Kesi ya Lema kuna mkono wa Rais Magufuli?

Kesi ya Lema kuna mkono wa Rais Magufuli?

Lema amewekwa Rumande kwa zaidi ya Mwezi sasa. Ati Kosa lake ni Pale aliposema Kuwa, " Magufuli anajifanya ni Mungu na asipobadilika Mungu atamuua Kabla ya 2020. Pia Bungeni ambapo kuna immunity akasema tena Kuwa aliona Maono kuwa, Mungu atamuua Magufuli kabla ya 2020. Sasa Kama imani ya Lema ni sahihi au La, Huwezi Kumpeleka mtu Rumande kwa Kusimulia ndoto aliyoota hata Kama ameota kuwa Tanzania yote italipuliwa na Super volcano mwezi Ujao. Na Pia huwezi kumweka Mtu Jela kwa Kuwa anakiri kwa Imani yake Mtu anayejitia yupo juu ya sheria (Kama anavyojitia Magufuli) Kwa imani yake Mtu huyo anajifanya Mungu na Kwa imani yake Mtu huyo Mungu atamuua.

Lema angekuwa na hatia kama angalisema Kuwa anapanga Kumuua Magufuli Kabla ya 2020. Hapo wala Nisingemtetea. lakini kwa aliyosema Kumpeleka Rumande ni Ushenzi, na Ukowadi.

Naona Tanzania imegeuka Nchi ya wanaojifanya Miungu, hata huyu Kunguni Mkuu wa Mkoa Makonda akasema Juzi Kuwa ati akisema Yeye ni Mungu Kasema. Niseme tuu Biblia inasema Kuwa Lolote Tulifungalo Duniani, Limefugwa Mbinguni, na Lolote Tutakalolifuungua Duniani Litafuunguliwa Duniani. Nina huzuni ya Kufa kwa uonevu unaofanywa Nchini, Hasa kwa Ndugu Lema ambaye he has never hurm no one! Katika Maisha yangu sijawahi Kufunga na Kuomba ninilolitamani kwa Mzigo au Huzuni ya Kiasi hiki, Mungu asinisikie, Sasa Mini nitafunga siku 3 Kuomba kinyume na Ushetani na Unyama wa Uonevu Tanzania. Kama lema na Wengine wanao onewa Kisiasa Bila Kujalk Chama hawataachiwa By Monday. Nitaomba Mungu awanyanyue Watu fulani Na wakinyanyuka tu Nchi nzima itajua.
Mtambuka dhaifu,chezea magu
 
Tangia enzi za mababu wa imani,Mungu hapandi kufananishwa na miungu wengine na amekuwa akitoa adhabu.
Mungu atawaadhibu wanaojifanya miungu ili hali ni wagonjwa tu
Na pia Mungu huyo huyo anasema usimshirikishe na kitu chochote. Pia usimzulie jambo baya mwenzako kwani litakugeuka. Lema anaonja joto la jiwe kwa upumhavu wake. Kujifanya mjuaji na msemaji. Hakuna Mahala Rais aliwahi kujiita wala kujitangazia kuwa ni Mungu.
 
Shut you mouth? Magufuli ni Mwanadamu na Kila mtu anajua hafuati sheria. Iwe unampenda Lema au haumpendi, Alichosema sio kuvunja sheria! Na mimi nasema Pia kuwa Inawezekana Mungu akamuua Magufuli Kabla ya 2020. Unafiki Gani sio Huyu huyu mnafiki alikuwa akishangilia majukwaani wakati Wapambe wake wakisema iwapo Lowassa akichaguliwa atafia Ikulu na Ikulu hakuna Budgeti ya Mazishi? Sio Magufuli aliyekuwa Akishangilia maneno machafu Kama yale? Leo hii huyuhuyu anaweka watu ndani kwa Kusema yale aliyokuwa akiyashangilia Dhidi ya Lowassa Kuwa atafia Ikulu?
The hell na Mimi Nimeota Ndoto kuwa Lowassa anahudhuria Maziko ya Magufuli, Na ndoto zangu huwa ni kweli 99% sasa Kama Magufuli Mwanaume anitafute aniweke ndani Kama Lema kwa Kusema Nilichoota. Mijitu Inagombea Urais huku ikiwa haina Mabega wala Maboli ya Kubeba uzito wala heshima ya Madaraka ya Urais. what a shame!
Endeleeni kumtetea mpuuzi Lema. Hapa amefika mwisho wake. Kesi hii haitamuacha salama
 
Mahakama haiko huru siku hizi inaendeshwa kwa amri toka juu!..
 
habar comrades,

Najaribu kuwaza tu! na nimejiuliza kwa nn mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?..je kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?..hapa kweli hakuna kaarufu ka order kutoka juu?

Vipi kanyimwa dhamana wakati mawakili wake ni wabovu na wanakosea techniques za kisheria.
 
Lema amewekwa Rumande kwa zaidi ya Mwezi sasa. Ati Kosa lake ni Pale aliposema Kuwa, " Magufuli anajifanya ni Mungu na asipobadilika Mungu atamuua Kabla ya 2020. Pia Bungeni ambapo kuna immunity akasema tena Kuwa aliona Maono kuwa, Mungu atamuua Magufuli kabla ya 2020. Sasa Kama imani ya Lema ni sahihi au La, Huwezi Kumpeleka mtu Rumande kwa Kusimulia ndoto aliyoota hata Kama ameota kuwa Tanzania yote italipuliwa na Super volcano mwezi Ujao. Na Pia huwezi kumweka Mtu Jela kwa Kuwa anakiri kwa Imani yake Mtu anayejitia yupo juu ya sheria (Kama anavyojitia Magufuli) Kwa imani yake Mtu huyo anajifanya Mungu na Kwa imani yake Mtu huyo Mungu atamuua.

Lema angekuwa na hatia kama angalisema Kuwa anapanga Kumuua Magufuli Kabla ya 2020. Hapo wala Nisingemtetea. lakini kwa aliyosema Kumpeleka Rumande ni Ushenzi, na Ukowadi.

Naona Tanzania imegeuka Nchi ya wanaojifanya Miungu, hata huyu Kunguni Mkuu wa Mkoa Makonda akasema Juzi Kuwa ati akisema Yeye ni Mungu Kasema. Niseme tuu Biblia inasema Kuwa Lolote Tulifungalo Duniani, Limefugwa Mbinguni, na Lolote Tutakalolifuungua Duniani Litafuunguliwa Duniani. Nina huzuni ya Kufa kwa uonevu unaofanywa Nchini, Hasa kwa Ndugu Lema ambaye he has never hurm no one! Katika Maisha yangu sijawahi Kufunga na Kuomba ninilolitamani kwa Mzigo au Huzuni ya Kiasi hiki, Mungu asinisikie, Sasa Mini nitafunga siku 3 Kuomba kinyume na Ushetani na Unyama wa Uonevu Tanzania. Kama lema na Wengine wanao onewa Kisiasa Bila Kujalk Chama hawataachiwa By Monday. Nitaomba Mungu awanyanyue Watu fulani Na wakinyanyuka tu Nchi nzima itajua.

Mungu Asimame kwa ajili ya taifa la Tanzania.
 
Ndio maagizo toka juu yanavosema hayo.
Sio maagizo ni Maigizo kutoka juu, ya anayedhani ni mhimili uliochimbiliwa zaidi chini. I hope he dig his arrogant self all the way six feet under every one else!
 
Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
Hahaaahaaa ni kweli wazungu hawakukosea hopeless IQ inaanzia kwako kwa kuamini bila kujipendekeza kwa watawala maisha hayaendi duhhh nyani haoni kundule
 
Shut you mouth? Magufuli ni Mwanadamu na Kila mtu anajua hafuati sheria. Iwe unampenda Lema au haumpendi, Alichosema sio kuvunja sheria! Na mimi nasema Pia kuwa Inawezekana Mungu akamuua Magufuli Kabla ya 2020. Unafiki Gani sio Huyu huyu mnafiki alikuwa akishangilia majukwaani wakati Wapambe wake wakisema iwapo Lowassa akichaguliwa atafia Ikulu na Ikulu hakuna Budgeti ya Mazishi? Sio Magufuli aliyekuwa Akishangilia maneno machafu Kama yale? Leo hii huyuhuyu anaweka watu ndani kwa Kusema yale aliyokuwa akiyashangilia Dhidi ya Lowassa Kuwa atafia Ikulu?
The hell na Mimi Nimeota Ndoto kuwa Lowassa anahudhuria Maziko ya Magufuli, Na ndoto zangu huwa ni kweli 99% sasa Kama Magufuli Mwanaume anitafute aniweke ndani Kama Lema kwa Kusema Nilichoota. Mijitu Inagombea Urais huku ikiwa haina Mabega wala Maboli ya Kubeba uzito wala heshima ya Madaraka ya Urais. what a shame!
Mkuu kwani lema hastahili kukaa kisongo?
 
Na leo waziri mkuu yupo anagawa pikipiki,zitachukuliwa tu haziachwi.
 
Acheni kumsingizia Magufuli. Tatizo na hao Mawakili wenu wanaocheza na mashabiki. Mawakili gani kila wakikata rufaa wanaishia kuelekezwa cha kufanya.
Ndoyo maana Lema akaona ni wapuuzi na kuwapiga stop kufanya lolote. Mimi Nina amini kwamba kesi hii kama angejisimamia Lema angeshinda. Uwakili siyo kumeza vifungu tu, jifunzeni taratibu za kufungua kesi na zile za mapingamizi (rufaa).
Unawazungumzia akina Lissu na Baregu na Malya au, Ni kesi ngapi wamewabwaga CCM na Serikali yao. Unakumbuka ile ya Ugaidi wa Rwekatare? Kamuulize Wasira etc! Sio Kweli Magufuli anayehonga Wabunge kwa Pesa za Wizi, Magufuli anayetuma Polisi Kumsimamia Lipumba Kufanya Uhalifu wa Kuvunja offisi za Watu tunamsingizia?
 
Kamnyang'anya hadi sumaye kiwanha chake,awamu ya visasi hii
 
Wewe utakuwa umevurugwa tu. Mtu anayefunga kwa kuugua kama unavyodai kwa Jina la Mungu usingeleta ngonjera wote hapa asubuhi na kuita watu kunguru. Wewe huna Mungu aliye Juu unajifanyia mambo kwa utashi wako tu.
 
Mkuu kwani lema hastahili kukaa kisongo?
Kama angeua au kupiga mtu, au kama angetishia kuua Ningeelewa. Ukitaka kujua Tanzania Kuna Unafiki, Juzi Kuna Kiongozi wa Dini Kipenzi cha Mkubwa fulani, alimtishia Mtu kwa maneno, " Wewe Nikikukuta Mahali wewe nakuua" Na video iko kila mahali. Huyo hajakamatwa, lakini Lema kwa Ndoto au tuseme Maono Kakamatwa! Au yule aliyetishiwa Kuuwawa Live yeye Maisha yake ni cheap kuliko ya Magufuli ambaye Lema hakumwambia, " Hafu wewe Nikikuona Mahali nakuua" Alimwambia tu Unajifanya Mungu, Usipogeuka Mungu atakuua, sasa yupi angetakiwa kukamatwa. Utaona Unafiki wa Tanzania!
 
Back
Top Bottom