swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,907
ndio maana kafungua thread na ipo siku tu.Vipi kwani una ushahidi wowote au unahisi tu
swissme
ndio maana kafungua thread na ipo siku tu.Vipi kwani una ushahidi wowote au unahisi tu
Unatetea watu wenye dharau zisizo na maana?umesahau walikwambia tunataka kiongozi wa namna gani hapa nchini kwetu?umesahau walimpokea waliemhubili kua ni fisadi?unasahau wenyewe kila kitu kwao ni kibaya hata kama ni kizuri?watu wengine muwaelewe ni wa namna gani,huyo ni mtu kijana mwenye makosa mengi tu usije dhani yeye ni mwema kupitia kauli zake,iache sheria ifanye yake na akiwa hana hatia atakua hulu tu.Lema amewekwa Rumande kwa zaidi ya Mwezi sasa. Ati Kosa lake ni Pale aliposema Kuwa, " Magufuli anajifanya ni Mungu na asipobadilika Mungu atamuua Kabla ya 2020. Pia Bungeni ambapo kuna immunity akasema tena Kuwa aliona Maono kuwa, Mungu atamuua Magufuli kabla ya 2020. Sasa Kama imani ya Lema ni sahihi au La, Huwezi Kumpeleka mtu Rumande kwa Kusimulia ndoto aliyoota hata Kama ameota kuwa Tanzania yote italipuliwa na Super volcano mwezi Ujao. Na Pia huwezi kumweka Mtu Jela kwa Kuwa anakiri kwa Imani yake Mtu anayejitia yupo juu ya sheria (Kama anavyojitia Magufuli) Kwa imani yake Mtu huyo anajifanya Mungu na Kwa imani yake Mtu huyo Mungu atamuua.
Lema angekuwa na hatia kama angalisema Kuwa anapanga Kumuua Magufuli Kabla ya 2020. Hapo wala Nisingemtetea. lakini kwa aliyosema Kumpeleka Rumande ni Ushenzi, na Ukowadi.
Naona Tanzania imegeuka Nchi ya wanaojifanya Miungu, hata huyu Kunguni Mkuu wa Mkoa Makonda akasema Juzi Kuwa ati akisema Yeye ni Mungu Kasema. Niseme tuu Biblia inasema Kuwa Lolote Tulifungalo Duniani, Limefugwa Mbinguni, na Lolote Tutakalolifuungua Duniani Litafuunguliwa Duniani. Nina huzuni ya Kufa kwa uonevu unaofanywa Nchini, Hasa kwa Ndugu Lema ambaye he has never hurm no one! Katika Maisha yangu sijawahi Kufunga na Kuomba ninilolitamani kwa Mzigo au Huzuni ya Kiasi hiki, Mungu asinisikie, Sasa Mini nitafunga siku 3 Kuomba kinyume na Ushetani na Unyama wa Uonevu Tanzania. Kama lema na Wengine wanao onewa Kisiasa Bila Kujalk Chama hawataachiwa By Monday. Nitaomba Mungu awanyanyue Watu fulani Na wakinyanyuka tu Nchi nzima itajua.
Kwa hiyo Mama yako yuko salama kufanya lolote bila kushitakiwa ndilo unalotaka kutuambia? Sio wewe uliyesema huko nyuma kuwa Lema ni Kichaa, sasa Mbona yeye Mumemkamata? Magufuli hana Uwezo wala Maboli ya Kunifanya lolote! msg sent and delivered!Vichaa hawanaga kesi mahakaman hvyo huwez kukamatwa
Kuomba Kwa kutishia sio kuomba. Kikawaida hatumuombei mtu Mabaya. Mimi nakushauri Raisi ni mtu wa kumuombea mema Mungu amfanikishe, maana Mungu asipomsaidia Wengi tutapata shida.Lema amewekwa Rumande kwa zaidi ya Mwezi sasa. Ati Kosa lake ni Pale aliposema Kuwa, " Magufuli anajifanya ni Mungu na asipobadilika Mungu atamuua Kabla ya 2020. Pia Bungeni ambapo kuna immunity akasema tena Kuwa aliona Maono kuwa, Mungu atamuua Magufuli kabla ya 2020. Sasa Kama imani ya Lema ni sahihi au La, Huwezi Kumpeleka mtu Rumande kwa Kusimulia ndoto aliyoota hata Kama ameota kuwa Tanzania yote italipuliwa na Super volcano mwezi Ujao. Na Pia huwezi kumweka Mtu Jela kwa Kuwa anakiri kwa Imani yake Mtu anayejitia yupo juu ya sheria (Kama anavyojitia Magufuli) Kwa imani yake Mtu huyo anajifanya Mungu na Kwa imani yake Mtu huyo Mungu atamuua.
Lema angekuwa na hatia kama angalisema Kuwa anapanga Kumuua Magufuli Kabla ya 2020. Hapo wala Nisingemtetea. lakini kwa aliyosema Kumpeleka Rumande ni Ushenzi, na Ukowadi.
Naona Tanzania imegeuka Nchi ya wanaojifanya Miungu, hata huyu Kunguni Mkuu wa Mkoa Makonda akasema Juzi Kuwa ati akisema Yeye ni Mungu Kasema. Niseme tuu Biblia inasema Kuwa Lolote Tulifungalo Duniani, Limefugwa Mbinguni, na Lolote Tutakalolifuungua Duniani Litafuunguliwa Duniani. Nina huzuni ya Kufa kwa uonevu unaofanywa Nchini, Hasa kwa Ndugu Lema ambaye he has never hurm no one! Katika Maisha yangu sijawahi Kufunga na Kuomba ninilolitamani kwa Mzigo au Huzuni ya Kiasi hiki, Mungu asinisikie, Sasa Mini nitafunga siku 3 Kuomba kinyume na Ushetani na Unyama wa Uonevu Tanzania. Kama lema na Wengine wanao onewa Kisiasa Bila Kujalk Chama hawataachiwa By Monday. Nitaomba Mungu awanyanyue Watu fulani Na wakinyanyuka tu Nchi nzima itajua.
Maombi gani. AchaI bless the move ndugu tupo mapoja kwenye maombi
sheria gani zifanye kazi ww?hapo hakuna sheria ni uonevu na ubabe.Unatetea watu wenye dharau zisizo na maana?umesahau walikwambia tunataka kiongozi wa namna gani hapa nchini kwetu?umesahau walimpokea waliemhubili kua ni fisadi?unasahau wenyewe kila kitu kwao ni kibaya hata kama ni kizuri?watu wengine muwaelewe ni wa namna gani,huyo ni mtu kijana mwenye makosa mengi tu usije dhani yeye ni mwema kupitia kauli zake,iache sheria ifanye yake na akiwa hana hatia atakua hulu tu.
Sijamtishia Mtu nimesema Nitakayoombea Nitaomba Mungu awanyanyue Miungu sanamu Tanzania, Wanamwibia Ibada na Utukufu, Wanaleta vilio kwa kutafuna mioyo ya Watu kama nzige, Sio Mapenzi ya Mungu ninayemfahamu. Na kwa Taarifa yako imani yangu ipo Katika Biblia na haipo kwenye nadharia yako uuitayo, " Kikawaida"Kuomba Kwa kutishia sio kuomba. Kikawaida hatumuombei mtu Mabaya. Mimi nakushauri Raisi ni mtu wa kumuombea mema Mungu amfanikishe, maana Mungu asipomsaidia Wengi tutapata shida.
Hakuna mwanamaombi yoyote aliye WA Kweli anaweza kumuombea Rais WA nchi anayoishi yeye Mabaya. Ukiona Huyo ujue ni mwanamaombi WA kisiasa.
Ungeweka na hicho kifungu cha sheria kinachohusika ili pasiwe na malalamiko kama haya tunayosikia kwamba ni amri kutoka juu' vinginevo acha kubwabwaja!Maneno aliyoongea Lema ni mazito sana kwa mamlaka ya nchi. Sidhani kama kuna Mahakama italichukulis suala hili kimzaha mzaha. Je una hakika gani kama alichoongea Lema ni maono? Je hakuna mikakati yoyote ya chadema kutaka kumuua Rais? Kwa hakika katika nchi zingine mtu kama Lema angeshasahaulika kabisa. Hapa kwetu demokrasia inatufanya rusitekeleze ipasavyo sheria za nchi
Penal code inahusikaje na rufaa yake? Labda useme criminal procedure na high court rules,penal code inataja offence na adhabu yake husika ambayo haibishaniwi ktk maombi yake ya kupewa dhamana,Naomba msome penal code kwanza ndio mje humu, naona mnatoka mapovu tu
Unawazungumzia akina Lissu na Baregu na Malya au, Ni kesi ngapi wamewabwaga CCM na Serikali yao. Unakumbuka ile ya Ugaidi wa Rwekatare? Kamuulize Wasira etc! Sio Kweli Magufuli anayehonga Wabunge kwa Pesa za Wizi, Magufuli anayetuma Polisi Kumsimamia Lipumba Kufanya Uhalifu wa Kuvunja offisi za Watu tunamsingizia? Magufuli ni Mnafiki sana, and in Short ni Ibilisi anayejifanya Kondoo, Anafurahia Mateso, Kushalilishwa, na Maumivu ya Wengine mithili ya Anayefurahia Jambo tamu sana, He is Psychopath and Sadistic. Kama wewe Ni Kiongozi Unayejali Principles hatakama Mtu humpendi huwezi Kunyang,anya uhuru au haki yake au kumwonea kwa lolote.
Kwa hiyo unataka kulazimisha watu wakufuate wewe??Nimemdharau kwakuwa kaja na ' Hoja ' ya ' Kipuuzi ' kabisa ambayo naona na Wewe ni kama vile unataka kuikubali ili nawe nikuingize katika wale ninaowadharau kwa kutojua ' kufikiri '.