Kesi ya Mbowe kesho: Kisutu hapatatosha, maandalizi yanaogofya

Hio nguvu ya kumshughulikia mbowe si waitumie kumaliza tatizo la ujenzi wa vyoo vya shule tuepuke aibu ya kujengewa vyoo vya misaada.
Wakati tukifanya hivyo mnatakiwa muwe mmekaa kwa kutulia maana mkituzengua ili tusifanye hivyo nanyi tutawazingua
 
Gaidi namba moja:Freeman Aikaeli Mbowe atakapo fikishwa mahakamani lazima ulinzi uwe tight hatutaki kuona hata kunguni akikatisha mbele.
wasije wakalipua Mahakama zetu bure, maaana hawa jamaa ni sawa na bokoharam.
Bure kabisa
 
Huyu mama bwana! Waliokuwa na mashaka nae tangu mwanzo kumbe walikuwa sahihi. Huyu ndio hafai kabisaaaa.. amalize tu miaka yake apishe wanaume. Ametudharaulisha tu wanawake.

Sasa na teuzi zake za hao watoto, wanaenda kuongoza vipi watu wazima wenye maexperience yao huko halmashauri na wilayani. Katanguliza kujuanaaa. Hapo hamna hata vetting. Ni nafasi anagawa tu hovyo.

Yani amalize tu apishe wanaume. Nchi inaenda kishkaji, hana habari kabisaa . Bora ya watangulizi wake wote mara 1,000 kuliko yeye.
😄😄😄😄😄😄😄😄

Hili ndilo mtakalokuwa nalo milele. Mlisema Magufuli weeeeeeee Leo mmemgeukia Samia weee kesho atakuja mwengine mtasema weweeeeee.

You guys a total failures!
 
Gaidi namba moja:Freeman Aikaeli Mbowe atakapo fikishwa mahakamani lazima ulinzi uwe tight hatutaki kuona hata kunguni akikatisha mbele.
wasije wakalipua Mahakama zetu bure, maaana hawa jamaa ni sawa na bokoharam.
Ukiwa kama nani hapo ulipo?.
 
Baba yangu Mzee Tupatupa shikamoo.

Kwa sasa nchi ingejikita kuwaleta Toyota au Suzuki ili wafungue kiwanda cha low cost, and lowly priced autos hapa nchini ili kuongeza FDIs. Kesi ya mbowe inatuchafua tu kwa potential foreign investors unnecessarily.

Fatma,
Kwa sasa Doha.
Toyota na Suzuki wanaweza kuleta mitaji yao kwenye nchi zenye magaidi? Siasa za ccm ni za kipumbavu sana yaan, hawaangaliagi impact ya actions zao kwa nchi, mipango na matendo yao ni ya kijinga jinga tu.
 
Tayari nguvu ilishatumika sana kuleta maendeleo ili watanzania wajikwamue kiuchumi ila wengine wako busy kupiga kelele kuzuia maendeleo ya nchi,Sasa leo ndio mnalitambua hilo? Hiyo nguvu ikihamishiwa kujenga vyoo vya shule mnaenda tena kubomoa hivyo vyoo na kuvunja matofali... haya sasa ngoja mshughulikiwe kwanza,Mtulie,Kazi iendelee...
Hadithi za Mwendazake hizo zilikuwa hazina mvuto hata kwa watoto wa chekechea, wewe bado unazo? Anyway kuna ratiba mpya ya kufanya usafi malaloni. Umepangwa tarehe 5/8
 
Aviation industry sio sawa na biashara ya kuuza mkaa,yaani uianze na kupata faida hapo hapo,jaribu kuangalia mashirika ya Ndege Duniani jinsi yalivyopitia mpaka kufikia hapo yalipo.
Midege mliinunua wenye kwa pupa mkiwa mafichoni. Sasa mna mpango wa kuongeza nyingine tena sijui mmeona hasara haiwatoshi.
 
Tanzania Inawezekana hatujui maana ya gaidi au hatuja define vizuri Ugaidi. Ndiyo maana hata Masheikh wamesoteshwa bure korokoroni wakaishia kuachia bila kesi.

Kwa kuwa hakuna sheria ya kudai pale unapochomekewa kesi na kuachia kinyemela dhuluma kama hizi zitaendelea kwa muda mpaka Siku katiba itakapotoa haki kwa watu kama hawa.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hata kwenye issue za Ndege mlianza hivi hivi,

Oooh! Rwanda wana Ndege ila sisi hatuna,sasa mmeona kiwanda cha VW huko Rwanda,mnaanza tena mnataka na Bongo kifunguliwe kiwanda cha magari,

Sio mbaya ila hata kikifunguliwa kiwanda mtakuja tena kukipinga hicho kiwanda kama mnavyozipinga Ndege,

Hua hamueleweki mnachokitaka ni nini hasa,kingine kila nchi hua na mipango yake,sio kwavile Rwanda wana hicho kiwanda cha magari basi ni lazima na Tz iwe na kiwanda cha magari.
Scania Kibaha kilishakuwepo tangu..... kwa hiyo Tanzania hatuifuati Rwanda,lakini pia unalinganishaje ndege na gari tena za low cost ambazo wengi wanaweza ku afford, lakini si nauli ya ndege na biashara ya ndege kwa ujumla wake, au tumlete hapa CAG aseme mwenyewe hizo ndege zimeleta faida au hasara kiasi gani kwa muda ambao walianza kufanya hiyo biashara.Rwanda wenyewe wameingia ubia na Quatar Airways uone hiyo biashara ilivyo ngumu.
 
CAG Kichere hakuficha katika ripoti yake aliyokabidhiwa Samia April mwaka huu. Aliansika katika ripoti hiyo kwamba katika miaka mitano ATCL imeliingizia hasara Taifa ya shilingi 354 billioni
Scania Kibaha kilishakuwepo tangu..... kwa hiyo Tanzania hatuifuati Rwanda,lakini pia unalinganishaje ndege na gari tena za low cost ambazo wengi wanaweza ku afford, lakini si nauli ya ndege na biashara ya ndege kwa ujumla wake, au tumlete hapa CAG aseme mwenyewe hizo ndege zimeleta faida au hasara kiasi gani kwa muda ambao walianza kufanya hiyo biashara.Rwanda wenyewe wameingia ubia na Quatar Airways uone hiyo biashara ilivyo ngumu.
 
Hata kwenye issue za Ndege mlianza hivi hivi,

Oooh! Rwanda wana Ndege ila sisi hatuna,sasa mmeona kiwanda cha VW huko Rwanda,mnaanza tena mnataka na Bongo kifunguliwe kiwanda cha magari,

Sio mbaya ila hata kikifunguliwa kiwanda mtakuja tena kukipinga hicho kiwanda kama mnavyozipinga Ndege,

Hua hamueleweki mnachokitaka ni nini hasa,kingine kila nchi hua na mipango yake,sio kwavile Rwanda wana hicho kiwanda cha magari basi ni lazima na Tz iwe na kiwanda cha magari.
Vwanda havijengwi na serekali, vilivyokuwa vya serekali vilibinafshishwa na mkapa
 
Kama Haji kaondoka Simba, hata Siro Kuna siku atakua mwana Chadema Tena mzuri tu.
 
Kesho tarehe 5/8/2021, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itatajwa kesi ya jinai inayomjumuisha Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe. Mbowe pamoja na wenzake watatu wanashtakiwa kwa makosa mbalimbali ya kijinai.

Kwake binafsi, Mbowe anashtakiwa kwa mashtaka ya kula njama na kufadhili vitendo vya kigaidi. Washtakiwa wenzake walianza kupandishwa kizimbani huku Mbowe akiunganishwa baadaye.

Maandalizi ya tukio la kesho yameshafanyika na kukamilika. Magereza alipo, wamejipanga na kupangika kuhakikisha kuwa Mbowe na wenzake wanafikishwa na kurejeshwa salama salmini gerezani.

Polisi wamejipanga, kuanzia nchi kavu hadi anga, kuimarisha ulinzi bila ulanzi kuhakikisha usalama usio na lawama mahakamani hapo. Polisi wamejiandaa 'kuwahi' mapema sehemu ya tukio ili 'kukagua' na 'kudhibiti' wanaoingia mahakamani hapo.

Mawakili wa pande zote mbili wamejipanga bila mapanga kutetea pande zao za mashtaka na utetezi kusiko na utelezi. Mawakili wa Serikali wamejiandaa kuthibitisha makosa ya Mbowe na wenzake watatu huku wa CHADEMA wakijiandaa kumtetea kisheria Mbowe na kumnasua kwenye kesi hiyo.

Vyombo vya habari vya ndani na nje vitafurika hadi kufunika Kisutu. Nasi wananchi wa Dar es Salaam tutajongea kushuhudia 'kipute' hiki kitakachoanza kesho.

Amini nawaambia, Kisutu kwa kila siku Mbowe atakayoletwa na hata akianza kupelekwa Mahakama Kuu, hapatatosha. Mahakamani, pumba na mchele vitatenganishwa. Tukutane Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kesho.

Pumzika kwa amani mtani na mdogo wangu Elias Kwandikwa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
miaka iliyopita baada ya kuona uonevu umezidi Tulisali novena, wengine tulisoma albadir, ilipojibu tulishuhudia vigogo kama 6 wanapukutika ndani ya miezi 6 tu alianza mkapa,

safari hii hatabaki ntu,
 
Scania Kibaha kilishakuwepo tangu..... kwa hiyo Tanzania hatuifuati Rwanda,lakini pia unalinganishaje ndege na gari tena za low cost ambazo wengi wanaweza ku afford, lakini si nauli ya ndege na biashara ya ndege kwa ujumla wake, au tumlete hapa CAG aseme mwenyewe hizo ndege zimeleta faida au hasara kiasi gani kwa muda ambao walianza kufanya hiyo biashara.Rwanda wenyewe wameingia ubia na Quatar Airways uone hiyo biashara ilivyo ngumu.
Mkuu,naona umejiuliza kisha ukajijibu wewe mwenyewe,

Yaani umekubali kua Aviation industry ni biashara ngumu,so hasara ni jambo la kawaida hasa kwa mashirika madogo yanayo chipukia,

Hata mashirika makubwa kama Emirates,Qatar Airways,Lufthansa...nayo hupata hasara,ukifanya biashara ukategemea kupata faida toka mwanzoni basi hutoweza kufanya biashara yeyote ile,buashara hua zina changamoto zake ila hutakiwi kukata tamaa.
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom