Kesi namba 456 (Jamhuri vs JamiiForums): Shahidi akiri mshtakiwa namba 2 yupo kimakosa...

Tatizo mamlaka zetu (serikali) havipendi vitu vya "made in Tanzania", JF ni mitandao ya kijamii kama ilivyo mingine tofauti yake waasisi wake ni Watz...kama ingekuwa mtu ametumia ID FAKE ya facebook alafu ameandika tuhuma kama za oilcom sijui wangemtafuta mmilki / Mkurugenzi wa facebook atoe ushirikiano?
Kwa nini ktk zile picha za expansion joints zilizotapakaa FB, hawakwenda kwa mmiliki wa FB?
 
Kwa nini ktk zile picha za expansion joints zilizotapakaa FB, hawakwenda kwa mmiliki wa FB?
Yule jina lake ni original na wame-trace imekuwa rahisi kumpata hata kama angekuwa member humu JF anatumia jina original wangem-trace na kumpata pia lakini kuna watu wenye majina fake kibao wanatumia FB na kuleta information mbaya kwa maslahi ya nchi lakini sijaona wakitafutwa kwa style ya kama hii issue ya Oilcom ya kuhakikisha wanawasiliana na mitandao husika
 
Kumbuka hapa OILCOM walilalamika wakidai kuwa wamechafuliwa kwa kitendo ambacho hawajakifanya.

Je, kule FB kuna kampuni yoyote ambazo habari zake zimewahi kutolewa kule na kampuni husika wakaenda kulalamika Serikalini?
 
Hii movie inashangaza sana,yaani ni sawa na raia wema watoe taarifa kwa askari kuhusu uwepo wa magaidi mfano wale wa kibiti katik eneo fulani,sasa badala ya askari kwenda kwenye eneo husika kuangalia uwepo wa hao magaidi wanamkomalia mtoa taarifa kuwa ww umejuaje kama wapo hapo,daah jeshi letu bado sana.Katika hali ya kawaida ilitegemewa hao askar waende kwenye mamlaka husika kuchunguza usahihi wa taarifa na si kumbugudhi mtoa taarifa
 
Kumbuka hapa OILCOM walilalamika wakidai kuwa wamechafuliwa kwa kitendo ambacho hawajakifanya.

Je, kule FB kuna kampuni yoyote ambazo habari zake zimewahi kutolewa kule na kampuni husika wakaenda kulalamika Serikalini?
Nakubaliana na wewe 100% kwamba hawa jamaa walilalamika na polisi kufanyia kazi suala lao ni vizuri ila uzi huu na comment yangu imeangalia hali halisi ya mambo mengine yenye madhara kwa Taifa yanayotokea yasivyopewa kipaumbele pia na jeshi letu (hata kama sheria inakutaka ushitaki kama umechafuliwa lakini kuna mengine bado yanatakiwa yashughulikiwe na polisi hata mhusika asiposhitaki kwani unakuta yana madhara hasi kwa jamii ...mfano kuna page za watu zinawazushia watu uongo na kuweka picha zisizo na maadili aka za utupu na mambo mengine ya ajabu ajabu ukiondoa post inazomchafua raia namba moja hakuna zingine zinazochukuliwa hatua maana hizo ni mbaya kuliko kwa baadhi lakini)

NAWAZA TU MKUU KI-LAYMAN
 
Wataalam mnisaidie kumwelewe huyu shahidi amaposema maelezo haya najikuta nina maswali mengi.

Shahidi (Peter Katumbi): Mimi ni Mkristo, nina umri wa miaka 38 na ninafanya kazi ofisi ya upelelezi Kanda Maalum tangu mwaka 2012. Nipo kitengo cha Upelelezi wa Makosa ya Mtandao na nipo katika kitengo hiki tangu mwaka 2009 kwenye hicho kitengo.

1. kati ya 2012 na 2009 lini anatakiwa awe ameanza kazi?
2. sheria ya makosa ya mtandao ilipitishwa lini, 2009 au 2016?
3. mimi ndiyo ninashindwa kutofautisha au mwandishi wetu ndio kanivuruga?
4. na kama ndivyo shahidi alivyojieleze, nini hatma ya ushahidi wake?
maswali ni mengi,..
 
Uongozi unahitaji Akili na Maarifa na wala sio nguvu na vitisho.

Huyu Fuhrer angestahili nishani kubwa ya Uzalendo lakini kutokana na Akili ya Mtu alivyo ndio amekuwa Adui.

Hii kesi tunashinda bila wasi wasi!!
Kama kijana wa expansion joint kakamatwa unategemea nini. Hii ni nchi ya ajabu kuliko ajabu yenyewe.
 
Uongozi unahitaji Akili na Maarifa na wala sio nguvu na vitisho.

Huyu Fuhrer angestahili nishani kubwa ya Uzalendo lakini kutokana na Akili ya Mtu alivyo ndio amekuwa Adui.

Hii kesi tunashinda bila wasi wasi!!
Hakuna kesi hapo. JF itashinda! Wamesema ikishinda tukale mtori hahahhhh
 
hv oilcom ni kampun ya nani? tuanzie kwanza hapa
Ninachoshangaa hao 'manjagu' badala ya kutumia thread hiyo iliyotolewa kuhusu hujuma,
iwe kama hadidu za rejea katika upelelezi wao kimyakimya kivyao ili kuupata ukweli,
wao wanamtaka jf member aitwaye furher apatikane akaeleze "vizuri" hiyo hujuma aliyoigundua.
Sasa huu ni mkanganyiko wa kiweledi ama ni msukumo kutoka oil com?
 
Mtu akisema yuko tayari kusaidia polisi anakuwa amekataa kusaidia polisi?

Ndio.over huyu mpelelezi kumbe ni dungunya kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom