S.M.P2503
Platinum Member
- Nov 25, 2008
- 3,581
- 6,885
Wanaogopa kuzodolewa na ulimwengu- periodKwani wanaogopa nini watu kuhudhuria na kushuhudia hiyo kesi
Wanaogopa kuzodolewa na ulimwengu- periodKwani wanaogopa nini watu kuhudhuria na kushuhudia hiyo kesi
Wahuni ndio maana wanajaribu kujificha aibu yao wenyewe.KESI WAMEFUNGUA CCM HALAFU WANAKIMBIA WATU WASITAZAME KESI
Siku atakuja kumtetea mumeo atazuiwa muda ni mwalimu.kibibi kimekomaa kichizi, eti kinatetea sijui nini wakati wakenya wanapotea huku kikiwa kimyaa 🐒
ndio maana hakubaliki kabisa kwenye siasa za kenye, ndezi sana aise 🐒Siku atakuja kumtetea mumeo atazuiwa muda ni mwalimu.
Ikifika siku hiyouendelee kuropoka hivyo hivyondio maana hakubaliki kabisa kwenye siasa za kenye, ndezi sana aise 🐒
na ni kuropokaji wake unawafanya wakenya wakapuuze tu 🐒Ikifika siku hiyouendelee kuropoka hivyo hivyo
Waliopewa dhamana za juu za uongozi,ni mbeleko...shule za masomo ya jioni st yohana university college pappua new gineHii nchi kwa sasa unaweza kuhisi imetekwa na kundi la panya road. Yaani ni vurugu vurugu na vitisho kila mahali.
lazima tujiridhishe kama hajaja kwa nia ovuUmshughulikie kwa kosa gani? Unajitambua kweli?
kamekosa soko, sikuhizi kenya hupelekwi mahakamani wanamalizana nawe matharekibibi kimekomaa kichizi, eti kinatetea sijui nini wakati wakenya wanapotea huku kikiwa kimyaa 🐒
Kuna jamaa kawaita "panya road"Nchi inaendeshwa na kikundi cha wahuni badala ya katiba
wesyenge kama nyie ndio mnafanya watanzania tuonekane maitimatha karua na genge lake kwa kutumwa na mkimbizi maria, hawataingia Tanazania kilofa
in fact,
wamekuja Tanzania kilofa na wanarudishwa kwoo kilofa vilevile. Lazima kua na adabu![]()
na utakufa tu gentleman, maana unambatana na roho ya mauti katika kila comment 🐒wesyenge kama nyie ndio mnafanya watanzania tuonekane maiti
Ccm wanazidi kulikorogaNimepokea taarifa ya kusikitisha na ya kutia wasiwasi kutoka kwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK), Wakili Faith Odhiambo, kuhusu kunyimwa kuingia nchini Tanzania kwa Mawakili Gloria Kimani (Mjumbe wa Baraza la LSK), Martha Karua, na Lyn Ngugi. Mawakili hawa walipanga kuhudhuria na kushuhudia mwenendo wa kesi inayoendelea dhidi ya Wakili Tundu Antipas Lissu katika Mahakama ya Mwanzo ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Kwa kujibu hali hii, nimechukua hatua za haraka kwa kumtuma Wakili Hekima Mwasipu kufuatilia kwa kina suala hili ili hatua stahiki za kisheria zichukuliwe.
Tunapenda kuwakumbusha mamlaka husika kwamba nchi hii inaongozwa kwa misingi ya utawala wa sheria na Katiba yake, na hakuna zuio lolote la kisheria linalokataza mtu yeyote kuhudhuria kesi ya wazi mahakamani kuhusu mashtaka yanayomkabili Wakili Tundu Antipas Lissu.
Tunaomba kwa dhati kwamba mawakili hawa waruhusiwe kuingia nchini, kwani uwepo wao ni ushahidi wa dhamira yetu ya kuendeleza haki na usawa mbele ya jumuiya ya kimataifa.
Yanayoendelea kwa sasa ni ukiukwaji mkubwa wa sheria na Katiba ya nchi. Kama Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), tunafuatilia kwa makini hali hii.
Aidha, pamoja na kupeleka mawakili kumuunga mkono Wakili Tundu Lissu katika kesi hiyo kesho, mimi binafsi nitahudhuria kikao cha mahakama kwa wakati uliopangwa.
Tunaziomba Idara ya Uhamiaji ijiepushe na matendo yanayoharibu taswira ya taifa letu kwa kuchochea migogoro isiyo ya lazima na isiyo na msingi wowote.
Tunalaani vikali na kudai kusitishwa mara moja kwa vitendo hivi visivyo halali vinavyoaibisha na kudhalilisha heshima ya nchi yetu.
BAK Mwabukusi
Rais, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)View attachment 3338065
sasa wanawaogopa watarii. hawa ni watarii wa kisheria,Kwani wanaogopa nini watu kuhudhuria na kushuhudia hiyo kesi
Tatizo ni watu wa magufuliNchi inaendeshwa na kikundi cha wahuni badala ya katiba
Jwtz ni jeshi lililo jijengea heshima since waaay back my man.JWTZ mnawaangusha wananchi waliowaamini na wanaowaamini SIKU ikitokea JWTZ ikapashana misuli na Rwanda hamtaamini response ya watanzania dhidi yenu JWTZ jitengeni na mambo ambayo policcm wananasibishwa nayo hata wakipigwa na radi wananchi wanafurahi.