Kesi ya Saileth Vithlani wa kashfa ya Rada

Kesi ya Saileth Vithlani wa kashfa ya Rada

Status
Not open for further replies.
Huyu bwana akikamatwa akasema yeye ni Mwingereza (kwa kuukana Utanzania) na kubakiwa na passport ya UK. Hii kesi itachukua miaka na kugharimu Kodi yetu in millions kabla huyu mtu hajaingia mahakamani kisutu (iwapo watafanikiwa kumtoa nje ya UK). Itabidi waombe extradition kutoka kwenye mahakama za UK na Waziri wa Mambo ya nje atie sahihi...tena bado anaweza kufanya appeal kwenye Bunge la UK na akishindwa huko tena anaweza kwenda Mahakama ya Ulaya. Ukizingatia ana access na 12 million dollars.

Yes, sheria ichukue mkondo wake lakini watanzania wawe tayari kuwalipa wakina Mkono 500 USD/ per Hour kwa miaka mingi ijayo.
 
Huyu bwana akikamatwa akasema yeye ni Mwingereza (kwa kuukana Utanzania) na kubakiwa na passport ya UK. Hii kesi itachukua miaka na kugharimu Kodi yetu in millions kabla huyu mtu hajaingia mahakamani kisutu (iwapo watafanikiwa kumtoa nje ya UK). Itabidi waombe extradition kutoka kwenye mahakama za UK na Waziri wa Mambo ya nje atie sahihi...tena bado anaweza kufanya appeal kwenye Bunge la UK na akishindwa huko tena anaweza kwenda Mahakama ya Ulaya. Ukizingatia ana access na 12 million dollars.

Yes, sheria ichukue mkondo wake lakini watanzania wawe tayari kuwalipa wakina Mkono 500 USD/ per Hour kwa miaka mingi ijayo.

Yebo Yebo,

Alivyotenda kosa, alikuwa ni raia wa TZ pia, kwahiyo uraia wake wa UK hautamsaidia kama TZ wataweza ku prove kwamba alikuwa raia wa Tanzania.

Ukifanya makosa kwenye nchi ambayo una uraia wake mbali ya ule wa UK, basi hiyo protection ya UK haifanyi kazi tena.
 
Mkjj,
Starring wangu, hiyo ni kwa ajili ya uraia wa kuzaliwa ambayo US ni sheria.......wanaofanya hivyo si viongozi tu hata wakina sisi wenye ka upenyo meaning makaratasi na vinginevyo. Pia sio Wabongo tu, hata nchi nyingine hasa Saudi Arabia na kadhalika. Ndio maana Tancredo na Fisadi Duke Cunningham (sasa mfungwa, alikuwa representative toka San Diego, California) walikuwa wanataka sheria hiyo ibadilishwe baada ya 9/11...lakini walishindwa!!!. Unamkumbuka chalii flani hivi Msaudi alikamatwa Afghanstani wakti wa move to Kabur, alizaliwa US kwa mitkasi kama hiyo!!. Hivyo basi issue ya Uraia "to the window", mtu kama ni criminal uraia haumati!!. Unakumbuka 'Shrek 2', waliweka matangazo posta in US, kwamba passport yao ni 'to everywhere' huitaji VISA!!!!. I know, utasema.................
Weekend njema!!.

Kumbe USA bado wanaruhusu kila aliyezaliwa hapo kuwa raia? Huku
Europe na hasa UK waliondoa toka mwaka 1983 baada ya kuona Wahindi wengi walikuwa wanafunga safari kuja kujifungulia hapa.

Kwasasa inatakiwa wazazi wawe na at least permanent residence ndio mtoto anapata uraia moja kwa moja.
 
Yebo Yebo,

Alivyotenda kosa, alikuwa ni raia wa TZ pia, kwahiyo uraia wake wa UK hautamsaidia kama TZ wataweza ku prove kwamba alikuwa raia wa Tanzania.

Ukifanya makosa kwenye nchi ambayo una uraia wake mbali ya ule wa UK, basi hiyo protection ya UK haifanyi kazi tena.


Mtanzania

Umeweka hiyo process kirahisi mno.

Kabla hatujafika kwenye kuchunguza iwapo wakati anatenda kosa alikuwa raia wa nchi gani. Cha kujua kwanza kabisa ni kuwa alikuwa kwanza raia wa UK au Tanzania. Kwa sababu kama alikuwa kwanza raia wa UK then HAKUTAKIWA kuwa na passport ya Tanzania bila kuukana uraia wa UK; kitu ambacho kinamfanya (at least on my view) sio raia halali/halisi wa Tanzania.
 
Mtanzania

Umeweka hiyo process kirahisi mno.

Kabla hatujafika kwenye kuchunguza iwapo wakati anatenda kosa alikuwa raia wa nchi gani. Cha kujua kwanza kabisa ni kuwa alikuwa kwanza raia wa UK au Tanzania. Kwa sababu kama alikuwa kwanza raia wa UK then HAKUTAKIWA kuwa na passport ya Tanzania bila kuukana uraia wa UK; kitu ambacho kinamfanya (at least on my view) sio raia halali/halisi wa Tanzania.
[/SIZE]

Yebo Yebo,

Bila kujali alikuwa raia wa wapi kwanza, ni kwamba uraia wake wa Tanzania ni BATILI. Kama alikuwa raia wa TZ kwanza, basi wakati anapata uraia wa UK ilitakiwa aukane uraia wa Tanzania (ndivyo sheria za TZ zinavyosema, automatically unapoteza uria wa TZ kama umeomba uraia wa nchi nyingine). Kama alianza kupata uraia wa UK, pia ilitakiwa aukane uraia wa UK wakati anapata uraia wa TZ.

Lakini serikali ya TZ ndio inaweza kusema hakuwa raia halali. Kama hawajasema hivyo, yeye bado ni raia wa nchi zote mbili.

Sioni serikali ya UK itampa protection kwa misingi ipi? Labda
akatae kwamba hajawahi kuwa raia wa TZ, lakini ni rahisi kupata ushahidi unaoonyesha ameitumia passport ya TZ kusafiri mara nyingi.
 
Yebo Yebo,

Bila kujali alikuwa raia wa wapi kwanza, ni kwamba uraia wake wa Tanzania ni BATILI. Kama alikuwa raia wa TZ kwanza, basi wakati anapata uraia wa UK ilitakiwa aukane uraia wa Tanzania (ndivyo sheria za TZ zinavyosema, automatically unapoteza uria wa TZ kama umeomba uraia wa nchi nyingine). Kama alianza kupata uraia wa UK, pia ilitakiwa aukane uraia wa UK wakati anapata uraia wa TZ.

Lakini serikali ya TZ ndio inaweza kusema hakuwa raia halali. Kama hawajasema hivyo, yeye bado ni raia wa nchi zote mbili.

Sioni serikali ya UK itampa protection kwa misingi ipi? Labda
akatae kwamba hajawahi kuwa raia wa TZ, lakini ni rahisi kupata ushahidi unaoonyesha ameitumia passport ya TZ kusafiri mara nyingi.

Kuwa na Passport ya Tanzania siyo kithibitisho kuwa wewe ni Raia.

as the matter of fact serikali huwa ndiyo inaratibu ni nani wa kumpa passport na nani asipewe, kwani Passport ni Mali ya serikali ya Tanzania.

ndo maana serikali nyingi duniani zinapotaka kufanya shughuli za kijasusi hutoa passport kwa watu fulani ili wafanikishe kazi,lakini hii haimaanishi kwamba wanatoa uraia kwa watu hao.
 
huyu jamaa kweli kanona kwa fedha zetu watz, mi nina uhakika kama akipatikana lazima watamnyongea huko huko polisi ili asitaje washirika wake
 
Well, hawa jamaa zetu wameanza haya maswala ya kuzaliwa nje toka Uhuru. wamekuwa na uraia wa nchi mbili toka miaka ya 60 tumekuja shtukia leo. Na yawezekana kabisa kuwa huyu jamaa alikuwa raia wa Uingereza kabla ya kuwa Mtanzania yameyajua haya baada ya...
Hapo ndipo mtajua umuhimu wa WAZAWA, wekeni tafsiri zenu zote mnazotaka lakini ukweli utabakia kuwa Mtanzania ama kwa lugha nyepesi- Utanzania hautokani na ganda. Serikali yetu kuwakataa wazawa kwa sababu ni raia wa nje kisha wakawapokea wageni na kuwapa Uraia uraia ni kujidanganya wenyewe kwani Mzawa anapoenda nje na kuutafuta uraia huko huwa na malengo yasiyohusiana kabisa na uzawa wake, Identity na imani yake inabaki Tanzania sawa na huyo mgeni tunayemkumbatia huja tanzania kutafuta urais na kuchuma akapeleka kwao.
That's why swala la uraia wa nhi mbili limekuwa na utata zaidi kwani tumeshindwa kuona tofauti hizi.....
 
Kumbe USA bado wanaruhusu kila aliyezaliwa hapo kuwa raia? Huku
Europe na hasa UK waliondoa toka mwaka 1983 baada ya kuona Wahindi wengi walikuwa wanafunga safari kuja kujifungulia hapa.

Kwasasa inatakiwa wazazi wawe na at least permanent residence ndio mtoto anapata uraia moja kwa moja.

Mtanzania,
Ndio tena bila wasiwasi wowote!! ukizaliwa USA hata kama parents wako ni illegal wewe moja kwa moja ni American!!. Hata wataliano wa Boston na NY wanafanya hiyo michezo sana tu tena kwa miaka mingi. Ma-jews pia wanafanya, mtoto anazaliwa hapa baadae wanampeleka Israel mwendo mdundo. Wabongo pia tena sisi weusi, pia mambo hayo yanaendelea!!.
Kuna watu upande wa kulia(conservatives) wamepigia kelele kutaka kubadili lakini hawana 'votes' za kutosha kwenye Congress. Hiyo issue ni political hot potato in Washington na mtu akiingilia kichwa kichwa anakuwa anaji-commit political suicide,ni one of untouchables political issues!!. Mambo ya FREE country hayo......birth rights, don't confuse it with the right of birth... ni big deal!!.
Kuna mshkaji mmoja mbongo alifanya soo, jamaa wa INS wakataka kumrusha bongo.....lakini alikuwa na twins, kwahiyo kesi akai-fight mahakamani, akaachiwa na vipande vya kuishi kihalali akapewa ili atunze watoto.
 
JAmani hivi hakuna Watanzania wema wanaofanya kazi AIRPORT ya DAr es Salaama ambao walimuona huyu jamaa akiingia na kutoka?
 
Radar fugitive Vithlani ’hiding’ in Switzerland




-British detectives back in town to help with investigations

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

FUGITIVE businessman Shailesh Pragji Vithlani, who was slapped with an arrest warrant by a Dar es Salaam court last November over the 28 million pounds sterling (approx. 70bn/-) military radar corruption deal, is now reported to be hiding in Switzerland, THISDAY can reveal today.

Vithlani was on November 1 last year charged with multiple counts of perjury and lying to an investigating officer at the Kisutu Resident Magistrate’s Court, which subsequently issued a warrant for his arrest.

Since then, the case has been dragging in court as authorities say they are unaware of Vithlani’s whereabouts.

However, latest reports from Switzerland say the businessman has been holed up in that country for some time now.

The Mwanza-born Vithlani is understood to own no major assets in Tanzania, but holds a British passport and also maintains several homes in the United Kingdom.

Well-placed sources say detectives from Britain’s Serious Fraud Office (SFO) arrived in Dar es Salaam last week on yet another visit aimed at assisting local investigations into the radar corruption scandal.

SFO investigations have already established that Britain’s biggest defence manufacturer, BAE Systems, paid a $12m (15bn/-) commission into a Swiss bank account controlled by Vithlani to land the 2002 deal for a radar system in Tanzania.

Vithlani, the local middleman for the deal, admitted to a UK newspaper that BAE Systems had covertly paid him the money, equivalent to about 30 per cent of the total value of the contract.

The investigations have already led to both Vithlani and his former local business associate, Tanil Somaiya of Shivacom Group of companies, being interviewed by SFO detectives right here in Dar es Salaam.

It is understood that BAE Systems paid the $12m commission to Merlin International Limited, a Dar es Salaam-based firm jointly formed by Vithlani and Somaiya.

A BAE-owned offshore company, Red Diamond, paid the commission into a bank account in Switzerland under Vithlani’s personal control.

According to experts, a commission of one per cent in international arms deals is generally regarded as legitimate.

But sources allege that thereafter, Vithlani made secret payments from the Swiss bank account to various officials in the government of then president Benjamin Mkapa ? in the form of illegal kickbacks - to approve the dubious deal.

The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has been waiting for the SFO investigation to wrap up so that it can institute its own corruption charges in relation to the radar deal, the sources say.

Apart from the radar scandal, Vithlani and his local business partners have also been linked to other dubious deals in Tanzania, including the supply of military trucks and helicopters.

Britain’s former international development minister, Ms Clare Short, was one of the fiercest critics of the radar deal, saying she found it remarkable for the Tanzanian government to opt for an expensive technology it does not need.

But the then-president Mkapa vehemently defended the deal, insisting that Tanzania needed the new radar to replace obsolete technology, and arguing that he could not leave air safety ’’in the hands of God’’

My Take:- Wanaoua maalbino hawapatikani
- Waliochota fedha BoT ni mizimu
- Kampuni inayolipwa fedha za Richmond haipo (oxymoronic)
- Aliyetuingiza mkenge wa rada anajulikana lakini hayupo!


cha kuchekesha ni kuwa mtoto aliyekwapua "nywele" ya albino amekamatwa na kufikishwa mahakamani!!!
 
"My Take:- Wanaoua maalbino hawapatikani
- Waliochota fedha BoT ni mizimu
- Kampuni inayolipwa fedha za Richmond haipo (oxymoronic)
- Aliyetuingiza mkenge wa rada anajulikana lakini hayupo!

cha kuchekesha ni kuwa mtoto aliyekwapua "nywele" ya albino amekamatwa na kufikishwa mahakamani!!!"


Mwanakijiji heshma mkuu, kwanza nimecheka sana juu ya dogo aliyekwapua nyele za albino na kupata sh. 500 tayari yupo lupango.

Kuhusu huo mzimu wa rada, kwani unatafutwa vipi? ni nani anayetafuta? kwani wangekuwa ni polisi wa inter-pol angeshakamatwa. Yaani tunasikia kwenye magazeti eti amejificha ... ummh angekuwa amejificha si asingeonekana? i guess Mr. Clean and his team wametishia nyau na Serikali imetishika, haitaki kumkamata. kalagabaho
 
Mwnakijiji Mbona Siioni Hiyopicha Jamani??????????????
 
sorry hii hapa:
 

Attachments

  • vithlani2.JPG
    vithlani2.JPG
    90.5 KB · Views: 51
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam


FUGITIVE businessman Shailesh Vithlani is currently lobbying senior Government officials in Tanzania to land more contracts in the country despite the existence of an arrest warrant issued against him by a Dar es Salaam court, THISDAY can reveal today.

Well-placed sources have described Vithlani as being ’’intensely hungry for more Government contracts particularly related to the Ministry of Defence and National Service.’’

The businessman, who is wanted by local authorities in connection with the 2002 military radar scandal, is said to have been aggressively trying to win new contracts with the Tanzanian Government from his self-imposed exile abroad.

He is understood to have even financed a trip by a delegation of senior Government officials abroad to try to convince them to award him more contracts.

’’Vithlani is still very much in business...He is actively trying to secure new Government contracts through various go-between companies,’’ said one well-placed source in Government.

’’In fact, you won’t see Vithlani’s name appear in any of these companies. But he is using them to land new contracts in Tanzania through his large network of influence within Government circles,’’ the source added.

He is said to be particularly interested in defence contracts.

Apart from the military radar purchase, Vithlani has also been linked to a string of other major procurement contracts mostly with the third phase Government of ex-president Benjamin Mkapa.

They include the purchase of helicopters and trucks for the Tanzania People’s Defence Forces (TPDF), speed boats, the Gulfstream presidential jet and other deals.

’’The radar man (Vithlani) still maintains good contacts in both Government and military circles who are keeping him constantly updated on upcoming potential contracts,’’ said our Government source.

Vithlani has reportedly been residing in Switzerland since he skipped the country after the Kisutu Resident Magistrate’s Court issued an international warrant for his arrest.

The arrest warrant was issued on August 30, 2007 in connection with criminal case number 1474 of 2007 at the Kisutu court.

In the case, the fugitive businessman was charged with several counts of perjury and lying to an investigating officer in connection with the 56bn/- radar scandal.

Vithlani, who grew up in Mwanza Region, is known to have at one time travelled with a British passport number C387266A, but is listed as a Tanzanian citizen in a ’Wanted Person’ poster on the website of the International Criminal Police Organization (Interpol).

During questioning by investigators from both the UK’s Serious Fraud Office (SFO) and the local Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), he is alleged to have lied under oath about his links to the military radar corruption deal.

So far, the PCCB is yet to file its own corruption charges against several high-profile individuals implicated in the radar scandal, apart from the minor charges of perjury and lying to an investigating officer already filed against Vithlani.

The UK’s biggest arms supplier BAE Systems, which manufactured the military radar system sold to Tanzania, is understood to have secretly paid a $12m (approx. 15.5bn/-) commission into a Swiss account controlled by Vithlani.

He has admitted that the sum was covertly moved to a Swiss account by BAE Systems, which is under investigation by the SFO.

Sources close to the investigation say Vithlani has been ’’fully cooperating’’ with the SFO, and could turn out to be a key prosecution witness should a case against BAE Systems go before a UK court.

’’Vithlani has been singing like a canary. He has basically spilled all the beans and provided a lot of information to SFO investigators about the military radar transaction in Tanzania,’’ said another informed source.

British investigators have already identified three other prominent individuals in Tanzania in connection with their ongoing investigation into the radar scandal - former Bank of Tanzania governor Dr Idris Rashidi, ex-attorney general Andrew Chenge, and local businessman Tanil Somaiya.

Rashidi, who is the current managing director of the state-run Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO), served as BoT governor between 1993 and 1998.

Along with Chenge, he has been named as one of the key officials of the Mkapa Government who facilitated the apparently overpriced radar purchase which was finalized in 2002.

Chenge was forced to resign as infrastructure minister in the fourth phase Government of President Jakaya Kikwete in April last year, after being openly implicated by SFO investigators in the military radar scandal.

Somaiya and Chenge have both denied criminal wrongdoing in the matter, while Rashidi has declined to comment at all.

Officials close to the SFO investigation say Chenge and Rashidi allegedly received suspicious payments believed to have originated from BAE Systems, while Somaiya and Vithlani both represented a company that acted as the local agent for the British arms manufacturer in the deal.
 
What do you expect? Is anyone surprised? Huyu kishazoea easy money. It is like a guy who robs a bank and gets away with it. He's gonna do it again.
 
serikali inatuchezea watanzania, kama ze utamu amekamatwa kwa kushirikiana na israel kwa nini vithlan ashindikane??
 
''The radar man (Vithlani) still maintains good contacts in both Government and military circles who are keeping him constantly updated on upcoming potential contracts,'' said our Government source.
Kisha amnabishia - Ndivyo Tulivyo!
 
serikali inatuchezea watanzania, kama ze utamu amekamatwa kwa kushirikiana na israel kwa nini vithlan ashindikane??

Only in Tanzania my friend. Badala ya kutumia resources kumkamata aliye iba mabilioni wanamfukuzia mtu ambae hana maana yoyote.
 
Kisha amnabisha kuwa -Sivyo Tulivyo!

Mkuu sanyingine hawa ziongozi wetu wnajishushia heshima ndiyo maana wana pachikwa zeutamu. Badala ya kushughulikia waizi wakubwa wa nchi yetu eti wanamfukuzia zeutamu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom