Hoja ya kipumba.vu!Tunasujudu mpaka Mkenya
Kuna siku huyo Martha Karua atarudi na utetezi wa ushoga. Mtampokea kwa furaha kama leo?
Mwanangu kuna mawili upo narrow sana upstairs au upo unaongozwa na hisia,matha karua na genge lake kwa kutumwa na mkimbizi maria, hawataingia Tanazania kilofa
in fact,
wamekuja Tanzania kilofa na wanarudishwa kwoo kilofa vilevile. Lazima kua na adabu![]()
sheria zetu za uhamiaji zikoje? je hatuna haki ya kumzuia mtu kuingia nchini hatakama sio mhalifu?Mwanangu kuna mawili upo narrow sana upstairs au upo unaongozwa na hisia,
ni hivi kwa mujibu wa Katiba ya JMT, Ibara ya 107A(1), mahakama zipo kwa ajili ya kutoa haki kwa mujibu wa sheria. Na kwa mujibu wa misingi ya haki ya kimataifa, kesi za wazi zinaweza kuhudhuriwa na yeyote, raia au mgeni, kama hakuna zuio la mahakama.
Hakuna sheria yoyote inayowakataza mawakili kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kushuhudia kesi ya wazi isipokuwa tu kama mtu huyo ana rekodi ya hatari kwa usalama wa taifa, jambo ambalo halijaonyeshwa wala kuthibitishwa dhidi ya Martha Karua wala wenzake.
Jitahidi kujua mambo hata haya madogo tu yatakusaidia usiabike Mpwa!
ulie deep tuliza mihemko basi na makasiriko,Mwanangu kuna mawili upo narrow sana upstairs au upo unaongozwa na hisia,
ni hivi kwa mujibu wa Katiba ya JMT, Ibara ya 107A(1), mahakama zipo kwa ajili ya kutoa haki kwa mujibu wa sheria. Na kwa mujibu wa misingi ya haki ya kimataifa, kesi za wazi zinaweza kuhudhuriwa na yeyote, raia au mgeni, kama hakuna zuio la mahakama.
Hakuna sheria yoyote inayowakataza mawakili kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kushuhudia kesi ya wazi isipokuwa tu kama mtu huyo ana rekodi ya hatari kwa usalama wa taifa, jambo ambalo halijaonyeshwa wala kuthibitishwa dhidi ya Martha Karua wala wenzake.
Jitahidi kujua mambo hata haya madogo tu yatakusaidia usiabike Mpwa!
As a nation,Take this gentleman.. Kisha wapelekee nao ukawaonesheView attachment 3338133
Ajabu sanaKESI WAMEFUNGUA CCM HALAFU WANAKIMBIA WATU WASITAZAME KESI
Mshana,hii ni title ya novel ya James Hadley Chase na mpaka Sasa bad ninayo.The guilty are afraid...!!!
Unajihangaisha kuelimisha huo msukule wa LumumbaMwanangu kuna mawili upo narrow sana upstairs au upo unaongozwa na hisia,
ni hivi kwa mujibu wa Katiba ya JMT, Ibara ya 107A(1), mahakama zipo kwa ajili ya kutoa haki kwa mujibu wa sheria. Na kwa mujibu wa misingi ya haki ya kimataifa, kesi za wazi zinaweza kuhudhuriwa na yeyote, raia au mgeni, kama hakuna zuio la mahakama.
Hakuna sheria yoyote inayowakataza mawakilinaj kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kushuhudia kesi ya wazi isipokuwa tu kama mtu huyo ana rekodi ya hatari kwa usalama wa taifa, jambo ambalo halijaonyeshwa wala kuthibitishwa dhidi ya Martha Karua wala wenzake.
Jitahidi kujua mambo hata haya madogo tu yatakusaidia usiabike Mpwa!
Shida ndio hii, watu wakitaka mifumo iwe accountable, tayari inakikbiliwa kesi ya ushoga, as if ndio kesi iliyopoTunasujudu mpaka Mkenya
Kuna siku huyo Martha Karua atarudi na utetezi wa ushoga. Mtampokea kwa furaha kama leo?
Huko kwao Kenya kesi sinawashinda kuna ukabila,ugaidi,mauaji mpaka ya wabunge ,wasichana wananyanyaswa nchi za kiarabu wanaofanyakazi za ndani.Wamzshinwa kutoa boriti kwenye jicho lao,wanataka kutoa kibanzi kwenye jicho la mwingineNimepokea taarifa ya kusikitisha na ya kutia wasiwasi kutoka kwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK), Wakili Faith Odhiambo, kuhusu kunyimwa kuingia nchini Tanzania kwa Mawakili Gloria Kimani (Mjumbe wa Baraza la LSK), Martha Karua, na Lyn Ngugi. Mawakili hawa walipanga kuhudhuria na kushuhudia mwenendo wa kesi inayoendelea dhidi ya Wakili Tundu Antipas Lissu katika Mahakama ya Mwanzo ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Kwa kujibu hali hii, nimechukua hatua za haraka kwa kumtuma Wakili Hekima Mwasipu kufuatilia kwa kina suala hili ili hatua stahiki za kisheria zichukuliwe.
Tunapenda kuwakumbusha mamlaka husika kwamba nchi hii inaongozwa kwa misingi ya utawala wa sheria na Katiba yake, na hakuna zuio lolote la kisheria linalokataza mtu yeyote kuhudhuria kesi ya wazi mahakamani kuhusu mashtaka yanayomkabili Wakili Tundu Antipas Lissu.
Tunaomba kwa dhati kwamba mawakili hawa waruhusiwe kuingia nchini, kwani uwepo wao ni ushahidi wa dhamira yetu ya kuendeleza haki na usawa mbele ya jumuiya ya kimataifa.
Yanayoendelea kwa sasa ni ukiukwaji mkubwa wa sheria na Katiba ya nchi. Kama Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), tunafuatilia kwa makini hali hii.
Aidha, pamoja na kupeleka mawakili kumuunga mkono Wakili Tundu Lissu katika kesi hiyo kesho, mimi binafsi nitahudhuria kikao cha mahakama kwa wakati uliopangwa.
Tunaziomba Idara ya Uhamiaji ijiepushe na matendo yanayoharibu taswira ya taifa letu kwa kuchochea migogoro isiyo ya lazima na isiyo na msingi wowote.
Tunalaani vikali na kudai kusitishwa mara moja kwa vitendo hivi visivyo halali vinavyoaibisha na kudhalilisha heshima ya nchi yetu.
BAK Mwabukusi
Rais, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)View attachment 3338065
Vitendo vya Polisi, Uhamiaji, Waziri wa Mambo ya Dani au yoyote Yule , vina haribu taswira na ukweli wa Huru wa MahakamaNimepokea taarifa ya kusikitisha na ya kutia wasiwasi kutoka kwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK), Wakili Faith Odhiambo, kuhusu kunyimwa kuingia nchini Tanzania kwa Mawakili Gloria Kimani (Mjumbe wa Baraza la LSK), Martha Karua, na Lyn Ngugi. Mawakili hawa walipanga kuhudhuria na kushuhudia mwenendo wa kesi inayoendelea dhidi ya Wakili Tundu Antipas Lissu katika Mahakama ya Mwanzo ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Kwa kujibu hali hii, nimechukua hatua za haraka kwa kumtuma Wakili Hekima Mwasipu kufuatilia kwa kina suala hili ili hatua stahiki za kisheria zichukuliwe.
Tunapenda kuwakumbusha mamlaka husika kwamba nchi hii inaongozwa kwa misingi ya utawala wa sheria na Katiba yake, na hakuna zuio lolote la kisheria linalokataza mtu yeyote kuhudhuria kesi ya wazi mahakamani kuhusu mashtaka yanayomkabili Wakili Tundu Antipas Lissu.
Tunaomba kwa dhati kwamba mawakili hawa waruhusiwe kuingia nchini, kwani uwepo wao ni ushahidi wa dhamira yetu ya kuendeleza haki na usawa mbele ya jumuiya ya kimataifa.
Yanayoendelea kwa sasa ni ukiukwaji mkubwa wa sheria na Katiba ya nchi. Kama Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), tunafuatilia kwa makini hali hii.
Aidha, pamoja na kupeleka mawakili kumuunga mkono Wakili Tundu Lissu katika kesi hiyo kesho, mimi binafsi nitahudhuria kikao cha mahakama kwa wakati uliopangwa.
Tunaziomba Idara ya Uhamiaji ijiepushe na matendo yanayoharibu taswira ya taifa letu kwa kuchochea migogoro isiyo ya lazima na isiyo na msingi wowote.
Tunalaani vikali na kudai kusitishwa mara moja kwa vitendo hivi visivyo halali vinavyoaibisha na kudhalilisha heshima ya nchi yetu.
BAK Mwabukusi
Rais, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)View attachment 3338065
WameshundwaView attachment 3338316
Hii kitu ndio suluhisho..traaatatataaatraaaa paaaaaaahhh
Huu ndio ukweli.Huyo kibibi kizee kikalee wajukuu kwao KenyaTunasujudu mpaka Mkenya
Kuna siku huyo Martha Karua atarudi na utetezi wa ushoga. Mtampokea kwa furaha kama leo?
Halafu unatuambia tusijadili watu, hivi kweli utaacha kumjadili Hangaya kwa haya mambo kweli?Haya
Robot limekurupuka tayarimatha karua na genge lake kwa kutumwa na mkimbizi maria, hawataingia Tanazania kilofa
in fact,
wamekuja Tanzania kilofa na wanarudishwa kwoo kilofa vilevile. Lazima kua na adabu![]()
Sijakutana na comment ya kipumbavu zaidi ya hii wiki nzimaTunasujudu mpaka Mkenya
Kuna siku huyo Martha Karua atarudi na utetezi wa ushoga. Mtampokea kwa furaha kama leo?
Kwao.Kenya kuna ukabila wa kutisha na na ugaidi na wafanyakazi wa ndani house girl kunyanyaswa nchi za uarabuni,mbona hashughuliki na kuwasaidia kesi zao Akae alee wajukuuVitendo vya Polisi, Uhamiaji, Waziri wa Mambo ya Dani au yoyote Yule , vina haribu taswira na ukweli wa Huru wa Mahakama