kwa kweli sharobaro kwangu hana nafasi....sijui kimvulana kinajidai modo...sijui ndio wanajiita fashonista....kwangu no....
napenda wanaume wagumu....yu no wora am saying......
duh,pole shost. bora kwa wanaume. basi ukute mdada anajidai du, ukicheck kwenye armpit unachefuka square!
umeona eeeeeee?? mzima wewe bestito??
kero yangu kubwa kuona mtu mzima kanyanyua mkono kwenye daladala kashika bomba, kava sleevles halafu hajashave, nasikiaga kuchefukwa!
inakera mijanaume mikware kutaka kukushika mkono bila ridhaa yako, jana ubungo nilimpiga mmoja teke la p*m*u ndo dawa yao pumbavu!
hahahahahahahahahahahahahah
hapo chacha na mapafyumu juu akinyanyua mkono kumbe ni bob marley
Me kero yangu ni baadhi ya member humu kuwa wavivu wa kunipa like.inakeera sana wakati me huwa siwabanii. Hata reputation tu inakuwa kero? Bofya ile nyota unayoiona kushoto bhana!
inakera mijanaume mikware kutaka kukushika mkono bila ridhaa yako, jana ubungo nilimpiga mmoja teke la p*m*u ndo dawa yao pumbavu!
Kero yangu ni hawa wadada wanaovaa pichu na tyte zenye sponji! Ukiwachojoa wembambaa kama vijiti! Huwa wananiboa naamua tu kuwaacha uchi natembea zangu!
Kero yangu Kubwa Ni hawa vijana wa kiume wanaojiita Masharobaro kuja kututongoza sie wakati mifukoni mwao hawana hela ya kuhonga.
Madame B inaniuma sana!!!
hii tena ni kero nyingine....vinauzi....vinataka vyenyewe ndio vikuchune......
View attachment 65336Unatoka zako huko umeona mistaili kibao unataka ukanuonyeshe ufundi mkeo halafu ukifika unakuta "mvua" zinanyesha. Aaaaah utatamani ulie
Umenchekesha ujue uuwiii leo mi karume hapa mkono hadi nahis maumivu afu wanakung'an'ania hao hatarii
Huwa nakereka zaidi pale mko ndani ya public transport halafu jitu linafusa kimyakimya mnashtukia hali ya hewa imechafuka halafu kila mtu yuko sirias anajidai sio yeye..............