Kila kitu kuhusu Kesi ya mkataba wa Bandari (DP World na Tanzania) kati ya Mawakili wanne dhidi ya Serikali

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
357
621
Ni siku kadhaa sasa tangu Kesi ya kubatilisha mkataba wa Bandari ipelekwa mahakamani ,na Tarehe 7/8 tulitegemea kusikia maamuzi ya mahakama juu ya .mkataba huo(Judgment) kwa bahati mbaya Judgment imesogezwa mbele. Siko hapa kutabiri judgment jamani bali natamani ni wajuze vitu vichache kuhusu kesi hii inayoendelea.

Ni kweli mkataba unayomakosa flani flani, hii haipingiki na Wakili msomi Mwabukusi na wenzake walituweka wazi katika vitu vingi sana, ikiwemo sheria zetu za ndani zitakazovunjwa na Utekelezaji wa mkataba huu mama

Kwa kuzingatia mapungufu mengi yaliyotajwa wakati wa mwenendo wa kesi hii , Lakini nilitamani niwaweke wazi kweye baadhi ya Vipengele

1. Kesi hii imesikilizwa katika mahakama ya Isiyo na mamlaka kisheria kusikiliza kesi ya namna hii
-Mkataba ni kati ya Serikali mbili, Serikali ya Dubai na Serikali ya Tanzania ,hivyo mahakama ya Kuu ya Tanzania haikuwa sahihi kusikiliza kesi ya kubatilisha mkataba wa Serikali mbili.
-Bali mabaraza ya kimataifa au mahakama za kimataifa zingeweza kuubatilisha huu mkataba.

2. Sheria zilizotumika hazikuwa sahihi.
- Niwazi kuwa mkataba ni wa serikali mbili ,hivyo hata sheria za kubatilisha mkataba huu zisingetakiwa kuwa hizi za ndani.

- Sisemi sheria zetu za ndani hazijavunjwa na mkataba bali haziwezi tumika kuvunja mkataba kwani sizozilizo uunda mkataba.

- Bali sheria za kimataifa zingeweza kuuvunja mkataba kirahisi sana.

3. Sio rahisi kuuvunja mkataba bila Dubai kupewa taarifa ya kushirikishwa au kuombwa kukubali kuvunjwa kwa mkataba.
- "Only parties to contract can discharge the contract"

Namalizaje baada ya kusema hivi.

Namna ya kuuvunja huu mkataba ingekuwa ni rahisi sana endapo wadau na wananchi kwa ujumla wangeiomba serikali kuvunja huu mkataba na sio kufungua kesi mahakamani.

Mpaka sasa hakuna ushahidi kamili juu ya uvunjifu wa sheria zetu za ndani, But is just foresee au utabiri wa uvunjifu wa sheria za ndani ,"hivyo hakuna USHAHIDI kamili"

Sisemi Walalamikaji hawatoshinda kesi mana zipo point za msingi sana wanazozilalamikia, Na wala sio kwamba hawakuwasahihi, Ila ninahisi kama wangepeleka maoni kwa Wizara husika, au wahisika wenyewe ingekuwa rahisi kufanyiwa kazi wanayoyataka yawe katika mkataba huo, mana mkataba wenyewe unaruhusu mabadiliko wakati wowote yanapohitajika.

a. Kuonyesha ukomo wa muda
b. Kuweka bayana maeneo ya mkataba, Hasa yasiwe ni bandari zote.
c. kufuta na kubadilisha baadhi ya vifungu vinavyo ipa Dubai utukufu
d. Mamlaka ya ukusanyaji mapato iwe ni TRA tu!

Kila Mtanzania ni mzalendo na hakuna anae zidi uzalendo wa mwenzake, Kwani sisi sote tu Watanzania.

Binafsi nina imani na hii serikali, kwani Upo mpango wa kujengwa Reli kutoka Congo, Rwanda ,Burundi, Uganda to Kenya Ports na mpango huo ukikamilika, Bandari ya Tanzania kama haitokuwa Efficiency na kuwa na umekezaji mzuri ili ku ingiza na kutoa mizigo bandarini, Hatutoweza ku maintain kuwa Mlango wa Afrika mashariki , Na wenzetukenya watasapotiwa na Dubai kujenga SGR hiyo na kutuzidi katika Sekta ya Bandari na hiyo itasababisha Bandari yetu kuwa Nothing.

Umepata picha sasa Jinsi Rais ananyvojaribu kucheza kama pele
 
Ninakutumia matusi na kejeli proof kujikinga na matusi na kejeli za wanachadema
 
Wengine tulishayaona haya kitambo sana. Ndiyo maana siku ya jumapili nilitoa utabiri wa hukumu itakayotolewa na mahakama kuu Mbeya ktk uzi fulani kama ifuatavyo:-

Screenshot_20230809-202155.png
 
Write your reply...hatukatai ila isiwe na magumashi kama ilivyo zoweleka watu wanasahni mikataba umiza wanachekelea sisi tunaotoka jasho tunaendelea kuumia jamani nyie wenye dhamana kuna wakati itabidi iwe .
 
Hujui chochote wewe kilaza! Hujui hata tofauti ya Efficiency na Efficient!
Ni hivi ; Bunge linapo ratify mkataba maana yake Bunge linatunga sheria.
Kazi ya Mahakama katika JMT ni kutafsiri sheria.Sheria yoyote inayotungwa na Bunge ambayo ni contrary na Katiba yetu basi ni null and void ab initio.
Mahakama ikishabatisha mkataba huo kwa kuwa umevunja Katiba yetu na sheria mbalimbali basi itakuwa kazi ya Sa100 na Mbarawa kuurudisha huo mkataba walikoutoa wao! Period
 
Uvccm hao ilimradi wanajua kuandika basi

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Ni siku kadhaa sasa tangu Kesi ya kubatilisha mkataba wa Bandari ipelekwa mahakamani ,na Tarehe 7/8 tulitegemea kusikia maamuzi ya mahakama juu ya .mkataba huo(Judgment) kwa bahati mbaya Judgment imesogezwa mbele. Siko hapa kutabiri judgment jamani bali natamani ni wajuze vitu vichache kuhusu kesi hii inayoendelea.

Ni kweli mkataba unayomakosa flani flani, hii haipingiki na Wakili msomi Mwabukusi na wenzake walituweka wazi katika vitu vingi sana, ikiwemo sheria zetu za ndani zitakazovunjwa na Utekelezaji wa mkataba huu mama

Kwa kuzingatia mapungufu mengi yaliyotajwa wakati wa mwenendo wa kesi hii , Lakini nilitamani niwaweke wazi kweye baadhi ya Vipengele

1. Kesi hii imesikilizwa katika mahakama ya Isiyo na mamlaka kisheria kusikiliza kesi ya namna hii
-Mkataba ni kati ya Serikali mbili, Serikali ya Dubai na Serikali ya Tanzania ,hivyo mahakama ya Kuu ya Tanzania haikuwa sahihi kusikiliza kesi ya kubatilisha mkataba wa Serikali mbili.
-Bali mabaraza ya kimataifa au mahakama za kimataifa zingeweza kuubatilisha huu mkataba.

2. Sheria zilizotumika hazikuwa sahihi.
- Niwazi kuwa mkataba ni wa serikali mbili ,hivyo hata sheria za kubatilisha mkataba huu zisingetakiwa kuwa hizi za ndani.

- Sisemi sheria zetu za ndani hazijavunjwa na mkataba bali haziwezi tumika kuvunja mkataba kwani sizozilizo uunda mkataba.

- Bali sheria za kimataifa zingeweza kuuvunja mkataba kirahisi sana.

3. Sio rahisi kuuvunja mkataba bila Dubai kupewa taarifa ya kushirikishwa au kuombwa kukubali kuvunjwa kwa mkataba.
- "Only parties to contract can discharge the contract"

Namalizaje baada ya kusema hivi.

Namna ya kuuvunja huu mkataba ingekuwa ni rahisi sana endapo wadau na wananchi kwa ujumla wangeiomba serikali kuvunja huu mkataba na sio kufungua kesi mahakamani.

Mpaka sasa hakuna ushahidi kamili juu ya uvunjifu wa sheria zetu za ndani, But is just foresee au utabiri wa uvunjifu wa sheria za ndani ,"hivyo hakuna USHAHIDI kamili"

Sisemi Walalamikaji hawatoshinda kesi mana zipo point za msingi sana wanazozilalamikia, Na wala sio kwamba hawakuwasahihi, Ila ninahisi kama wangepeleka maoni kwa Wizara husika, au wahisika wenyewe ingekuwa rahisi kufanyiwa kazi wanayoyataka yawe katika mkataba huo, mana mkataba wenyewe unaruhusu mabadiliko wakati wowote yanapohitajika.

a. Kuonyesha ukomo wa muda
b. Kuweka bayana maeneo ya mkataba, Hasa yasiwe ni bandari zote.
c. kufuta na kubadilisha baadhi ya vifungu vinavyo ipa Dubai utukufu
d. Mamlaka ya ukusanyaji mapato iwe ni TRA tu!

Kila Mtanzania ni mzalendo na hakuna anae zidi uzalendo wa mwenzake, Kwani sisi sote tu Watanzania.

Binafsi nina imani na hii serikali, kwani Upo mpango wa kujengwa Reli kutoka Congo, Rwanda ,Burundi, Uganda to Kenya Ports na mpango huo ukikamilika, Bandari ya Tanzania kama haitokuwa Efficiency na kuwa na umekezaji mzuri ili ku ingiza na kutoa mizigo bandarini, Hatutoweza ku maintain kuwa Mlango wa Afrika mashariki , Na wenzetukenya watasapotiwa na Dubai kujenga SGR hiyo na kutuzidi katika Sekta ya Bandari na hiyo itasababisha Bandari yetu kuwa Nothing.

Umepata picha sasa Jinsi Rais ananyvojaribu kucheza kama pele
Chawa mpotoshaji kazini
 
Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act, 2017 (No. 5 of 2017)
Screenshot_2023-08-09-23-59-22-72_f541918c7893c52dbd1ee5d319333948.jpg

Mkataba ni batili kwa asilimia 1000 kwakuwa serikali ya Tanganyika imeingia mkataba na mojawapo ya majimbo ya UAE na si serikali kuu ya UAE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashauri wangepeleka malalamiko kwa Samia angeyafanyia kazi ya kurekebisha mkataba? Kwani Samia hakusikia kilio cha wananchi na kuchukua hatua zkama alivyoshauriwa!

Liwe jua iwe mvua wananchi watatafuta haki popote ilipo! Mungu hawatupi waja wake; haki kila siku hushinda dhuruma.
 
Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act, 2017 (No. 5 of 2017)
View attachment 2713062
Hakuna niliposema sheria hizi za ndani hazijavunjwa.

Swala ni kwamba mahakama ya serikali mshiriki katika mkataba haiwezi vunja mkataba bila ruksa ya Serikali ya Dubai.

Judgment imecheleweshwa juzi tar 7/8 ili tar 8/8 na ni Sikukuu ya wakulima, Samia na Tulia Akson
( Wakuu wa mihimili miwili hawa, Sasa Judge mkuu ndo atawaangusha wenzake kwenye muhumili wake)

waende wakapige siasa na kufanya vitu vya kuonekana kwa wananchi wa Mbeya.
Me niko hapa , ntaisikia Judgment😅
 
Hujui chochote wewe kilaza! Hujui hata tofauti ya Efficiency na Efficient!
Ni hivi ; Bunge linapo ratify mkataba maana yake Bunge linatunga sheria.
Kazi ya Mahakama katika JMT ni kutafsiri sheria.Sheria yoyote inayotungwa na Bunge ambayo ni contrary na Katiba yetu basi ni null and void ab initio.
Mahakama ikishabatisha mkataba huo kwa kuwa umevunja Katiba yetu na sheria mbalimbali basi itakuwa kazi ya Sa100 na Mbarawa kuurudisha huo mkataba walikoutoa wao! Period
Wewe unaejua , Mahakama inayosikilia kesi za uvunjifu wa katiba ni Ipi?
Usiseme tu Katiba imevunjwa wakati mahakama inayosikiliza constitutional issues huwa ni "Ad hoc"
 
Back
Top Bottom