The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 18,159
- 51,092
Aviation industry sio sawa na biashara ya kuuza mkaa,yaani uianze na kupata faida hapo hapo,jaribu kuangalia mashirika ya Ndege Duniani jinsi yalivyopitia mpaka kufikia hapo yalipo.Wewe ndege huoni hasara kila siku tatizo kila kitu kuendeshwa kisiasa badala yakuendeshwa kitaalamu.
Tangu zije zimeleta hasara zaidi ya bilioni 600 kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG. watu hawawezi kukaa kimya kisa tulisema ndege zinunuliwe.