oilcom tanzania


 1. Roving Journalist

  Kesi dhidi ya JamiiForums (Kuhusu CRDB): Shahidi kutoka Makao Makuu ya Polisi Kitengo cha Upelelezi Mtandaoni ahojiwa

  Kesi namba 458 ya Jamhuri vs Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media na mwanahisa wa kampuni hiyo inayohusu kuendesha mtandao (JamiiForums.com) bila kutumia Kikoa cha do.TZ na Kuzuia Upelelezi wa Polisi iliendelea Novemba 07, 2018 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu. Itakumbukwa kuwa katika kosa...
 2. Roving Journalist

  KISUTU: Kesi namba 456(Jamhuri v Maxence Melo na Micke William) yapigwa tena kalenda

  Kesi namba 456 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) ambapo kampuni ya OilCom iliandikwa katika mtandao wa JamiiForums ikidaiwa kukwepa kodi na kuchakachua mafuta bandarini Dar (iliyopo chini ya Hakimu Thomas Simba) imetajwa tena leo Julai 17, 2018 Upande wa Jamhuri leo...
 3. Roving Journalist

  KISUTU: Kesi namba 456(Jamhuri v JamiiForums), Hakimu aomba muda zaidi kutatua tatizo la kisheria kwenye jalada la kesi

  Kesi namba 456 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) ambapo kampuni ya OilCom iliandikwa katika mtandao wa JamiiForums ikidaiwa kukwepa kodi na kuchakachua mafuta bandarini Dar (iliyopo chini ya Hakimu Thomas Simba) imetajwa tena leo Mei 03, 2018 Shauri hili limeahirishwa mpaka...
 4. Roving Journalist

  KISUTU: Kesi namba 456(Jamhuri v JamiiForums), Hakimu ashindwa kutoa uamuzi mdogo kutokana na tatizo la kisheria

  Kesi namba 456 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) ambapo kampuni ya OilCom iliandikwa katika mtandao wa JamiiForums ikidaiwa kukwepa kodi na kuchakachua mafuta bandarini Dar (iliyopo chini ya Hakimu Thomas Simba) imetajwa tena leo Aprili 09, 2018 Upande wa Jamhuri leo umefika na...
 5. Roving Journalist

  Kesi namba 456(Jamhuri v JamiiForums) yaahirishwa. Hakimu hajamaliza kuandika uamuzi mdogo(ruling)

  Kesi namba 456 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) ambapo kampuni ya OilCom iliandikwa katika mtandao wa JamiiForums ikidaiwa kukwepa kodi na kuchakachua mafuta bandarini Dar (iliyopo chini ya Hakimu Thomas Simba) imetajwa tena leo Machi 13, 2018 Hata hivyo, shauri limehirishwa...
 6. Roving Journalist

  Kesi namba 456 (Jamhuri vs JamiiForums): Shahidi akiri mshtakiwa namba 2 yupo kimakosa...

  Wakuu, Kesi namba 456 inayowakabili Maxence Melo na Micke Williams imeendelea leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu mbele ya Hakimu Thomas Simba. Kesi imeanza kwa kubadilishwa kwa hati ya mashtaka (ingawa shahidi wa kwanza alishasikilizwa na ushahidi kuletwa mbele za mahakama). Kikubwa...
Top