mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Tuambieni nyieMahakama ya Magaidi iko wapi?
CCM kumejaa magaidi
Ipo vingunguti machinjioniMahakama ya Magaidi iko wapi?
OstabeiMahakama ya Magaidi iko wapi?
Mi sijaona swali lolote hapo labda umejadili, nimeupenda ulivyo jadili na unaonekana kujua au kosoma Biblia sasa katika maelezo yako ongeza kaneno kamaoja tu " Biblia inasema mamlaka iliyo kuu ni ya Baba Muumba' basi. hoja yako yote inajaa humo.Nikiacha mambo mengine uliyosema, 'kutii mamlaka' unakosema ni fasili ya wanasiasa, lakini siyo fasili ya Biblia. Kwa mfano, Mungu alipomtuma Nabii Musa kwenda kwa farao kwa lengo la kuwakomboa waana wa Israeli utumwani Misri na Musa akafanya hivyo, alitii mamlaka gani?
Yesu mwenye hadi ateswe, asulubiwe na kufa msalabani, alitii mamlaka gani? Manabii kwa nyakati mbalimbali mambo waliyokuwa wakiwafundisha watu kumrudia Mwenyezi Mungu na kumwabudu yeye na kuachana na kuabudu miungu wengine, walikuwa wakitii mamlaka gani?
Stefano (kwenye Kitabu cha Matendo ya Mitume, alipotiwa nguvuni na kuuawa alikuwa akitii mamlaka gani? Saulo, ambaye baadaye aliitwa Mtume Paulo, alipokuwa akiwatesa na kuwaua Wakristo alikuwa akitii mamlaka gani? Alipoongoka na kuanza kumhubiri Kristo na hata yeye mwenyewe aliyekuwa akiwatesa na kuwaua Wakristo kuanza kufungwa gerezani, pamoja na mitume wengine, alikuwa akitii mamlaka gani?
Gamalieli alipowaambia viongozi wenzake (katika Kitabu cha Matendo ya Mitume) kuhusu kuwazuia mitume wasimhubiri Yesu kuwa 'kama wanachohubiri watu hawa kinatoka kwa Mwenyezi Mungu hatuweza kuzuia wanachokifanya, lakini kama kinatoka kwa wanadamu kitakufa chenyewe.
Hivyo, nashauri tuwaache watu hawa maana tunaweza kujikuta sisi wenyewe tunapingana na Mwenyezi Mungu. Katika kusema haya Gamalieli alikuwa akitii mamlaka gani? Katika yote haya unaweza kuona 'kutii mamlaka' kuna maana gani ndani ya fasili ya Biblia na kuna maana gani nje ya yasili ya Biblia.
Ndiyo maana nimeeleza nilicho elewa kama leo mi si docta lakini nimeewa docta alivyosema 2 x 3 umeze kama kilo zako zinazidi ...Umekiri kwamba ww si mwanasheria halafu unabwabwaja kuhusu kesi mahakamani!
Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
Ndio umeandika nini?Mim si Mwanasheria na sijui sharia na siamini kama sheria inaweza kutenda haki hasa hizi sheria za kigeni tulizorithi kutoka kwa wakoloni. Nilishanga malumbano ya jana mahakamani mimi sikuyaelewa ila nilielewa jambo moja tu kuwa kesi ya mwenyekiti wa taifa Mbowe bado haijapelekwa katika mahakama yenye uwezo wa kusikiliza kesi ya ugaidi na zoezi hilo halijulikani litafanyika lini ila ni lazima atafikishwa siku moja katika mahakama hiyo yenye nguvu ya kusikiliza kesi hiyo.
Mpaka sasa najua kesi ipo Kisutu na sijui mahakama ipi ya mwanzo, ya kata, ya wilaya, ya mkoa au ipi, na kupita mahakama zote hizo itachukua miezi mingapi au miaka mingapi kusililizwa na kutolewa hukumu.
Hii inaonyesha kuwa Mbowe atasota sana ndani kwa utaratibu uliopo ndiyo maana kwa ushauri wangu sisi watu wa kanisa kama unaweza kuwa mchunguzi utagundua tunatii mamalaka kama Biblia ilivyo agiza ikija mamlaka inasema tusali tunasali na ikija mamlaka nyingine inasema sasa chanjo au vipi tunahamia huko hii yote kuepuka matatizo kama yanayompata Mbowe.
Na hata wakati wa kampeni najua mmesahau siwakumbushi. Na kutii mamlaka mbona ni rahisi tu. Leo uwezi kukuta mchungaji au sheikh katika mikusanyiko ya kijamii kama misiba, ndoa au kusanyiko lolote lile ambalo si la kidini kusikia akisalimia asalaam alaykum au bwana Yesu asifiwe au tumsifu Yesu Kristo wote ni mwendo wa nawasalimia kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, basi.
Hii nchi Mungu ametupa ni ya amani na utulivu, hivyo kesi hii kwa uzoefu wangu inaweza kuwa kama ile ya watu wa Uhamsho ambayo wao walisota takribani miaka 10 na wametoka selo juzi wameturiaa kinyaa hii ndiyo serikali jamani si kilamtu aote sharubu.
Najua mitusi itaporomoswa lakini ukweli ndiyo huo hapa ndiyo tulipo.
Sijajibu swali, nimeelezea kipengele kimojawapo kati ya hivyo ulivyoviongelea.Mi sijaona swali lolote hapo labda umejadili, nimeupenda ulivyo jadili na unaonekana kujua au kosoma Biblia sasa katika maelezo yako ongeza kaneno kamaoja tu " Biblia inasema mamlaka iliyo kuu ni ya Baba Muumba' basi. hoja yako yote inajaa humo.
Rubish, basi subiri ikija amri kuwa leta mke wako, peleka si mnatii mamlaka zilizopo... rubbish!maana kwa ushauri wangu sisi watu wa kanisa kama unaweza kuwa mchunguzi utagundua tunatii mamalaka kama Biblia ilivyo agiza ikija mamlaka inasema tusali tunasali na ikija mamlaka nyingine inasema sasa chanjo au vipi tunahamia huko hii yote kuepuka matatizo kama yanayompata Mbowe.
Akikujibu hilo ngese la lumumba nishtue tafadhari.Tuambieni nyie
Una changamoto ya R&L mkuu, pia sijaelewa ujumbe wako ni upi haswa?