambizana mnapendana mnaleteana mahawara nyumbani.Kesho atalala nje halafu atakuambia"unajua mai waifu siku hizi nakupenda zaidi ya zamani ndo maana siku hizi siwaleti hapa namalizana nao huko huko"!. . .
 
Unamana gani unaposema kuchukua jumla? sijakupata vema.... Hata hivo tumeona wanaume ni wengi ambao wameoa wanatembea nje... sababu za kutembea huko nje zimetofautiana na ni topic nyingine kabisa. Kwamba akitembea na wewe hali akiwa na mke hamheshim huyo mwanamke? sio lazima... Inaweza ikawa kweli ama lah! Anaweza akawa na mke akatembea na mwanamke mwengine na akamheshimu vile vile... Akaheshim mke na huyo mwanamke pia.
Una akili nyingi sana wewe.
 
queenkami........kuna watu watakuja kukwambia hapa mwanaume hakosei ila mwanamke ndo anachangia!!
Ngoja waje.......

Kwani uongo?.... we kazi yako kuegesha tu halafu bishanga anampata aliyepitia unyago wa Zinduna we unadhani itakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Haya,leo mnaambizana mnapendana mnaleteana mahawara nyumbani.Kesho atalala nje halafu atakuambia"unajua mai waifu siku hizi nakupenda zaidi ya zamani ndo maana siku hizi siwaleti hapa namalizana nao huko huko"!. . .
 
Hao ndio wanaume bana.....kiukweli sijashangaa hata kidogo! Ila nna swali kwako km ww ndio muhusika sawa kama ni kesi ya dada yako pia sawa ila nna uhakika utakua najibu.
Baada ya huyo mke kugundua hilo akachakua uamuzi gani???
Mimi sitahangaika na huyo nguchiro aliyeletwa ndani maana sikufunga nae pingu za maisha na wala simfahamu sana2 nitamdharau na kumuonea huruma maana hajui mbele ya safari yake atakutana na masaibu ya aina gani.
Wanaume nyie jamani sikilizeni vilio vyetu basi looh,hamjionei huruma na nuksi zitakazowapata???!!!
Nuksi gani?
 
Haya,leo mnaambizana mnapendana mnaleteana mahawara nyumbani.Kesho atalala nje halafu atakuambia"unajua mai waifu siku hizi nakupenda zaidi ya zamani ndo maana siku hizi siwaleti hapa namalizana nao huko huko"!. . .

umewahi sikia 'i f.u.c.k.e.d her,but i only make love to you'?????
 
Ninawashukuru wote kwa kurespond kwa namna mlivyorespond........ninaheshimu mawazo yenu na ninakubaliana na nyie kuwa wa kudeal naye ni MUME aliyekula kiapo. Ni kweli kabisa LAKINI kama activist wa haki na heshma ya Mwanamke, nikitaka kuraise awareness juu ya haki na heshma ya wanawake niegemee upande gani?


Sawa chezewa kwa kupelekwa hotelini/guest houses but kuletwa nyumbani kwa mwanamke mwenzio, tena akiwa hayupo???? I would give the credict kuwa wapendwa kidhati iwapo utapelekwa wakati mke wa ndoa yupo, then would mean that the man amekuchoose wewe instead of Madame and that will give you a bit of credit iwapo huko kibiashara zaidi
Hivi nduguzanguni so called changudoa sio mwanamke?
Mbona tunamdhalilisha kihivyo?
 
Hivi labda tujiulize, nani atakaye mkomboa mwanamke? Jibu hapa lipo wazi sana kwamba mwanamke atakombolewa na mwanamke mwenzie na hii ipo tu ni nature. sasa tujiulize kivipi? Mwanamke atamkomboa mwanamke mwenzie kwa kuwa na umoja, ushirikiano na upendo na heshima miongon mwao. Mambo haya manne yakitumiwa vizuri na wanawake definately ukombozi ni lazima wala hautakawia. Dhana ya kwamba mwanaume ndiye mkombozi wa mwanamke mm huwa sikubalian nayo kabisa katika maisha yangu.

Ngugu yangu gfsonwin,

Hapo umeongea kinadharia sana....Kiuhalisia, si mwanamke wala mwanamume anayeweza kuleta ukombozi wake bila kumtegemea mwenzake...Kudhani kwamba wanawake wanaweza kujikomboana peke yao ni jambo ambalo siamini kabisa kama linawezekana.

Itabidi nitawatafute wataalamu wenye shule zao wanielimishe!!


Kasheshe ni kwamba wanawake tuko kinyume kabisa na haya mambo 4 niliyoyaeleza na matokeo yake ni ksubiri huruma tu ya mwanaume. wanawake wakipendana kwa dhati definately hakuna atakaye tembea na mume wa mwenzie na tukishirikiana kwa umoja basi hawa waume wangekuwa wanashindwa hata kutongoza.

Hiyo sasa ndiyo hali halisi...Kudhani kinyume chake ni wishful thinking!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Dahhhh
nashindwa kuelewa , Hivi kama unajua fika huyu ni mume wa mtu anafamilia yake,
unamfuata wa nini? Hii ya kwenda mpaka kitandani kwake imepita kiasi (disgusting)
ni aibu kwa kweli ..

i missed you....
 
Nasikitika sana lawa za baadhi ya wachangiaji zinaenda kwa wanaume pekee... sikitiko!!!

Tendo si sahihi, kufnyia ndani ndio balaa, lakini je utalaumu upande mmoja?? nini maana ya kuchagua wa kulaumu?? tafsiri yake ni ipi kwa nafasi ya mwanamke to right the wrongs that men make if we eventually end up in blaming one party in such a crime??

Taratibu za jamii na hata sheria ziko wazi, kusaidia uhalifu ni uhalifu pia, lakini nadhani in our lives women have been on the loose when it comes to accountability..........

BINAFSI NTALAUMU WOTE, EQUALLY, KIBAYA ZAIDI NI PALE BINTI UNALALA KWA BWANA WA MWENZAKO TENA KITANDANI KWAO HALAFU KESHO UNAMSALIMIA NA MACHO MAKAVU NA KUMPA HUG, YET UNALAUMU MWANAUME
 
Dahhhh
nashindwa kuelewa , Hivi kama unajua fika huyu ni mume wa mtu anafamilia yake,
unamfuata wa nini? Hii ya kwenda mpaka kitandani kwake imepita kiasi (disgusting)
ni aibu kwa kweli ..

Karibu sana afrodenzi,

Tatizo ni kwamba haya mambo yapo na yanafanyika. Bahati mbaya tumekosa mdau ambaye aliwahi kufanya ili atupe ushuhuda,

Halafu wewe...hebu punguza kupotea basi...Au na wewe ulikuwa na mpango wa kumfuata Husninyo?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom