Khaa! ..Hebu na Tujitambue... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Khaa! ..Hebu na Tujitambue...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, May 30, 2012.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wanawake wenzangu,
  Siku hizi kutembea na mume wa mtu ni jambo la kawaida lakini ndio akulete nyumbani, ulalie the same bed anacholalia na mkewe?? That is too much akhaa!!

  Hebu tujiulize kwa nini hakuleti nyumbani hapo wakati mkewe yupo? Jeuri hiyo hana kwa kuwa- ANAMPENDA MKEWE na HAYUKO tayari kumpoteza kwa sababu YAKO. Wewe utabakia kuwa mwanamke wa kupoza MHEMKO wake siku zote na katu hutoifilia hadhi ya MKEWE.


  Tahadhari, Chukua Hatua!
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Pole MJ1.
  Shit happens.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Mwanamke anapokuja hapo kwako anapachukulia kama gesti tu.
  Unadhani kwa nini akuchukie wakati anakuibia? Wakati mwingine wala hata hakujui.

  Mlaumu mmeo aliyekula kiapo halafu analeta hawara ndani.
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hhmmm. . .yamekukuta yepi tena mami?

  Ubaya ni kwamba wote wanakua wamechafuka . Yani mke nae analalia uchafu wa kimada sijui ndio hawara. HASARA TUPU. Alafu hii habari ya kusema eti 'mume wangu ananipenda na hataki kunipoteza ndo maana aliniletea mwanamke mwingine chumbani kwetu, kwenye kitanda tunacholalia pamoja wakati sipo' sikubaliani nayo. Unless kupenda kunawezekana bila heshima. Yani mtu anakupenda ila anakudharau. . .
   
 5. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Wanaume ndo wajiheshimu na wawaheshimu wake zao.......

  What if kama huyo apelekwae hajali whatever the case is.........mke or mpoza mihemko???
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Hivi unajua kuwa wanamme wengi kichwa kidogo kikiwa bize kichwa kikubwa kinashut down?

  Okay, it's a cheap excuse lakini ndio hali halisi, sasa wewe uliyeletewa ndani ndi uamue kama una kifua cha kubeba.
  Mwanamme anaweza leta mwanamke ndani lakini si kwamba hampendi mkewe ila ndo keshamleta hawara ndani.

   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Again. . .kama unaweza ukampenda mtu na bado ukamdharau basi wana mapenzi mengi tu kwa wake zao, hivyo wasilalamike watulie tu maana wanapendwa. Kuchafuliwa shuka kitu gani bana kama mume anakupenda. . .si utanunua mpya?

  Alafu usisahau kwamba aloletwa anaweza hata asijue jamaa kaoa.
   
 8. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  I fil sory kwako Mj1 na wote ilyowatokea. Ndo maisha yalivyo. Ila kwann afanye hvyo? Kwan hcho anachotafta kwa huyo we huna?
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Natamani wanamme waje kwenye huu uzi halafu wawe wawazi kusema ni nini huwa kinawapata.

  But watatuzungusha tuu na siasa.

   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kongosho my Sisy, nitakuelewa iwapo umebebwa kutokea Corner Bar Ambiance pale, Ohio au Q Bar..... but kwa mwanamke ambaye umekuwa na hopes kuwa one day, only one day utakujammiliki huyu mwanaume kwa kweli ni kujishushia hadhi.......... ukalalie kitanda ambacho mwenzako amekuwa akipewa na kutoa starehe hapo.........and who knows may be the same sheets were used the night before or two to three hours ago????

  I know wanaume hawajali probably they do not even recognize au notice that but wewe kama mwanamke (ndio haikuexempt kwenye kundi la vyangu kwa kutembea na mume wa mtu budt Gossssh!!akulete nyumbani, chumbani, kitandani and probably kwenye same sheets alizolalia na mke wake!!!
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mungu wangu!!!
   
 12. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Dah! kuna watu wana mioyo ya chuma..... Haogopi? Sleeping with him is another matter, kwenda kujivinjari kwenye kitanda cha mkewe ni kujitakia nuksi na kifo aisee.... Kuna mambo mengine hayatakiwi kuvukika. Hilo ni moja wapo.

  Enways ogopa sana mwanaume ambae ana guts za kukupeleka kitanda ama nyumbani kwa mkewe kulala na wewe, hata ile tu kuwakutanisha na kuwatambulisha. Sema tu wanawake tupo so selfish na kila mmoja hutaka kujiona ni wa maana kuliko mwanamke mwenzie hata ambapo papo wazi. Huwezi shindana na nafasi ya mke hio ni period! Hata ufurukute vipi... Labda awe mwanaume ambae hana heshima kwa wanawake wote au wawe na personal issues.
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ngoja nikapike zangu chapati mie. . .
  Wakija wale waukweli (wasioongozwa na vichwa vidogo) niite nisafishe nafsi kwa kuwasoma.
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  NATAMANI......................................... kujua wanachokuwa wanafikiria pale wanaposuggest Guest yao iwe nyumbani kwa Mj1 simply because Mj1 hayupo amesafiri, ni kuishiwa pesa za kulipia guest/hotel au anakuwa anataka kupata ile fantasy kuwa yuko na Mj1 ?? Why kitandani kwangu??? ambako pengine hata harufu ya udi au perfume au hata natural scent yangu bado inasikika??
   
 15. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  Mwanaume wa hivi, hata mkewe hamueshimu... Yaani ni kama tu fenicha kwake..
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo akikupeleka/tembea na wewe tu bila kukuchukua jumla ana heshima kwa wanawake? Labda mama yake mzazi. . .ila sio huyo mke wala hawara.

  Alafu MwanajamiiOne ningeona huyo mke (sijui kama ni wewe) nae anajitambua iwapo angeuliza "iweje mume ampeleke hawara nyumbani, kwenye kitanda anacholala na mkewe wa ndoa" kisha ndio aulize "iweje mwanamke akubali kulazwa kwenye kitanda cha mwanamke mwenzie"!!

  Kwa kuishia tu hapo ulipoishia inaonyesha fika aliyekumbwa na masahibu hajui jukumu la mumewe kwake, anajali zaidi yule ambae hana makubaliano wala viapo nae.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. M

  Mauu Member

  #17
  May 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Huyo mwanaume ana matatizo, si bora hata angemgalagaza huyo demu kwenye kichaka kuliko kumpeleka nyumbani kwake, lol!
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  sorry to say this....

  Huyo mwanaume anayepeleka hawara nyumbani kwake....
  Hajiheshimu,
  hamuheshimu mkewe,
  haheshimu ndoa yake,
  haheshimu watoto wake..
  Hajitambui nafasi yake kama baba na kiongozi wa familia
  na ana tabia chafu......
   
 19. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hapo pekundu napakosea neno.

  Mara nyingi nimegundua sisi wanawake tunakimbilia kuwalaumu wanawake wa nje wa waume zetu.
  Kuna mtu alikua anafikiria kila mbinu za kumkomoa mwanamke wa nje wa mumewe,nikamwambia hiyo siyo dawa wa kupambana naye ni mumeo,akasema kamwe hawezi kugombana na mmumewe bali atawakomesha wanaomuibia mumewe.
  Baadhi ya hawa waume wanafanya ndio wakulaumiwa,wengine wanatongoza wanawake huko nje wakisema wako single na siku hizi wanaume wengi tu hawataki kuvaa pete zao za ndoa,kabla ya kuwalaumu hawa wanawake wa nje tujiulize huwa wanaambiwa nini na waume zetu hadi wanakubali kujiamini kuja hadi vyumbani mwetu,japo wapo wanawake makauzu hata akijua huyu ni mume wa mtu hajali ila wapo ambao wanadanganywa kuwa sina mke na vitu kama hivyo.
  Kwenye kesi kama hii wakulaumiwa ni mume tu na sio mtu mwingine yoyote yule.

  Halafu mi naona kama hawa wanaume wanapata kichwa maana kosa afanye yeye halafu lawama zielekezwe kwa mwingine no wonder wanacheat tena na tena.
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Kwa nini unadhani ni aibu ya mwanamke tu? Na si mwanamme ambaye kakuoa tena labda kanisani au msikitini?

  Kwa nini unambebesha lawama mwanamke peke yake?

  Tena mie wa ambiance nitakasirika zaidi ila kama ni mwanamke decent angalau nitavumilia.MJ1, siku mmeo akitembea na changu afu ukafahamu na ukamuona changu huyo, maumivu utakayopata, utanielewa.(Sijafanya risechi so wanamme msinirukie,nasikia wanafuata machangu wapate mtandao rahisi, sasa imagine mmeo akizama kwenye mbolea ya changu ambaye kwa siku anahudumia watu kadhaa)

  Swali, hivi mwanamke hawezi mpenda mwanamme aliyeoa? Naamanisha kupenda na si kwa jili ya kujinufaisha na faida yeyote.

  Halafu nitaendelea na ninachofikiri.

   
Loading...