Kesi dhidi ya JamiiForums zaelekea hatua mpya: Asanteni watanzania, asante wana JF!

Mungu yu pamoja nanyi. Police wetu ni tatizo. Utakuta hata wale wanaomtonyaga Magu aende bandarini "kukamata" magari yaliongizwa nchini kwa janjajanja, police wetu huwa wana hamu kubwa ya kuwajua ili wawatie ndani
Siyo Police bali Mkuu wa nchi maana akiyasikia ni kiasi cha kusema stop that. Akikaa kimya wakati ana mamlaka ya mwisho, anayaruhusu yeye.
 
Niko pamoja nanyi kwa maombi jaribu hili lipite zake,yako mengi yanayotakiwa kufanyiwa kazi na si mtoa taarifa hasa pale taarifa inapokuwa ya kweli inapaswa alindwe na si kinyume chake.
 
Niko pamoja nanyi kwa maombi jaribu hili lipite zake,yako mengi yanayotakiwa kufanyiwa kazi na si mtoa taarifa hasa pale taarifa inapokuwa ya kweli inapaswa alindwe na si kinyume chake.

By Vonix
 
Tunaombea yote yaishe katika heri na salama. Mungu atasimama pamoja nawe nasi wana JF tuko bega kwa bega nawe katika hili na mengineyo.
 
Kila kitu kitakuwa sawa mnyonge atanyongeka mbele ya binadamu mwenzake lakini sasa mbele za Muumba wetu haki itahesabika na siku zetu za maisha ndugu yangu Melo kumbuka kila hatua unayopigana nayo wapo wanaohitaji kukurudisha nyuma but stay well u will survive
 
Bro. Melo, waulize prosecutor hivi wale waliomtonya mkuu kuwa

1. Kuna makontena yamejaa dhahabu
2. Makontena 300 yaliyopitishwa bila kulipa ushuru
3. Vichwa vya treni visivyo na mweyewe
4. Magari 50 yasiyo na mwenyewe

Walichukuliwa hatua gani??
 
Katika kila jitihada za kweli kwenye kuelimisha umma na kukemea uovu, Mungu wetu uhusika moja kwa moja! Babylon will not survive! Jah bless
 
kwa hawa wasiojulikana walikuwa wanataka kutufuata na huku?,hii ni hatar sana watu musiambiwe ukweli kafieni mbali nyinyi msiojulikana(mnaojulikana )
 
Back
Top Bottom