Ukabila , iwe Udini , haufuniki uhuru wa Mahakama zetu.Kwao.Kenya kuna ukabila wa kutisha na na ugaidi na wafanyakazi wa ndani house girl kunyanyaswa nchi za uarabuni,mbona hashughuliki na kuwasaidia kesi zao Akae alee wajukuu
Ukabila , iwe Udini , haufuniki uhuru wa Mahakama zetu.Kwao.Kenya kuna ukabila wa kutisha na na ugaidi na wafanyakazi wa ndani house girl kunyanyaswa nchi za uarabuni,mbona hashughuliki na kuwasaidia kesi zao Akae alee wajukuu
Hilo robot linaweza kuelewa kweli?Take this gentleman.. Kisha wapelekee nao ukawaonesheView attachment 3338133
Kesi zao za Kenya,zinawashinda,kuna ukabila,ugaidimatha karua na genge lake kwa kutumwa na mkimbizi maria, hawataingia Tanazania kilofa
in fact,
wamekuja Tanzania kilofa na wanarudishwa kwoo kilofa vilevile. Lazima kua na adabu![]()
Kibibi.kizee atokz Kenya badala ya kulea wajukuuHalafu unatuambia tusijadili watu, hivi kweli utaacha kumjadili Hangaya kwa haya mambo kweli?
Yohana nakuamini wewe siyo CHAWA nakuombea utoke kwenye Kila aina ya maslahi ya CCM
Umshughulikie kwa kosa gani? Unajitambua kweli?sheria zetu za uhamiaji zikoje? je hatuna haki ya kumzuia mtu kuingia nchini hatakama sio mhalifu?
lakini akingangania kuja mwacheni aje tushughulike nae ndani kwa ndani
Another foolish rhetoric, kikwajuni kutoka kwa chura kiziwiKesi zao za Kenya,zinawashinda,kuna ukabila,ugaidi
Kibibi.kizee atokz Kenya badala ya kulea wajukuu
Aayah wamekusikiamatha karua na genge lake kwa kutumwa na mkimbizi maria, hawataingia Tanazania kilofa
in fact,
wamekuja Tanzania kilofa na wanarudishwa kwoo kilofa vilevile. Lazima kua na adabu![]()
Ukabila ulioko Kenya si wakawaida,wakikuyu na wajaluo na wakalenjini. Ugaidi,dada wakazl wananyanyaswa nchi za kiarabu mpaka kuullwa,mbona hawawasaidii kufungua kesiUkabila , iwe Udini , haufuniki uhuru wa Mahakama zetu.
Bado hakuhalalishi Sisi kufanya vitukoUkabila ulioko Kenya si wakawaida,wakikuyu na wajaluo na wakalenjini Ugaidi,dada wakazu wananyantaqwa nchi za kiarabu mpaka kuuluwa,mbona hawawasaidii kufungua kesi
AK 47🤣🤣🤣🤣🤣🤣📌View attachment 3338316
Hii kitu ndio suluhisho..traaatatataaatraaaa paaaaaaahhh
Ulweli unauma.Huko kwao kuna kesi za house girl wananyanyaswa na kuuliwa nchi kiarabu.Mbona hawaendi kuwatetea?Watu wanauwana kwa ukabila mpaka mbunge kauliwa.watu wanauliwa na magaidi,hawateteiAnother foolish rhetoric, kikwajuni kutoka kwa chura kiziwi
Wamalize tofauti zao.Wana boriti machoni,wanataka kutoa vibanzi kwenye macho ya wengineBado hakuhalalishi Sisi kufanya vituko
Hapa hakuna ukweli unaouma bali upumbavu unaokera, tunazungumzia kesi ya Lissu wewe tunazungumzia ujuha wa kutoka Kizimkazi, Sheria gani iliyotumika kuwazuia na hofu ya nini kwenye kesi yenu?Ulweli unauma.Huko kwao kun1 kesi za house girl wananyanyasw1 na kuuliwa nchi kiarabu.Mbona hawaendi kuwatetea?Watu wanauwana kwa ukabila mpaka mbunge kauliwa.watu wanauliwa na magaidi,hawatetei
😂😂😂😂😂Hao uhamiaji ambao account yao inapost mambo kama haya??
View attachment 3338327
Kesi zao za Kenya,zinawashinda,kuna ukabila,ugaidimatha karua na genge lake kwa kutumwa na mkimbizi maria, hawataingia Tanazania kilofa
in fact,
wamekuja Tanzania kilofa na wanarudishwa kwoo kilofa vilevile. Lazima kua na adabu![]()
Hawana, wangewatetea dada wa kazi wa Kenya wananyanyaswa na kuuliwa uwarabuni na pia wangeweka masharti ya kwenda kufanyakazi huko na kuwafatilia wasipate manyanyaso wala kuuliwa,na kufanyakazi kwa mda maalumu kwa siku na wiki na kulipwa mishahara yao.Shida ndio hii, watu wakitaka mifumo iwe accountable, tayari inakikbiliwa kesi ya ushoga, as if ndio kesi iliyopo
This is pathetic response
Kuna kesi yoyote amewahi kutetea hao watu? Kama una hizo record pls share
Huna point hapo, kesi zao hazijawashinda, east africa nzima ndio wenye katiba inayowezw kumuadhib kiongoz wa umma, tz ,uganda mmewah kufanya hivyo?Kesi zao za Kenya,zinawashinda,kuna ukabila,ugaidi
Hawana wangetetea dada wa kazi wa Kenya wananyanyaswa na kuuliwa uwarabuni
kibibi kuna mdomo kichizi yaan🐒Kesi zao za Kenya,zinawashinda,kuna ukabila,ugaidi
Kibibi.kizee atokz Kenya badala ya kulea wajukuu
kibibi kimekomaa kichizi, eti kinatetea sijui nini wakati wakenya wanapotea huku kikiwa kimyaa 🐒Robot limekurupuka tayari