Kesi ya Lema kuna mkono wa Rais Magufuli?

Kesi ya Lema kuna mkono wa Rais Magufuli?

Wewe utakuwa umevurugwa tu. Mtu anayefunga kwa kuugua kama unavyodai kwa Jina la Mungu usingeleta ngonjera wote hapa asubuhi na kuita watu kunguru. Wewe huna Mungu aliye Juu unajifanyia mambo kwa utashi wako tu.
Nimesema ukweli sio kweli? usinifundishe how to Talk, Mimi Maisha yangu yote Naita Mbwa, Mbwa na Nguruwe nguruwe I can,t stand Mbweha wanaosema Msemakweli ni Mpezi wa Mungu wakati Uwongo na Unafiki wao Unanuka zaidi ya Maiti iliyotelekezwa na Kuoza! Kuhusu Kuwa Mungu anasikiliza Maombi ya Mtu kama mimi, Lets wait n see!
 
Lema amewekwa Rumande kwa zaidi ya Mwezi sasa. Ati Kosa lake ni Pale aliposema Kuwa, " Magufuli anajifanya ni Mungu na asipobadilika Mungu atamuua Kabla ya 2020. Pia Bungeni ambapo kuna immunity akasema tena Kuwa aliona Maono kuwa, Mungu atamuua Magufuli kabla ya 2020. Sasa Kama imani ya Lema ni sahihi au La, Huwezi Kumpeleka mtu Rumande kwa Kusimulia ndoto aliyoota hata Kama ameota kuwa Tanzania yote italipuliwa na Super volcano mwezi Ujao. Na Pia huwezi kumweka Mtu Jela kwa Kuwa anakiri kwa Imani yake Mtu anayejitia yupo juu ya sheria (Kama anavyojitia Magufuli) Kwa imani yake Mtu huyo anajifanya Mungu na Kwa imani yake Mtu huyo Mungu atamuua.

Lema angekuwa na hatia kama angalisema Kuwa anapanga Kumuua Magufuli Kabla ya 2020. Hapo wala Nisingemtetea. lakini kwa aliyosema Kumpeleka Rumande ni Ushenzi, na Ukowadi.

Naona Tanzania imegeuka Nchi ya wanaojifanya Miungu, hata huyu Kunguni Mkuu wa Mkoa Makonda akasema Juzi Kuwa ati akisema Yeye ni Mungu Kasema. Niseme tuu Biblia inasema Kuwa Lolote Tulifungalo Duniani, Limefugwa Mbinguni, na Lolote Tutakalolifuungua Duniani Litafuunguliwa Duniani. Nina huzuni ya Kufa kwa uonevu unaofanywa Nchini, Hasa kwa Ndugu Lema ambaye he has never hurm no one! Katika Maisha yangu sijawahi Kufunga na Kuomba ninilolitamani kwa Mzigo au Huzuni ya Kiasi hiki, Mungu asinisikie, Sasa Mini nitafunga siku 3 Kuomba kinyume na Ushetani na Unyama wa Uonevu Tanzania. Kama lema na Wengine wanao onewa Kisiasa Bila Kujalk Chama hawataachiwa By Monday. Nitaomba Mungu awanyanyue Watu fulani Na wakinyanyuka tu Nchi nzima itajua.
Mahakama na serikali hazina dini ukisema mungu alisema atamwuua inabidi umpeleleke huyo mungu mliyeongea naye akaandike statement polisi na umpeleke mahakamani kama shahidi wako.Mahakamani ukisema Fulani aliniambia hivi inatakiwa ukamlete huyo Fulani unayemsema alikwambia awe mungu au kibaka mnywa viroba wa sombetini vinginevyo huchomoki
 
Magufuli hataki kukosokewa!..Anapenda sifa na kuogopwa.
 
Hili ni janga la kitaifa.
Toka vijana wa bavicha wajipe likizo ya kutafakari na kumuachia Lissu na Mbowe watafakari kwa niaba yao,wamejisahau kabisa kwamba likizo ina mwisho wake.

Leo upuuzi wa mtu mmoja ambae alitamani mke wake asipewe dhamana ili ajifunze maisha ya jela eti ndio raisi ajihusishe.... Hebu acheni dharau kwa mkuu

inaonekana ww kwako rais ni Mungu. Mnaweza kusema mtakayo ila hiyo ndio tabia ya viongozi wa kiafrika wakipata madaraka huchanganya tabia zao na sheria.
 
Shut you mouth? Magufuli ni Mwanadamu na Kila mtu anajua hafuati sheria. Iwe unampenda Lema au haumpendi, Alichosema sio kuvunja sheria! Na mimi nasema Pia kuwa Inawezekana Mungu akamuua Magufuli Kabla ya 2020. Unafiki Gani sio Huyu huyu mnafiki alikuwa akishangilia majukwaani wakati Wapambe wake wakisema iwapo Lowassa akichaguliwa atafia Ikulu na Ikulu hakuna Budgeti ya Mazishi? Sio Magufuli aliyekuwa Akishangilia maneno machafu Kama yale? Leo hii huyuhuyu anaweka watu ndani kwa Kusema yale aliyokuwa akiyashangilia Dhidi ya Lowassa Kuwa atafia Ikulu?
The hell na Mimi Nimeota Ndoto kuwa Lowassa anahudhuria Maziko ya Magufuli, Na ndoto zangu huwa ni kweli 99% sasa Kama Magufuli Mwanaume anitafute aniweke ndani Kama Lema kwa Kusema Nilichoota. Mijitu Inagombea Urais huku ikiwa haina Mabega wala Maboli ya Kubeba uzito wala heshima ya Madaraka ya Urais. what a shame!


KUNA MASHEIKH WANGAPI LEO WAKO NDANI MBONA HAMTOKWI NA MAPOVU KUHUSU WAO AU WAO SIO WATANZANIA?

WACHA AKAE NDANI KAMA MASHEIKH

YEYE NI BINADAMU KAMA BINADAMU WENGINE

MASUALA YA MAONO APELEKE KWA MCHUNGAJI WAKE HII SERIKALI MLISHASEMA HAINA DINI
 
Ni "jamii ya wendawazimu'' pekee ambayo hoja hujibiwa kwa tusi ama kejeli. Baraza la Jamii (kama Jamii Forum inaweza pata tafsiri ya moja kwa moja ya kiswahili), linatuhusu sote tuliomo ndani ya "Jamii" mbalimbali ambazo hekima, busara na hata matusi huzifanya kuwa jamii. Lakini, kuwepo kwa matusi ama kejeli ndani ya jamii hizo HAKUTUFANYI TUONEKANE WANAJAMII HASWAA bali matusi ama lugha hizo za kejeli hututofautisha na wanajamii wengine na kuonesha kiwango cha kustaarabika tulicho nacho (sioni ajabu kuona post hii inajibiwa kwa tusi kwani ndio "jamii" ninayoizungumzia).

Ukiitazama kwa undani hoja ya mtoa mada, haihitaji jibu la kuanzia mahakamani tu bali nje ya mahakama kwa kulitazama "kosa" lililomuweka rumande na namna mahojiano ya kisheria dhidi ya mawakiri wa pande zote mbili yalivyochukua mkondo wake juu ya "kosa" hilo na maamuzi yaliyotolewa baadae.

Labda tujiulize (najua umeisha jiuliza);
Je, Lema pekee ndiye wa kwanza kutoa matamshi ya kumtabiria mtu kifo?
Kama Lema si wa kwanza, yule wa kwanza alichukuliwa hatua gani kwa matamshi ambayo hayakiwa ya "kimaono" kama ya Lema bali yaliyotoka katika vinywa vikavu vya watoaji wa kauli hizo dhidi ya mtu X ama Y kuwa "atakufa ndaani ya muda wa siku, wiki ama miezi michache"? Ama hizo hazikuwa kauli za "uchonganishi" (Ref. Uchaguzi uliopita)?
Kama Lema ndiye wa kwanza, sheria inasemaje kuhusu "imani, utabiri" (Daudi alitabiriwa kifo kwa kumchukua mke wa mpiganaji wake lakini "udaudi" wake haukutumika kubadilisha blue kuwa njano bali alitubu)?

Ukipata majibu ya huto tuswali n mengine utakayo yapata; njoo nayo barazani bila kejeli na matusi, mjibu mtoa hoja.

Alichokitoa mwenzetu ni mawazo yake ambayo unahiari ya kuyapokea kwa kuchangia for ama kuyakataa kwa kwenda against. Sasa humu kila hoja unayoikataa huikatai kwa hoja bali "matusi na kejeli". Hapo ndipo utakapogundua kuwa "NYUMA YA ID ZETU ZISIZO NA MAANA KWA WENGINE ILA KWETU PEKEE, NDIKO TABIA ZETU ZILIKOJIFICHA".
Mbona mnapotosha ukweli??? Je Lema ameshitakiwa kwa ndoto?? Huo ni upotoshaji sana. Waambie hao mawakili wasomi wawambie makosa ambayo Lema ameshitakiwa. Pia wawaeleze sababu ambazo Mahakama imezuia dhamana ya Lema. Ajabu ni kwamba hata wanasheria wa Lema wanafanya siasa badala ya kufanya kazi ya kisheria. Kama wameshindwa kufanya kazi ya sheria basi wavue majoho wavae magwanda ili waeneze propaganda vizuri.
 
Endeleeni kumtetea mpuuzi Lema. Hapa amefika mwisho wake. Kesi hii haitamuacha salama
kwa hiyo kwa hayo maneno na wewe uwekwe ndani kwa kusema kwamba haita muacha salama? au wewe huna hatia kwa sababu huko upande wa Mkulu?
 
Sidhani na siamini kama rais ana muda wa kuhangaika na mtu kama Lema. Tuache sheria ichukue mkondo wake. CHADEMA wana mawakili wazuri sana na wameshashinda kesi lukuki mahakamani hivyo sina wasiwasi kuwa haki itatendeka.

Lema inabidi akumbushwe kuwa siasa ni mchezo wa ku-adapt na ni ujinga kung'ang'ania mbinu zile zile za siasa za kianalojia wakati watu wamehamia kwenye digitali. Akilitambua hili ataendesha siasa effective sana kama zinazoendeshwa na wenzake akina Sumari, Mnyika, Msigwa, Mdee na wengineo.
 
Uonevu tu huu,hakuna cha sheria wala nini
 
Mtambuka dhaifu,chezea magu
Actually anachofanya sio ujasiri, he is a coward, na insecure, Aliyekuwa Jasiri wa kutowire tap simu za Mawaziri asikie wanamsemaje ni Kikwete. Unamwita Jasiri mtu anayesema anawarecord mawaziri wake kwa siri ili ajue kama wanamsema! Mwanaume mzima. Kitu kinachofanya Watu Kuwa Madictator sio Ujasiri, Ni kinyume chake, Ni hofu, Kutokujiamini na Kutokuamini wengine, Kutokuwa na Maboli na Pia kutokuwa na hekima wala Akilki ya Kudeal na Watu. Na Ukatili uliopitiliza. Naamini Mwalimu nyerere nagekuwepo asingemvumilia huyu mshenzi hata kwa sekunde moja, Ushahidi Ninao!
 
sisi kina gogo la shamba tulishasema Lema amejiwekea heshima kubwa ya kutetea haki,vyovyote watakavyomfanyia lazima ataibuka mshindi na wale wote wanaomfanyia hila mwisho wao utakuwa haibu kubwa mbele ya jamii
 
Maneno yenu ndio yanamfanya awe mpuuzi..mngejiuliza tu Joshua nasari yupo huko huko..mbona hatusikii matamko yake dhidi ya rais..huyu lema wengi hamumjui..ni mwanaharakati na sio mwanasiasa..haya ndio maisha yake...lowasa hadi kesho ana kinyongo nae..mie nilishiriki kampeni za lema huko nyuma na tulikuwa tukimshangilia hivi hivi akiongea matusi kwa lowasa na yeye ikawa ndio style yake iyo
 
Hata kama mnampenda Lema lakini muwe wa kweli kwamba amekuwa akifanya ujinga wa kipumbavu muda mrefu! Sasa lazima ajifunze heshima kidogo ili akitoka awe mstaarabu!
Ni nchi za kiafrika pekee zinazo lazimisha watu wote wawe na mtazamo mmoja, bila kutofautiana kimawazo hakuna maendeleo!!!!!
Lema anaweza kuwa mjinga, lakini anae tumia nguvu nyingi kupambana na mjinga tuna mwita nani?
 
Jamaa anaropoka sana ngoja apate adamu sijui hicho ndo wananchi wake walichomtuma chama anakiweka mbele kuliko wananchi wake.
 
Lema amewekwa Rumande kwa zaidi ya Mwezi sasa. Ati Kosa lake ni Pale aliposema Kuwa, " Magufuli anajifanya ni Mungu na asipobadilika Mungu atamuua Kabla ya 2020. Pia Bungeni ambapo kuna immunity akasema tena Kuwa aliona Maono kuwa, Mungu atamuua Magufuli kabla ya 2020. Sasa Kama imani ya Lema ni sahihi au La, Huwezi Kumpeleka mtu Rumande kwa Kusimulia ndoto aliyoota hata Kama ameota kuwa Tanzania yote italipuliwa na Super volcano mwezi Ujao. Na Pia huwezi kumweka Mtu Jela kwa Kuwa anakiri kwa Imani yake Mtu anayejitia yupo juu ya sheria (Kama anavyojitia Magufuli) Kwa imani yake Mtu huyo anajifanya Mungu na Kwa imani yake Mtu huyo Mungu atamuua.

Lema angekuwa na hatia kama angalisema Kuwa anapanga Kumuua Magufuli Kabla ya 2020. Hapo wala Nisingemtetea. lakini kwa aliyosema Kumpeleka Rumande ni Ushenzi, na Ukowadi.

Naona Tanzania imegeuka Nchi ya wanaojifanya Miungu, hata huyu Kunguni Mkuu wa Mkoa Makonda akasema Juzi Kuwa ati akisema Yeye ni Mungu Kasema. Niseme tuu Biblia inasema Kuwa Lolote Tulifungalo Duniani, Limefugwa Mbinguni, na Lolote Tutakalolifuungua Duniani Litafuunguliwa Duniani. Nina huzuni ya Kufa kwa uonevu unaofanywa Nchini, Hasa kwa Ndugu Lema ambaye he has never hurm no one! Katika Maisha yangu sijawahi Kufunga na Kuomba ninilolitamani kwa Mzigo au Huzuni ya Kiasi hiki, Mungu asinisikie, Sasa Mini nitafunga siku 3 Kuomba kinyume na Ushetani na Unyama wa Uonevu Tanzania. Kama lema na Wengine wanao onewa Kisiasa Bila Kujalk Chama hawataachiwa By Monday. Nitaomba Mungu awanyanyue Watu fulani Na wakinyanyuka tu Nchi nzima itajua.
Mtu ukiamua kufunga huwa hatutangazi.. Ni unafki.
But kila la Kher.. Umkumbuke na Lema aache bangi..
 
Muheshimiwa mkuu wa nchi tunaombaa LEMA aachiwe mungu hapendi na tunapenda uongozi wako ila sio kukaaaa kumuweka mtu ndani ametabiri hivyo.....fata tabia za Jakaya Kikwete hakuwa anafanya hayo mambo hata kidogo.....fata nyayo zake ila endelea kutuwekea nchi vizuri....mpaka sasa kazi unayofanya ni nzuri sanaaa ila achana na mambo ya siasa kila mtu anaona nini unafanya so hao wakina LEMA achana nao waache wawe free hii ni free country.....
 
habar comrades,

Najaribu kuwaza tu! na nimejiuliza kwa nn mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?..je kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?..hapa kweli hakuna kaarufu ka order kutoka juu?
Dah...kwani Lema kashtakiwa kwa kesi gani hasa?[emoji13]
 
Maneno aliyoongea Lema ni mazito sana kwa mamlaka ya nchi. Sidhani kama kuna Mahakama italichukulis suala hili kimzaha mzaha. Je una hakika gani kama alichoongea Lema ni maono? Je hakuna mikakati yoyote ya chadema kutaka kumuua Rais? Kwa hakika katika nchi zingine mtu kama Lema angeshasahaulika kabisa. Hapa kwetu demokrasia inatufanya rusitekeleze ipasavyo sheria za nchi
Aliongea nn na ya na uzito kilogramu au tani ngap?
 
KWANI LEMA NI NANI?

KUNA MASHEIKH WANGAPI LEO WAKO NDANI MBONA HAMTOKWI NA MAPOVU KUHUSU WAO AU WAO SIO WATANZANIA?

WACHA AKAE NDANI KAMA MASHEIKH

YEYE NI BINADAMU KAMA BINADAMU WENGINE

MASUALA YA MAONO APELEKE KWA MCHUNGAJI WAKE HII SERIKALI MLISHASEMA HAINA DINI
Lema ni Nani? Ni Mtanzania na Ni Mbunge, na Zaidi ya Yote Ni Matzania asiyestahili Kunyanyaswa kwa anachokiamini au Ndoto aliyoota! Hata wewe Ungekamatwa kwa Kusema tu Ulichoota au Kuamini Ningeona Umeonewa. Halafu Upumbavu wa Kuuliza Lema ni nani Unanipa hisia za Kuwa kwako wewe Kuna watu ambao Wewe Unadhani sio Wanadamu kama Wengine, Hivyo wana Mandate ya Kuwafanyia wengine kama watakavyo! Au Nikuulize Lema amechaguliwa na Wananchi kwa Nafasi yake na Magufuli kwa Nafasi yake, Kwanini Usituulize kwa sarcasm ," Kwani Magufuli ni Nani?"
 
Back
Top Bottom