Kesho vijana wanasema wataandamana, Mayalla yuko wapi?

Kesho vijana wanasema wataandamana, Mayalla yuko wapi?

images (3).webp
 
Siku hizi mnasema "vijana tunaomba msiandamane" ila hapo awali mlikuwa hamuamini na kujiaminisha kwamba hawawezi na hawana uwezo wa kuandamana!Hahahahaaa!
Mkuu kwani shida nini?Acha kukaa nyuma ya keyboard,anza kuandamana kwanzia leo,maana na uhakika iyo D9 na D25 ulikua kwa shemeji yako.!
 
Kaka msiwadanganye hao vijana kwamba kuna siku jeshi au polisi watakuwa upande wao, wapeni elimu waweze kutanua bongo zao.

JWTZ wanalinda katiba ya nchi, Samia angekuwa yupo madarakani tofauti na matakwa ya katiba mpaka muda huu angekuwa ameshatoka ikulu. Lakini yupo kikatiba na jeshi linalinda katiba ya nchi.

Wananchi hao wanaoandamana na kupanga mipango ya usaliti hawazidi milioni mbili nchi nzima, tupo milioni 64 usione watu wapo kimya ukadhani hao wanaoleta vurugu ndio wengi, usidanganyike.
Gen-Z mliopo hapa mnashindwa nini kujua huyu ng'ombe anakaa wapi mshughulike naye?
 
Wanaishi na sinema vichwani mwao. Hao polisi hawaishi tu kuziondoa vichwani mwao hizo ndoto, kesi ya uhaini lazima ifuatie.

Wale wa October 29 walikutana na mateso hawataweza kuyasahau.
Walipata mateso lakini na aliyetoa amri naye anateseka kupita kawaida! Ikulu anapaona gereza nyokoze!
 
Waliahidi kuandamana tarehe 9 na 25 lakini hawakutoka hata mmoja huko barabarani, wengi ni watoto wasio na majukumu kula kwa Baba kulala kwa Mama.

Kama hawana kazi na wameamua kuchagua hiyo shughuli basi watawakuta JWTZ na mapolisi wanawasubiri, watu ambao kazi yao ni kushughulikia vijana ambao wamechagua kuwa vibaka.
Maandamano Nepal yalifeli mara 20 yakaja kufanikiwa mara ya 21.Kwahiyo usibeze lolote na muda wowote laweza kutokea,nchi haijatulia hii
 
Gen-Z mliopo hapa mnashindwa nini kujua huyu ng'ombe anakaa wapi mshughulike naye?
Ng'ombe aliyekwenda leba akachanua miguu wewe kima ukazaliwa. Jengeni tabia ya kukubaliana na kile msichokubaliana nacho.

Jiulize kwanini hao Gen Z walikufa kwa wingi tarehe 29 October, dharau za kijinga kama za kwako, wakawa wanaambiana twende kwa Diamond tukamtembelee, twende kwa Shilole tukamtembelee wao walipotembelewa na risasi za jamaa wa kikosi maalum cha Ngerengere vilio vimesikika mpaka kule European Union.
 
WEWE UKITAKA KUJUA KAMA KESHO KUNA MAANDAMANO AU HAKUNA NENDA MTAANI UFANYE INTELIJENSIA , NINA KUHAKIKISHIA UTAUPATA UKWELI WOTE

MAMA WA AFRICA KAMA ANAVYOJULIKANA HUKO DUNIANI AU DR SAMIA SULUHU HASSAN ANAKUBALIKA NA KUPENDWA NA TAIFA ZIMA IKIWEMO , WATOTO , VIJANA NA WAZEE.
Sio bure umechanganyikiwa au labla na wewe umepanda kutoka kuzimu. Vinginevyo mtu wa kawaida hawezi kumtukuza shetani huyu
 
Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana.
Watanzania wanataka amani.
Vijana wanataka kuchoma moto nchi.
Tufanye nini?
Stori za maandamano ni stori za kale. Vijana hawazi-mind tena. Wamegundua kuwa waliingizwa kichakani na madiaspora amabao mpaka leo wapo maradioni/key board na afya zao wakila bata na kuendelea kuhamasisha maandamano.
Vijana wamejiongeza na kufahamu kuwa jibu ni kupiga kazi kutafuta pesa.
 
Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa kusema kwamba wanataka kuandamana.
Acha Serikali iseme kwamba atakayeandama atakiona cha mtema kuni.

Sisi tunawaomba tu vijana wasilete fujo,haya ni mambo yanaweza kujadiliwa,ni matatizo yanazungumzika.
Mkuu Poppy, Poppy Hatonn, naunga mkono hoja, ila nina swali kuhusu hii heading yako

"Kesho vijana wanasema wataandamana, Mayalla yuko wapi?"​

Jina ya Mayalla yuko wapi, umeliweka la nini, ni ulikuwa unaniulizia nilipo au ndio kuniita kwenyewe?.
P
 
Back
Top Bottom