Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 50,294
- 40,612
angalau umeanza kukomaa akili,Dogo hunaga akili
na umeanza kusahau na kupunguza kutukana na kuporomosha matusi jukwaani ,
well done that's very good move gentleman, keepitup

angalau umeanza kukomaa akili,Dogo hunaga akili

Ooh kumbe, naanza kupata mwanga sasaSio kila taifa lipo tayari nyeti zake ziwe wazi kama za kuku akinya!
Kuna namna nyingi sana ya kuepusha nyeti za taifa zikawa wazi kiasi kwamba tuzodolewe!
Ccm chama chetu kina asili ya kupukutisha majani yake ili yachipue mapya!
Kesi imeshafanyiwa kazi na kinachofata ni mwanzo mpya!
Huoni EU imerudisha msaada!?coz kijana wao mwenye uraia wa huko ndio in charge wa maswala yote sasa!!?
Huo ni mwanzo mpya!
Elewa tu
Nawaza Kwa sauti kuu