Yani Hadi aibu.We ni mlamba asali,, kwahiyo waliouawa kwenye maandamano ni vibaka sio?
Naomba uniacheWeka alichopost,au unataka followers
Mbona hamkwenda huko kama nyie wauaji kweli. Uliza kama golani alikufa mtuWakipigwa za vichwa mnaanza kulia
😭😭😭 eti nguruwe!Hata siku Ile mida kama hii Kuna mbwa walikuwa wanaulizia wapi minofu ulipo. Na Kuna nguruwe wengine walianza kumcheka mange. Halafu hawjataja ni kitu Gani mengine sio mpaka yaonekane
Waandamanaji wao hawakuwa na agenda ya kuua yoyote ndo maana mpk sasa wenyeviti wa chama mtaani bado wanapumua ila awamu ijayo sijui km watapona, wakikimbiq wao familia zao zinajulikana, hata shemeji zao watatosha kutuma ujumbe,,Yani Hadi aibu.
Watu tumeibiwa vitu vya maana Ila hatujawahi sapoti kuuwawa kwa Vibaka sembuse hawa.
Hakuna kosa linahalalisha kumwaga damu ya mtu
Golani usalama ni mdogo sana, kuna vibaka wengine wanatoka mbali wanakuja kupiga matukio uku halaf wanapoteaOoh! Asante mkuu.
Basi kwenda huko mpaka uwe na la muhimu sana la kukupeleka 😁
Hivi ndo polisikijanikibichi wameshindwa kabisa kukabiliana na ile haliGolani usalama ni mdogo sana, kuna vibaka wengine wanatoka mbali wanakuja kupiga matukio uku halaf wanapotea
Post yake ya mwisho ni ya masaa12 yaliyopita! hakuna mpyaNendeni Facebook kwenye page ya Dr William Tanzania wa USA America kuna Mambo amepost
Serikali iwasikilize jamani na kuwapoza kwa faida ya taifa letu pendwaWaandamanaji wao hawakuwa na agenda ya kuua yoyote ndo maana mpk sasa wenyeviti wa chama mtaani bado wanapumua ila awamu ijayo sijui km watapona, wakikimbiq wao familia zao zinajulikana, hata shemeji zao watatosha kutuma ujumbe,,
Ijayo haitakuwa kuchoma vituo vya mafuta ila viongozi wengi sana watakufa, shauri yao
September mwaka huu vibaka waliniibia mchana saa nane, jirani mjeda nae walipita nae, hayo maeneo sio kabisa, na hata polisi ukiwaita eneo hilo hawatoi ushirikiano wanajizungusha sanaGolani usalama ni mdogo sana, kuna vibaka wengine wanatoka mbali wanakuja kupiga matukio uku halaf wanapotea
Tuma salamuPost yake ya mwisho ni ya masaa12 yaliyopita! hakuna mpya
Mimi kesi ilipinduliwaaa nkaona nguvu Sina nikakimbia nkaacha Kodi yangu. Kuna umafia mwingi Sana kuleSeptember mwaka huu vibaka waliniibia mchana saa nane, jirani mjeda nae walipita nae, hayo maeneo sio kabisa, na hata polisi ukiwaita eneo hilo hawatoi ushirikiano wanajizungusha sana
Chura kiziwi, ni sikio la kufaSerikali iwasikilize jamani na kuwapoza kwa faida ya taifa letu pendwa
Mambo gani, acheni kuhamasisha watu nchi ishatulia.Nendeni Facebook kwenye page ya Dr William Tanzania wa USA America kuna Mambo amepost
Mwanangu huyo, siku hizi manzese tip top ime poa ila kule ndio kulikuwa butchery city.Kama ni wa kule basi kuwa mpole
Maandamano yafanyike kwA Amani na kwA mabango maalumu,sasa unaandamana hujui unaandamania kuhusu Nini ,badala ya kwenda ikulu kumuondoa usie mpenda unaenda kubomoa duka la mtu ambae ametumia miaka kumi kujipata,unachoma ,sheli ,magari huo ni ujinga kufelishana maisha kimasihara kabisa.kwanza waandamanaji wapigwe vita tu maana hawajui wanataka Nini,muandamanaji gani ana andamana bila bango!?We ni mlamba asali,, kwahiyo waliouawa kwenye maandamano ni vibaka sio?
Mbona una wasiwasi SanaMambo gani, acheni kuhamasisha watu nchi ishatulia.
Ni hatari kule,Mimi kesi ilipinduliwaaa nkaona nguvu Sina nikakimbia nkaacha Kodi yangu. Kuna umafia mwingi Sana kule
Dhambi zote za Max tupewe sisi wanaJF tunaoingia JF kipindi hiki kwa kutumia VPN!😂 mjini mipango asee
Sema tumshukuru max ameweza kubeba dhambi zetu huku if 🤣
Una akili za kipolisi wa tzMaandamano yafanyike kwA Amani na kwA mabango maalumu,sasa unaandamana hujui unaandamania kuhusu Nini ,badala ya kwenda ikulu kumuondoa usie mpenda unaenda kubomoa duka la mtu ambae ametumia miaka kumi kujipata,unachoma ,sheli ,magari huo ni ujinga kufelishana maisha kimasihara kabisa.kwanza waandamanaji wapigwe vita tu maana hawajui wanataka Nini,muandamanaji gani ana andamana bila bango!?