Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,116
- 37,662
Kwa nini ktk zile picha za expansion joints zilizotapakaa FB, hawakwenda kwa mmiliki wa FB?Tatizo mamlaka zetu (serikali) havipendi vitu vya "made in Tanzania", JF ni mitandao ya kijamii kama ilivyo mingine tofauti yake waasisi wake ni Watz...kama ingekuwa mtu ametumia ID FAKE ya facebook alafu ameandika tuhuma kama za oilcom sijui wangemtafuta mmilki / Mkurugenzi wa facebook atoe ushirikiano?