Sa mi natumia mobile hakuna mambo ya like laiti kama ngekuwa natumia desktop aisee arifu ngekutwangia malike hayo
Sasa kukiwa na mvua sindio mwake au?
hahaaaaa ni zile mvua zile za kila mwezi sio hizi zinzotangazwa na Mama Kijazi wa Hali ya hewa
Nimepita, Mama v anawapa hi!
Me kero yangu ni baadhi ya member humu kuwa wavivu wa kunipa like.inakeera sana wakati me huwa siwabanii. Hata reputation tu inakuwa kero? Bofya ile nyota unayoiona kushoto bhana!
weeeee.....kunichuna mimi utahitaji ngurumo ya upako........
Ok, understood shem
[MENTION=38746]rutta[/MENTION]shobolwa hapo hamaanishi mvua ya mawingu bali ya mwezini ya kina KE! Kama hujaelewa ni-PM
inakera mijanaume mikware kutaka kukushika mkono bila ridhaa yako, jana ubungo nilimpiga mmoja teke la p*m*u ndo dawa yao pumbavu!
We Rutta huyo Arushaone unamwita shemeji kwa nani?
Nafurahi kuwaona kumbe Hamuoneani wivu.
Haya Ndio Maisha beibe.
Halafu hayo ya PM ya wapi tena?
Au mnaniteta?
Nitawaacha wote,ohoo!!
Msiri wangu St. Paka Mweusi hebu njoo huku,
chunguza hawa watu,me siwaelewi.
Wangu siko tayari kushea mwanamke na Arushaone
Ni bora mmoja aachwe hapo
Nitakuwa tayari kupokea maamuzi yeyote!
Hahahahahahahaha
sikwa mamdenyi?
Nafurahi kuwaona kumbe Hamuoneani wivu.
Haya Ndio Maisha beibe.
Halafu hayo ya PM ya wapi tena?
Au mnaniteta?
Nitawaacha wote,ohoo!!
Msiri wangu St. Paka Mweusi hebu njoo huku,
chunguza hawa watu,me siwaelewi.
Kwa hyo unataka kuniacha?
Nimekuzoea lakini!!
Wangu uliponiita nimekuja mbio almanusra nijikwae,nilikuwa nashangaa watu wanapoanika chupi zao,wanasemaje hawa jamaa wanaanza mambo ya kutetana usitie shaka wakileta zao unapiga chini wote,kisha unambadilisha mtakatifu statas toka msiri kuwa............... kisha maisha yanaendelea,wasikutishe bana kama PhD hata mtakatifu anayo.........