duh pole sana, lakin mbna hyo simple, kwan hapo kazini kwenu hakuna waislam wanaovaa hijabu? je kimaadili unaruhusiwa kuvaa miniskirk na mmeo? kha, me hakuna mtu wa kunipa masharti ya kuvaa kiajabu ajabu!
Semea humo'humo!
nimeipenda hiyo ofc....hakuna nafasi za kazi...? katibu muhtasi kama ipo.....
Ndo tunakomaa humohumo.
Mchezo mzima uko lunch!!
Ole wako akukute huko lunch umekaa na jinsia ya Me,anakununia.
Ila ninachompendea,Wikiend huwa lazima atupige Out,ijumaa mpaka j2.
Huwa anapona mtu kweli...???
Huwa anapona mtu kweli...???
Hapo ndipo penyewe.
CL Boss wetu ananishangaza sana.
Hataki tuvae Skirt zilizovuka chini ya magoti.
Anapenda aone tumevaa miniskirt tena zikiwa mapajani.
Nachukia sana,sina tu pakusemea.
Wangu huyo boss mwambie tamkata
Punguza hasira wangu,
ni vijimambo makazini tu.
Vp umeshaenda lunch?
ok wangu!
Naenda muda si mrefu!
Karibuuuuuu!
umnyime boss vituz ndy kusema hutaki cheo ?
Na maa'alawans chekwa !
Mapande ya ku'selektiwa kwenye masemina, mawarsha na makongamano yenye posho za kifisadi .
Liwa vituz ufaidi neema ya nnji hii .
si mchezo!
nakwambia kuna wadada wawili tena, ila marufuku hao wadada kumtengenezea, ni mimi tu! nimemchokaaaaaa!pole mpnz, kwani we ndo office assistant? c kuna wadada/wamama maalumu kwa ajili ya kazi hiyo? umewahi kumwambia kwanini asitengenezewe na huyo msaidizi?
Ssubbuttuuhh !
Chezeiya mkwanja wewe!