Kesi ya UHAINI ya TAL .. Figisu zimeanza

Kesi ya UHAINI ya TAL .. Figisu zimeanza

Shida ndio hii, watu wakitaka mifumo iwe accountable, tayari inakikbiliwa kesi ya ushoga, as if ndio kesi iliyopo
This is pathetic response

Kuna kesi yoyote amewahi kutetea hao watu? Kama una hizo record pls share
Ndio.
Martha Karua anasapoti ushoga!

Wabongo hamjui kwamba haya ma human rights huwa yanakuja pamoja kwenye package ????

Martha Karua kama mwanaharakati hawezi kukubalika kwenye duru za kimataifa - Wazungu sana sana - kama hata sapoti haki za vitu mbali mbali kama ushoga.
 
Acha ufala, wakenya wametupita mambo mengi sana. Hao TFF walipotaka kupeleka mawakili Cas waliwachukua wakenya.. Huko duniani vyuo vikiuu/mashule vinavyofundisha kiswahili, walimu ni wakenya wakati kiswahil nyumbami kwake ni tz

Sasa cheki jamani, jamani... TFF wamechukua wakili Mkenya kesi ya CAF !!

Miaka ile ya East Africa, hapa UD ndio ilikuwa kitivo cha sheria. Makerere Medicine, Kenya Engineering. Legal luminaries wa Kenya walisoma Tanganyika. Sasa leo wamekuzidi nini, Kiingereza ???

Ukienda kesi ya CAF jopo la waamuzi ni Msomali, Mkameruni (francophone) na Mmalawi (Mnyasa).

Sasa Msomali na Mnyasa watakuswalisha kiingereza gani cha kuhitaji Mkalimani wa Kikenya ?

Mboma tunajishusha jamani jamani jamani ????

Akimaliza la Tundu Lissu, Martha Karua atarudi kudai uhuru wa wangese. Mtamkubaliiii ????
 
Ndio.
Martha Karua anasapoti ushoga!

Wabongo hamjui kwamba haya ma human rights huwa yanakuja pamoja kwenye package ????

Martha Karua kama mwanaharakati hawezi kukubalika kwenye duru za kimataifa - Wazungu sana sana - kama hata sapoti haki za vitu mbali mbali kama ushoga.
Cut the bullshit, kesi iliyopo mahakamani si ya ushoga. Unaimba ushoga as if bongo haupo? Uswahilin huko wamejaaa sana mpaka wana account fb,insta , hadi kwenye harusi wanaalikwa ,halaf unaleta unafki hapa?

Kesi ni moja tu mahakamani, misimamo ya mawakili, wanaharakati ni mambo yao personal
 
Ndio.
Martha Karua anasapoti ushoga!

Wabongo hamjui kwamba haya ma human rights huwa yanakuja pamoja kwenye package ????

Martha Karua kama mwanaharakati hawezi kukubalika kwenye duru za kimataifa - Wazungu sana sana - kama hata sapoti haki za vitu mbali mbali kama ushoga.
Screenshot_20250509_131055.jpg
 
Back
Top Bottom