Kesi ya Saileth Vithlani wa kashfa ya Rada

Kesi ya Saileth Vithlani wa kashfa ya Rada

Status
Not open for further replies.
yeah utani leo unaruhusiwa ila mtu akija kubondwa na rungu la mtu wa bush asije kulia "lele mama". Mali nyingine ni za kuangalia tu.. zina wenyewe...

Sawa Komredi Kipepe...tumekupata loud and clear. Ila ma Dr. Love Pimbi wako wengi.
 
vithlani2.JPG

Tunasubiri akamatwe haraka inavyotakikana na kundi lake waanze kujibu maswali then twende kwa BWM akifuatiwa na Richimondulian, Karamagi et al.

Hatuwezi kuwaonea aibu wanaolihujumu taifa kwa namna moja ama nyingine. Moja moja hadi wote wawajibishwe. Taratibu na tutafika tu.
 
Jamaa ameshiba mihela ya kuwa middle man na dubious deals...PCB na serikali kwa kuanzia wafreeze assets za Vithcorp na Merlin Intl, alafu wamtumie meseji kupitia kwa mama yake pale West London. Yule Somaiya yeye amesalimika kwenye hili maana yeye alipewa $ 400,000.

Mkuu Icadon,

Heshima mbele, safi sana hii yaani straight to the point, na short to the ishu, na ni very loud and clear about the topic,

bila ya siasa wala unazi, the best we can do hapa forum ni kuwasaidia polisi ili huyu mkuu asimame mbele ya sheria, na so far ni mtuhumiwa tu!
 
Akishatiwa mbaroni, mashtaka mengine yako mbeleni.. tunataka abambwe kwanza... ni lazima tuhakikishe kuwa hawezi kuunda Kikosi cha Kisasi, au kula Njama kuharibu uchunguzi. ......Wanausalama wetu watumie njia zote kumtia mbaroni kwa amani, lakini Akibisha, Mlipue!
NICE one MKJJ!

Na hapo ndipo wana JF tutakapotoa Kicheko cha Ushindi!!!
 
Wewe acha tu,

Mwaka 2002 serikali ya Joji Kichaka hapa US ilianzisha Pre-emptive doctrine ambayo inairuhusu US kupiga nchi yoyote ile inayopose threat kwa national security yao.

Kwa standard hii ya Kichaka (ambaye Kikwete ni rafiki yake), na mimi naendeleza hiyo doctrine hapa JF kwa kutangaza hadharani hukumu ya kifo dhidi ya huyu jamaa kwa vile anahatarisha usalama wa Tanzania.

Huyu baba akionekana popote pale ni kuuwawa tu. Sina muda wa kusubiri uchunguzi kwa sababu so far uchunguzi uliokwisha fanywa unatosha kuwashtaki walioshirikiana naya.

Call me crazy but I said it! na wapambe wake mnaosoma hapa ni kazi yenu kumwambia hili na kama kimemuuma sana afuatilie IP add yangu na kizaazaa cha kufa mtu kianze kati yangu na yeye!

Tatizo lako huwa huchelewi kuja hapa na tissue papers unalilia kuomba msamaha.......!!! hivi hilo ndio lile zee kubuhu fisadi la kibuzwagi? au hilo ni shoga lake?
 
Tatizo lako huwa huchelewi kuja hapa na tissue papers unalilia kuomba msamaha.......!!! hivi hilo ndio lile zee kubuhu fisadi la kibuzwagi? au hilo ni shoga lake?

Haya mwaya,

Inaonekana baada ya ushindi dhidi ya manning umeamua kunikumbusha everytime juu ya superiority yako! Nimeomba msamaha hapa mara moja tu na I dont regret for doing that.... na hutaona nikiwhine about it!

Otherwise, kuwa na good weekend!
 
there goes my girl.. I'm in so much love right now.. that is why you are the best unawaambia ukweli jinsi ulivyo. The principle of no whining is always maintained!!!
 
there goes my girl.. I'm in so much love right now.. that is why you are the best unawaambia ukweli jinsi ulivyo. The principle of no whining is always maintained!!!

Wewe wewe wewe...mi nahisi tayari uko tingaz hapo!! naona umeshasahau rungu ulilolitaja mwenyewe mapema leo hii...

SteveD.
 
Nadhani wakati bado anatafutwa na polisi wangesiz assert na mali zake kama anazo hapo Tanzania. Then akamatwe na awataje mafisadi wenzake. Hivi inakuwa je huyu jamaa awe na uraia wa nchi mbili?
 
mzee swali lako la mwisho ni rahisi zaidi, kwa sababu anaweza! Ukiwa na njuluku kidogo lolote linawezekana Tanzania. Mbona kuna viongozi ambao wake zao wakiwa waja wazito mida ya kujifungua ikikaribia wanawapeleka Marekani ili wajifungulie huko?
 
Kweli mzee nilisahau kuwa hiyo ni Tz kila kitu kinawezekana kama unazo chapaa. Doh hiyo ya vionguzi kupeleka wake US ni kali sijui tuiiteje sasa may be "MADE IN TANZANIA PRODUCED IN USA" Weekend njema.
 
wow wanafanya hivyo kama insurance kuwa "kikiungua Tanzania" basi na wenyewe kama wajanja wengine watoto wao wanaonesha gamba la bluu lenye tai arukaye!
 
Fisadi huyu atakuwa kakimbilia India na uzembe uliofanyika si ajabu hata zile pesa alizoweka Switzerland ameshazihamisha kwenye account nyingine ambayo haijulikani.
 
mzee swali lako la mwisho ni rahisi zaidi, kwa sababu anaweza! Ukiwa na njuluku kidogo lolote linawezekana Tanzania. Mbona kuna viongozi ambao wake zao wakiwa waja wazito mida ya kujifungua ikikaribia wanawapeleka Marekani ili wajifungulie huko?

Mkjj,
Starring wangu, hiyo ni kwa ajili ya uraia wa kuzaliwa ambayo US ni sheria.......wanaofanya hivyo si viongozi tu hata wakina sisi wenye ka upenyo meaning makaratasi na vinginevyo. Pia sio Wabongo tu, hata nchi nyingine hasa Saudi Arabia na kadhalika. Ndio maana Tancredo na Fisadi Duke Cunningham (sasa mfungwa, alikuwa representative toka San Diego, California) walikuwa wanataka sheria hiyo ibadilishwe baada ya 9/11...lakini walishindwa!!!. Unamkumbuka chalii flani hivi Msaudi alikamatwa Afghanstani wakti wa move to Kabur, alizaliwa US kwa mitkasi kama hiyo!!. Hivyo basi issue ya Uraia "to the window", mtu kama ni criminal uraia haumati!!. Unakumbuka 'Shrek 2', waliweka matangazo posta in US, kwamba passport yao ni 'to everywhere' huitaji VISA!!!!. I know, utasema.................
Weekend njema!!.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom