Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda aendelea kutoa ushahidi

WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI BRENDA RUPIA MAHAKAMANI

SEHEMU YA 13.

Tawabu: Sasa nakupa kamusi usome kuhusu neno uasi.

Brenda: (Anasoma) Uasi ni kitendo cha kuwapinga wenye mamlaka.

Tawabu: Mbona unaruka hiyo ya juu?

Tawabu: Ulituambia maneno ya uasi yalitoka kutoka kwa G55.

Brenda: Ni sawa.

Tawabu: Katika mkutano wenu, hao G55 waliongea?

Brenda: Hawakuongea.

Tawabu: Utakubaliana na mimi kuwa hii ni Mahakama ya sheria, siyo hisia?

Brenda: Nakubaliana.

Tawabu: Na maana ya hii Mahakama itatokana na sheria, siyo hisia ya mtu?

Brenda: Nakubaliana.

Tawabu: Ulisema ulikamatwa na Polisi, lakini haukupelekwa Mahakamani?

Brenda: Ndiyo.

Tawabu: Kwa hiyo, upo tayari wakupeleke sasa Mahakamani?

Brenda: Kwa lipi?

Tawabu: Nauliza tu, upo tayari kupelekwa Mahakamani?

Brenda: Kama wanaona nina mashtaka, wapeleke Mahakamani.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
Kumradhi: Tawabu, jinsia gani...?
 
Yaani Hadi saivi hawa mawakili wa serikali wanawaza sijui wamuulize swali gani

Ivyoo ndio mnadanganyana jinsi ya kuvuka ule Mto Mara ❗️

🫎Mwengine anamwambia
mwenzie yule kwenye Maji ni Mamba❗️

Mwengine anasema hapana lile Gogo tu kuendelea kunywa maji🫎🫎
 
WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI BRENDA RUPIA MAHAKAMANI

SEHEMU YA 14.

Anasimama Job Mrema

Job Mrema: Shahidi, nina maswali machache ili kuisaidia Mahakama.

Job Mrema: Shahidi, ni usahihi kwamba ulishiriki katika mkutano wa tarehe 03?

Brenda: Nilishiriki.

Job Mrema: Nataka uiambie Mahakama kuhusu yale mashtaka ambayo amekusomea hapa. Aliungwa mkono au hakuungwa mkono?

Brenda: Sijui.

Job Mrema: Lakini unaiambia Mahakama kwamba ulikuwepo?

Brenda: Nilikuwepo.

Job Mrema: Hebu iambie Mahakama, hii ni majukumu yako yapi mahususi?

Brenda: Ni pamoja na kusimamia itifaki ya ndani na mikutano ya hadhara endapo Naibu Katibu Mkuu hayupo.

Job Mrema: Ni sahihi kwamba wewe ni Mkurugenzi wa Mawasiliano? Ni mambo gani hasa unayafanya?

Brenda: Mimi huwa in charge katika masuala ya habari, kuita waandishi wa habari kuja kufanya coverage. Na kupitia hao waandishi wa habari, mimi pia nina-oversee utendaji wa kazi ambao utafanywa na watu walio chini yangu.

Job Mrema: Nitakuwa sahihi nikisema kwamba wewe siyo Mkurugenzi wa Mawasiliano, ni Afisa Ualikaji?

Brenda: Itakuwa umekosea. Nimesema mimi pia nasimamia watu walio chini yangu.

Job Mrema: Watu waliopo chini yako wanafanya nini kuhusiana na Mawasiliano?

Brenda: Wanawasiliana na waandishi wa habari. Wanafanya kazi zangu on behalf. Wanatoa matangazo kwa niaba ya Mkurugenzi.

All eyes mkuu manyanza…
 
Kweli mwenye Akili ni Heche tu kamtanguliza Dada mbele kwa Mwenyekiti❗️

Si tunaona yeye kawekwa wa mwisho kutoa Ushahidi ili kwanza ajifunze kupitia wengine field ya macho kwa macho na kusikia‼️
sio kweli mkuu. Sio kweli hata kidogo. Weka akiba ya maneno. Utamuona Wagesa kizimbani sio muda.
 
WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI BRENDA RUPIA MAHAKAMANI

SEHEMU YA 13.

Tawabu: Sasa nakupa kamusi usome kuhusu neno uasi.

Brenda: (Anasoma) Uasi ni kitendo cha kuwapinga wenye mamlaka.

Tawabu: Mbona unaruka hiyo ya juu?

Tawabu: Ulituambia maneno ya uasi yalitoka kutoka kwa G55.

Brenda: Ni sawa.

Tawabu: Katika mkutano wenu, hao G55 waliongea?

Brenda: Hawakuongea.

Tawabu: Utakubaliana na mimi kuwa hii ni Mahakama ya sheria, siyo hisia?

Brenda: Nakubaliana.

Tawabu: Na maana ya hii Mahakama itatokana na sheria, siyo hisia ya mtu?

Brenda: Nakubaliana.

Tawabu: Ulisema ulikamatwa na Polisi, lakini haukupelekwa Mahakamani?

Brenda: Ndiyo.

Tawabu: Kwa hiyo, upo tayari wakupeleke sasa Mahakamani?

Brenda: Kwa lipi?

Tawabu: Nauliza tu, upo tayari kupelekwa Mahakamani?

Brenda: Kama wanaona nina mashtaka, wapeleke Mahakamani.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
Hapa naona wanamtisha ili atoke nje ya reli eti upo tayari kupelekwa mahakamani jibu la Brenda lakibabe
 
Kweli mwenye Akili ni Heche tu kamtanguliza Dada mbele kwa Mwenyekiti❗️

Si tunaona yeye kawekwa wa mwisho kutoa Ushahidi ili kwanza ajifunze kupitia wengine field ya macho kwa macho na kusikia‼️
Ficha huu ujinga haraka sana!! Unawapangia watu nani aanze kutoa ushahidi? Kwa nini hujauliza mbona Leo Katuga hajaanza kumhoji shahidi? Hivi machawa wa CCM tumekuaje sasa hivi yani tunatetea ujinga alafu wanaofaidika ni wakina Abdul huko zanzibar
 
Diamond kahusikaje ukisikia mashambulizi ya kichwa ni kama haya mpaka muuliza anatoka kwenye mstari
Maswali si hana na pia anataka kumchanganya

Nimegundua kitu kua msomi I mean kwenda darasani

Halafu unatikiwa uwe na uwezo wa kutumia maarifa uliyopata darasani

Naweza kusema watu wanaojinasibu ni wasomi baadhi yao ni weupe mnooo
 
Back
Top Bottom