Kesi ya Mbowe ni nyepesi kuliko mtu aliyeiba simu Kariakoo

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,931
31,176
Hayo si maneno yangu,ni maneno ya Wakili Msomi ingawa lipo katazo la Mh wa mjengoni kwamba tusitumie maneno wakili Msomi.

Ikiwa kesi ya Mh Mbowe ni nyepesi kuliko ya kibaka aliyekwapua simu Kariakoo kwanini Serekali kupitia ofisi ya DPP isiiondoe kukwepa kuaibika siku za usoni ?.

Nimemsikiliza Wakili Msomi vizuri kwamba sasa Mh Mbowe anakaa sehemu mmoja na wafungwa wanaosubiri kunyongwa.Nabaki kushangaa kwanini Wakuu wa mamlaka nchi wanapenda kuipaka serekali yetu tukufu matope pasipo sababu za msingi.Jambo hili likipelekwa Mahakamani Serekali itasema nini sababu za kumfanyia mtu ambaye bado hajahukumiwa vitimbi vya aina hii.

Sasa naanza kuamini kuna watu ndani ya Serekali hii ya awamu ya sita wanafanya kila lililo ndani ya uwezo wao kuonyesha serekali ya awamu ya tano ilikuwa na nafuu kubwa ukilinganisha na hii ya sasa.
 
Huo ndio weledi wa kitanzania,ni jambo jema kama waimba mapambio wa wakati wote nao wameanza kutoka usingizini na kuona mapungufu yanayopigiwa kelele na wapenda haki,kwa lugha yao wanawaita wanaharakati.
 
Mungu wa Israel na Isaka na Yakobo atatenda miujiza. Ni Mungu wa walio hai. Hajawahi kushindwa na Hatashindwa Kamwe. Mh Mbowe atatoka jela. Na wataaibika tu.
 
Wakili Msomi🤣🤣🤣
Jela ya wakunyongwa.
Muwe na akili jamani Malyenge kajifikisha hapo mwenyewe hakuitwa
 
Mshenzi mwili mzima
 
Mungu wa Israel na Isaka na Yakobo atatenda miujiza. Ni Mungu wa walio hai. Hajawahi kushindwa na Hatashindwa Kamwe. Mh Mbowe atatoka jela. Na wataaibika tu.
Ukweli mchungu..
Serikali yoyote ya ovyo lazima iaibike..
Na hii inakwenda kujipaka kinyesi na hii kesi ya Mbowe.
 
Mwamba Tuvushe

Leo_Jumatatu_Tarehe_06_09_2021_Kesi_Ya_Uhujumu_Uchumi_Na_Ugaidi%2C_Inayomhusu_Mwenyekiti_Wa_CH...jpg
 
nawahurumia mno waliopewa kazi ya kuiandika hati ya mashitaka upya !!

Kuandaa hati ya Mashtaka kwa makosa ya kubambika si kazi rahisi wala nyepesi.

Kuonyesha kosa au nia ya kutenda kosa lini ?.
Kuonyesha mkutano/kikao kilifanyika wapi (sehemu) Arusha,Dar au Kilimanjaro....... Lazima waendesha mashtaka waithibitishie Mahakama kweli washtakiwa wote pasipo shaka walikuwa na kikao sehemu fulani.
Kuainisha pasipo shaka yoyote maeneo yaliyokusudiwa kulipuliwa eg Kituo cha mafuta Ngulelo,Kituo cha Mafuta Mawenzi,Kituo cha mafuta Buguruni......

Kwa hakika tusubiri kesi itakapo pangiwa Jaji Mwingine utawaonea huruma waendesha Mashtaka wa Serekali watakavyopwaya.
 
Mungu wa Ibrahim, Isacka na Yakobo wa Mashariki ya Kati anauhusiano gani Wabongo utadhani huna Mungu wako.
Ndugu yangu,
pale nilikuwa ninampa masahihisho pale pa Ibrahimu aliandika Israeli ambae kwa mujibu wa biblia takatifu huyo huyo ndie Yakobo.
Hata hivyo kama wewe sio mkristo basi nadhani lisikusumbue, halikuhusu, lakini kwangu mimi na wakristo wengine tunaotumia neno;biblia takatifu, huyo ndie Mungu pekee tunaemwamini.
Wewe waweza kuwa na Mungu wako au hata wa kijijini chenu/ukoo wenu na pia waweza kuwa nao Miungu wengi tu kwa uhuru na imani yako.
Wasalimie sana.
AMEN
 
Wakili Msomi
Jela ya wakunyongwa.
Muwe na akili jamani Malyenge kajifikisha hapo mwenyewe hakuitwa
Eti malyenge halafu unacheka hivi unafikiri alipenda jinsi alivyo ? Mungu ndio alipenda awe na hayo macho sio yeye Wala wewe angalia unaandika Nini unapokoment haya Ni maisha ya kupita tu.
 
Namlaumu wapi?muwe na akili nyyinyi hapo mkitafunwa ubongo ndo mtaamka.
 
Back
Top Bottom